Feisal Salumu: Nimeondoka Yanga kutokana na manyanyaso, nilizungumza na Rais wa Yanga kwa saa 6, nikamwambia nataka kuondoka

Yaan "Hakimiology" hebu define kwani dada.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na lipo ktk arts au science??
Hakimiology[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimedokezewa hapa....Hiyo Course Mama ndiyo anaamua kila kitu..
 
GSM ommy dimpoz ni shemu wake pendwa, ommy si mke wa gavana Joho., GSM anamla Kamwe, Sallah anamla Priva, prezoo anamla takadini.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka sana...Hebu tulia kwanza...
 
Zitume humu voice note ambazo mama Fei alidhalilishwa mkuu
 
GSM ommy dimpoz ni shemu wake pendwa, ommy si mke wa gavana Joho., GSM anamla Kamwe, Sallah anamla Priva, prezoo anamla takadini.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hersi nae itakuwa alitaka kumla Fei toto.Ali Kamwe na Priva wanaliwa kweli na wanaonekana kabisa.GSM anakula dimpoz pia. Sema basi atakuwa anapokezana na Joho 001.
 
Kila kitu kwa kiasi. Mbona wana wa Israeli hawakuendelea kuvumilia huko Misri?

Kwani ww una matatizo gani na Fei? We unajua wameombana nn na Hesri wakashindwana? Au wamekosana wapi?

Ushaambiwa hana shida na Yanga na anaweza cheza hata leo, tatizo ni ana ugomvi na kiongozi wa Yanga, sasa nini huelewi hapo?

Au unampenda sana Hersi? Fei na wewe wote mnaipenda Yanga, tofauti yenu ni kuwa Fei ni mwajiriwa wa Yanga na ana matatizo na kiongozi wake.

Unavyokazana vumilia vumilia mara kiburi ushathibitisha Fei kwann hataki kufanya kazi na Hersi?

Nyie ndo wale mtoto hataki kwenda shule unakamata fimbo unampiga badala ya kumhoji na kuchunguza sababu kumbe mwanao ananajisiwa huko.

Ukiona mtu anagomea maslahi makubwa kwa risk ya yeye kupoteza kabisa weka possibility kuwa kuna jambo halisemi na heshimu uamuzi wake.

Kwani kwann asipigwe faini akafukuzwa? Mtu hata kambini haji.
 
"Baada ya kuwasumbua sana ndio wakaniongezea Million 20 zingine baaae."

Mazungumzo yalikua nilipwe signing fees million 100 Kwa mkupuo, baada ya kusaini wananiambia kua mkataba unasema nitalipwa Kwa mafungu. Mkataba ni wa Kingereza na mi sikijui".
Manyanyaso yalikuwa makubwa sana.
 
Mwenyezi Mungu atakusimamia yatapita huu ndio utafutaji lazima milima na mabonde yawepo Kila la kheri.
 
Nipo upande wake lakini hapo kwenye kutokujua mkataba unasemaje sababu ni wa kingeleza namlaumu. Kwanini asaini dili kubwa kama hii bila kuwa na mtalamu wa haya mambo
Kwani msuva aliposaini mkataba wa kiarabu wakati hajui kiarabu ilikuwaje kiufupi ukiwa na njaa mambo ya mkataba sijui kimeandikwa nn huwezi zingatia akili nizarudi baadae njaa mbaya sana hata mimi ilishanikuta hii sehemu niliyokuwa nafanyia kazi awali.
 
Nendeni CAS sasa
Hilo lazima. Yanga na TFF nawadharau sana ambapo wanadai kuwa fei bado ana mkataba nao lakini hawamchukuliii hatua yoyote richa ya utoro wa takribani miezi sita bila sababu za msingi.
TFF na Yanga ni very unprofessional kijana ilitakiwa apewe adhabu kali.
 
Kama taasisi inakupa stahiki zako kwa wakati na hakuna kipengele wamevunja huko CAS utaenda kusema haupendani na boss?
 
"Tulikubaliana kusainishana mkataba wa miaka miwili, baada ya kusaini nashangaa eti umegeuka kua miaka mitatu"
Hapo wametumia udhaifu wake wa kutokujua Sheria na lugha kumuumiza, tatizo ni kwamba tayar alikwishasaini so hayo mengine hayana ushahidi arudi wayamalize la sivyo kipaji kinaenda kufa na wanaweza mkomoa zaidi.
 
Msuva alibebwa na malimbikizo ya mshahara na signing fee bila hio strong point ingekula kwake, wao CAS wata amini vipi haukusoma mkataba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…