Tena Ni professional Engineer. Jamani haya ni mambo ya kitalaam. Mwenye hoja naye apinge kitaalam. Japo wengine tungependa kujua kwa faida yetu tu kwani tuko chuoni. Hivi teknolojia ya ujenzi wa mabwawa ya umeme ya1970-80 ndo inatumika mpaka sasa??Usibishane na mimi. Bishana na katibu mkuu wa wizara ya Nishati ndugu Mramba.
Yule aliwadanganya kwa mengi... Kuanzia flyover pale Ubungo hadi bomoa bomoa ya Kimara.Kwa hiyo Magufuli alitu danganya aliposema litaisha kabla ya novemba?
Kuna msemo wa kibeberu unasema Go big or go home...Jamaa alikuwa na ambitions za hatari ila kwenye kuzitekeleza ikawa ndio mtihani
Sasa mbona it is almost 5yrs na mradi wa JNHP haujaisha. Si kila kitu kinahitaji hesabu za magazijuto au kurahisisha.Usisahu Ethiopia Dam ni mara 3 ya JNHP...sis megawat 2145 wao ni elfu 6+.. huwezi ukalijenga at the same pace...km wao lilichukua 10yrs then ukigawa kwa 3 then 3 yrs ni muda sahihi kabisa...Hizi mbona hesabu za darasa la 7 aisee...[emoji1787][emoji1787]
Lakini technologia inayotumika pale si sawa na bwawa la Mtera...Msiwe kila kitu mnakubali tu hao nao ni wanasiasa. Bwawa la Nyerere ni mara mbili tu ya bwawa la Mtera na sio mara kumi.
Na bahati mbaya sana mkamuaminiKwa hiyo Magufuli alitu danganya aliposema litaisha kabla ya novemba?
Angejua ana muda mchache wa kuishi, angefanya Kama Mzee Mandela.Hakujua ana muda muchache ila alitamani kuona Tanzania yenye mafanikio , mutu yeyote mwenye familia anajua namna Gani au njia Gani amezitumia kuhakikisha ustawi wa familia yake kama Kuna rough ezicheza halafu upo hapa kumunanga hayati hongera kwako
Vitu vingi ni vya maana kuboresha maisha yako. Lakini kabla hujafanya, lazima kwanza uweke mipango na vipaumbele kulingana na uwezo wako. Mipango ya nchi haiamuliwi kisiasa na mtu mmoja kadiri anavyojisikia. Tanzania haina uwezo wa kutekeleza miradi ya matrilioni kwa mpigo kwa ufanisi kama inavyofanya. Lazima kuna maeneo yataumia na kudhurika sana hasa ya huduma za kijamii. Kibaya sana ni kununua ndege kwa cash bila business plan.unafikiri kwanini hakuna mzungu alie tayari kutoa madolari? think big here ndo utaelewa maana ya kumuita Chuma cha pua Magufuli.
Hivi mkuu unajua Bunge la Ujerumani lilikaa session kibao kuzungumza na kupinga mradi wa Nyerere Dam eti unaharibu mazingira hebu fikiria umbali uliopo kati ya Tanzania na Germany wao inawaharibia mazingira gani? Lini sisi bunge letu limekaa kujadili mambo ya miradi ya nchi ingine? Magufuli will always remain a hero.
News
Travel and Tourism News. eTurboNews keeps you informed on developing news relevant to international issues on travel, tourism, visitors, and the travel & tourism industry behind. eTurboNews (eTN) has been the internet leader and pioneer in up to the minute and news you only find on eTN...eturbonews.com
yaani ni hivi miradi hii ni ya kibabe na ya kulazimisha ikibidi hata kwa pesa ya ndani maana inafanya nchi kupaa kiuchumi na kupunguza kutegemea mikopo ya wazungu wanayotumia kutukandamiza daima. mzungu akiukataa mradi wako ujue una maslahi kwako lazimisha kuukamilisha and thats why we will always like Magufuli, he was special president
Mama Samia ana elements za Magufuli kuna siku alipinga sana propaganda za wazungu akawaambia sisi sio masikini maana hata kijijini mlo wa mwanakijiji unazidi dola moja (mihogo asali na mayai na maziwa) na wao wanaandika majority tunaishi chini ya dola moja.
