ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Wewe ndio zoba huwezi sema unanyanyswa kwa kuongezewa mshaharaUshabiki umekufanya kua zoba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio zoba huwezi sema unanyanyswa kwa kuongezewa mshaharaUshabiki umekufanya kua zoba.
Hakimiology[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaan "Hakimiology" hebu define kwani dada.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na lipo ktk arts au science??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lazima science hiyo,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata najua basi Mdogo wangu...
Ngoja tumuite huyu Achraf hakim Atuambie...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada sikuweziiii.Hakimiology[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimedokezewa hapa....Hiyo Course Mama ndiyo anaamua kila kitu..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]GSM ommy dimpoz ni shemu wake pendwa, ommy si mke wa gavana Joho., GSM anamla Kamwe, Sallah anamla Priva, prezoo anamla takadini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itakuwa....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lazima science hiyo,
Huo mshahara unaongezwa baada ya manyanyaso.Wewe ndio zoba huwezi sema unanyanyswa kwa kuongezewa mshahara
Zitume humu voice note ambazo mama Fei alidhalilishwa mkuuSo ukidhalilishiwa mama Yako saivi uitiwe wewe njoo hapa kwanini umechelewa ndio maana mama Yako ni mavi maana wewe ni mdogo bado unakaa hapo ukiwa mkubwa unakaa tu maana wewe ni upo yanga hivi ukionewa hela haiji Kwa wakati unatishiwa maisha,unateswa hupewi mahitaji unakaa tu unatukaniwa familia unakaa tu . Wewe ni wale ambao mke anamtusi na kumvua mama Yako nguo hujali walahuumii
Hersi nae itakuwa alitaka kumla Fei toto.Ali Kamwe na Priva wanaliwa kweli na wanaonekana kabisa.GSM anakula dimpoz pia. Sema basi atakuwa anapokezana na Joho 001.GSM ommy dimpoz ni shemu wake pendwa, ommy si mke wa gavana Joho., GSM anamla Kamwe, Sallah anamla Priva, prezoo anamla takadini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kila kitu kwa kiasi. Mbona wana wa Israeli hawakuendelea kuvumilia huko Misri?Kwenye maisha ukiendeza kiburi haufiki mbali sisi wakristo tuna ambiwa mithali 16: 18-19 "kiburi hutangulia uangamivu; na roho yenye kutakabari hutangulia maanguko. Afadhali kuwa na roho ya unyenyekevu pamoja na maskini ,kuliko kugawanya nyara pamoja na wenye kiburi. "Shetani alitupwa kutoka mbinguni kwa sababu ya kiburi
Nendeni CAS sasaHuo mshahara unaongezwa baada ya manyanyaso.
Manyanyaso yalikuwa makubwa sana."Baada ya kuwasumbua sana ndio wakaniongezea Million 20 zingine baaae."
Mazungumzo yalikua nilipwe signing fees million 100 Kwa mkupuo, baada ya kusaini wananiambia kua mkataba unasema nitalipwa Kwa mafungu. Mkataba ni wa Kingereza na mi sikijui".
Kwani msuva aliposaini mkataba wa kiarabu wakati hajui kiarabu ilikuwaje kiufupi ukiwa na njaa mambo ya mkataba sijui kimeandikwa nn huwezi zingatia akili nizarudi baadae njaa mbaya sana hata mimi ilishanikuta hii sehemu niliyokuwa nafanyia kazi awali.Nipo upande wake lakini hapo kwenye kutokujua mkataba unasemaje sababu ni wa kingeleza namlaumu. Kwanini asaini dili kubwa kama hii bila kuwa na mtalamu wa haya mambo
Hilo lazima. Yanga na TFF nawadharau sana ambapo wanadai kuwa fei bado ana mkataba nao lakini hawamchukuliii hatua yoyote richa ya utoro wa takribani miezi sita bila sababu za msingi.Nendeni CAS sasa
Kama taasisi inakupa stahiki zako kwa wakati na hakuna kipengele wamevunja huko CAS utaenda kusema haupendani na boss?Kila kitu kwa kiasi. Mbona wana wa Israeli hawakuendelea kuvumilia huko Misri?
Kwani ww una matatizo gani na Fei? We unajua wameombana nn na Hesri wakashindwana? Au wamekosana wapi?
Ushaambiwa hana shida na Yanga na anaweza cheza hata leo, tatizo ni ana ugomvi na kiongozi wa Yanga, sasa nini huelewi hapo?
Au unampenda sana Hersi? Fei na wewe wote mnaipenda Yanga, tofauti yenu ni kuwa Fei ni mwajiriwa wa Yanga na ana matatizo na kiongozi wake.
Unavyokazana vumilia vumilia mara kiburi ushathibitisha Fei kwann hataki kufanya kazi na Hersi?
Nyie ndo wale mtoto hataki kwenda shule unakamata fimbo unampiga badala ya kumhoji na kuchunguza kumbe mwanao ananajisiwa huko.
Ukiona mtu anagomea maslahi makubwa kwa risk ya yeye kupoteza kabisa weka possibility kuwa kuna jambo halisemi.
Hapo wametumia udhaifu wake wa kutokujua Sheria na lugha kumuumiza, tatizo ni kwamba tayar alikwishasaini so hayo mengine hayana ushahidi arudi wayamalize la sivyo kipaji kinaenda kufa na wanaweza mkomoa zaidi."Tulikubaliana kusainishana mkataba wa miaka miwili, baada ya kusaini nashangaa eti umegeuka kua miaka mitatu"
Msuva alibebwa na malimbikizo ya mshahara na signing fee bila hio strong point ingekula kwake, wao CAS wata amini vipi haukusoma mkataba?Kwani msuva aliposaini mkataba wa kiarabu wakati hajui kiarabu ilikuwaje kiufupi ukiwa na njaa mambo ya mkataba sijui kimeandikwa nn huwezi zingatia akili nizarudi baadae njaa mbaya sana hata mimi ilishanikuta hii sehemu niliyokuwa nafanyia kazi awali.