Ficheni ila wenye Watu wetu ndani ya Yanga SC wametuambia kuwa hizi ndizo sababu za Senzo Mbatha Kuwakataa

Nasikia hata aliwaambia.msimnunue huyo Keyz kwampesa nyingi mnoo nasikia engineer akabisha ona sasa hata pesa ya kambi hawana, pesa ya kumlipa.senzo hawanaa, pesa ya kumnunulia designer wenu kitambaa kizuri cha kutengenezea jezi pia hawanaaa yaaan huyu Key ndio kawaletea balaa kubwaa

Walaiiiii huyu key aziz asipo deliver hakika ipo siku wana utopolon wata mfurumusha na mawe au chupa za maji pale kiwanjan ...mm namtazama tu huyu ki aziz
 
Msimbishie mtoa kishasema ana ( mtu wake ) Bwana ake yupo Yanga ndo kampa hizo siri..
 
Nasikia, nasikia [emoji3525][emoji3525] endelea kusikia

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Ulitaka asiondoke?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hahaha unajua jamaa aliona ule upuuzi wa uchaguzi eti mgombea aliyejipitisha bila bingamiz ana chagua upande wa makamu 😆😆😆 ....akaona eh nijiondokeagee mie

Sema ameondoka wakat mzuri maana yule mbwatukaji yupo sero, lasivyo ange mtolea maneno ya shombo sana
 
Peleka kwa Mange Kimambi
 
Sababu za Senzo kuondoka Simba ni zipi? Fala wewe
 
Bw shemeji umenena vyema, hawa walivuruga zaidi walipoendekeza njaa
 
Yanga ndio washaanza kupoteana...
Manara , Morrison, jezi , Senzo...

Ila yanga bana ..wazee wa kusubiria SIMBA adondoshe mifupa....
 
Mbona tunaambiwa atakuja kivigine transformation ikikamilika?
 
Umesahau moja la usajili wa Morrison
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…