Usilinganishe mradi wa Ethiopia Renaissance Dam na huu wa Tanzania. Ethiopia walipitia kwenye upinzani wa Bwawa kutojengwa kwa muda mrefu. Misri walitishia kupiga bomu huo mradi. Kuna wakati ulisimama.Hongera sana Bw. Felchesmi Mramba... Kumbe wenye akili kubwa bado wapo.
Kujenga a mega project kama JNHP kwa kasi waitakayo wananchi na wanasiasa ni kujitegea time bombs.
Sijui wengine akili wanaziweka wapi wanapojadili masuala nyeti, muhimu na hatari kwa maendeleo na uhai. Ndiyo tunahitaji umeme wa uhakika lakini tujue kuwa miradi ya mabwawa ya umeme ni hatarishi. Inahitaji muda na umakini!
Pamoja na mambo mengine... nchini Ethiopia Grand Ethiopian Renaissance Dam ujenzi ulianza 2011 na kukamilika 2020. GERD imeanza kazi 2022.
Tujiandae kisaikolojia. JNHP itachukua muda mrefu zaidi.
Utabaki na hasira isiyo na msaada. Tulia dikteta hayupo tenaHuyu ni Katibu Mkuu wa Wizara husika.
Maana ya lugha hiyo ni kuwaandaa watu wakubali mipango ya kifisadi inayoandaliwa kwenye wizara hiyo.
Kesho utasikia habari za mipango ya dharura inayohitajika kufanywa ili nchi isiwe gizani.
Hawa watu ni wapuuzi sana, wanafikiri waTanzania ni wajinga.
Kabla ya ujenzi kuanza, mkandarasi na wataalam huko Tanesco hawakujua kuwa itahitaji muda mrefu kukamilisha ujenzi huo? Hii miradi inafanywa tu kwa kubahatisha bila ya kuwa na upambanuzi juu yake kuhusu muda utakaohitajika kuikamilisha?
Hayo mabwawa anayotolea mifano yake, yalijengwa kwa muda huo wakitumia teknologia gani? Leo hii hapajakuwepo na maendeleo/mabadiliko yoyote katika ujenzi wa mabawa haya?
Huku kuwadharau waTanzania kiasi hiki kunatokana hasa na nini?
Hawa watu inatakiwa kuwatafutia njia za kuwatia adabu, kwa sababu sasa wamevuka mipaka kabisa katika kuwaona waTanzania kuwa mabwege.
Matokeo si ndio haya tunaona? Uchumi umeyumba kuliko wakati wowoteYe angeweza. Ni uthubutu tu. Kwani mangapi yameanzishwa na yamefanyika. Kuna lecturer mmoja aliniambia wakati serikali inaanza mchakato wa makao makuu dom kuwa hautafanikiwa kabisa. Baadae ye nae akawa mpiga tarumbeta. Nadhani hakuamini kilichotokea.
The Fact kua wakandarasi wali sign mkataba wa miaka mitatu, meana walijua kua it can be pulled of within that timeframe na walitengeneza project time frame ya 3rys.Sasa mbona it is almost 5yrs na mradi wa JNHP haujaisha. Si kila kitu kinahitaji hesabu za magazijuto au kurahisisha.
Zingatia pia local context!
Maisha ya meko ilikuwa uongo uongo mwingi. Hakuna ajabuTatizo la kwanza kwenye huo mradi tangu unaanza ni kutanguliwa na siasa nyingi badala ya utaalamu, tatizo la pili ni kukosekana uwazi katika mchakato wake mzima hadi kampuni ya wamisiri ilipoanza kujenga.
Pia Kuna uongo mwingi sana raia wameaminishwa kuhuusu huo mradi.
Hilo la mwenge wangelifanya ningefurahi sana. Sijawahi kuona faida za mwenge kitaifa.Tuacheni siasa kwenye uchumi, kama mmeamua SGR then iwe SGR mnafunga mikanda mnafuta maposho, mnafuta mbio za mwenge, mnafuta sensa hadi uchumi utengemea sio mnafanya Kila kitu kwa mkupuo lazima mfeli.
Katiba ndio shida. "Rais si lazima akubali ushauri wowote"Hapana. Nchi yetu ina matatizo makubwa sana na ni kichaa tu atakayeshangilia au kusifu haya yanayotokea. Ilikuwaje mtu mmoja awe na nguvu ya kuanzisha miradi complex namna hiyo bila kupata ushauri? Kwa nini hawa wanaopiga kelele sasa hivi hawakutoa hiyo tahadhari kipindi hicho, including aliyekuwa makamu wa rais? Kwanini baada ya haya yote kutokea tunaona ni kama hakuna makosa yaliyofanyika na tukabadilisha mfumo kwa haraka sana ili yasitokee tena na badala yake tunajivuta? Hatuoni kwamba hata sasa hivi kuna makosa makubwa kabisa yanaweza kuwa yanafanyika na tusijue sasa hivi kwa sababu mfumo wetu ni mbovu?
Ali go big kwenye nini sasa...miaka yake 5 alikamilisha nini ambacho tutasema kweli hiki kimebadili maisha ya watz kwa deni la trilioni 78 aliloacha?Kuna msemo wa kibeberu unasema Go big or go home...
only doers understand the true meaning ya huo msemo, and JPM was one of them.
Katibu mkuu hajaeleza hayo unayoeleza wewe, na ningetegemea kuwa anao uwezo mzuri kabisa wa kuelezea hayo kwa ufasaha mkubwa na akaeleweka.Punguza hasira mkuu, umeme wa nchi 60% unazalishwa kwa gesi so unaposema JNHPP Inacheleweshwa kisa ufisadi haingii akilini, kwanini ufisadi usifanyike kwenye Bomba la gesi ambako ndio expensive kufanya maintenance na kufua umeme??
Issue kubwa ni kwamba Miradi mingi Ina overlaps, SGR hapo hapo Bwawa hili, Bado sensa inakuja, hapo Bado Mabilion tunalipa riba Kila mwezi ya madeni ya taifa ya nje. Ukitaka kufanikiwa fanya jambo moja kwa ufanisi ila kuanza mambo mengi kwa mkupuo kisa kuonekana Unaleta mabadiliko lazima yachelewe.
Unadhani trillion 1 na kitu tunayoingiza kwa mwezi inaweza facilitate Miradi yote mikubwa, wagebill, na interest rates Kila mwezi??
Kwani hizo trilioni 78 kakopa zote yeye?kwanza hili sio deni sahili, deni sahini ni 64Tirioni hizo 78 sijui umezitoa wapi.Ali go big kwenye nini sasa...miaka yake 5 alikamilisha nini ambacho tutasema kweli hiki kimebadili maisha ya watz kwa deni la trilioni 78 aliloacha?
Wewe utakuwa ni kilaza kama unafikiri nipo hapa kumshangilia dikteta.Utabaki na hasira isiyo na msaada. Tulia dikteta hayupo tena
Mkuu umenena,Mabwawa yamejengwa mengi Kidatu,Nyumba ya Mungu,Mtera,Pangani, bila mbwembwe na porojo za kisiasa.Tatizo la kwanza kwenye huo mradi tangu unaanza ni kutanguliwa na siasa nyingi badala ya utaalamu, tatizo la pili ni kukosekana uwazi katika mchakato wake mzima hadi kampuni ya wamisiri ilipoanza kujenga.
Pia Kuna uongo mwingi sana raia wameaminishwa kuhuusu huo mradi.