Ficheni ila wenye Watu wetu ndani ya Yanga SC wametuambia kuwa hizi ndizo sababu za Senzo Mbatha Kuwakataa

Nasikia hata aliwaambia.msimnunue huyo Keyz kwampesa nyingi mnoo nasikia engineer akabisha ona sasa hata pesa ya kambi hawana, pesa ya kumlipa.senzo hawanaa, pesa ya kumnunulia designer wenu kitambaa kizuri cha kutengenezea jezi pia hawanaaa yaaan huyu Key ndio kawaletea balaa kubwaa

Walaiiiii huyu key aziz asipo deliver hakika ipo siku wana utopolon wata mfurumusha na mawe au chupa za maji pale kiwanjan ...mm namtazama tu huyu ki aziz
 
Msimbishie mtoa kishasema ana ( mtu wake ) Bwana ake yupo Yanga ndo kampa hizo siri..
 
Nasikia hata aliwaambia.msimnunue huyo Keyz kwampesa nyingi mnoo nasikia engineer akabisha ona sasa hata pesa ya kambi hawana, pesa ya kumlipa.senzo hawanaa, pesa ya kumnunulia designer wenu kitambaa kizuri cha kutengenezea jezi pia hawanaaa yaaan huyu Key ndio kawaletea balaa kubwaa

Walaiiiii huyu key aziz asipo deliver hakika ipo siku wana utopolon wata mfurumusha na mawe au chupa za maji pale kiwanjan ...mm namtazama tu huyu ki aziz
Nasikia, nasikia [emoji3525][emoji3525] endelea kusikia

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Ulitaka asiondoke?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hahaha unajua jamaa aliona ule upuuzi wa uchaguzi eti mgombea aliyejipitisha bila bingamiz ana chagua upande wa makamu 😆😆😆 ....akaona eh nijiondokeagee mie

Sema ameondoka wakat mzuri maana yule mbwatukaji yupo sero, lasivyo ange mtolea maneno ya shombo sana
 
GENTAMYCINE sijawahi Kuandika Jambo ambalo sina uhakika nalo na bahati nzuri nina Rafiki zangu wengi ndani ya Yanga SC kuanzia Wachezaji wao Waandamizi ( hasa Wazawa ) na Viongozi wao Wawili ambao popote Timu ilipo nao huwa wapo na ndiyo Wamenipa haya niliyoyaelezea hapa.

Sijui nije pia na Taarifa ya Aibu ya aliyekuwa Kipa wa Yanga SC Dogo Ramadhan Kabwili ( Dogo tuliyemlea Wenyewe tokea akiishi Lugalo Kota hadi kwa Kocha wa Watoto Zagalo na Mamilo wa Kawe ) dhidi ya Mmoja wa Viongozi wa Juu wa Yanga ( tena ni Tajiri ) nae au nikaushe ( ninyamaze ) kwa sasa mpaka hili la Jezi Mbovu na Kituko lililowakera karibia 99% ya wana Yanga SC nchini liishe.....!!!!
Peleka kwa Mange Kimambi
 
1. Kufanya Kazi kama Deiwaka tu na siyo kumpa Mkataba wa Kueleweka huku mkimchafua kwa Wanachama kuwa ni Mlevi wa Pombe na kwamba huwa analewa Chakari.

2. Kukataa kwa Yanga SC Kumuuza Mshambuliaji wake Fiston Mayele katika Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kwa Tsh Billion 3 za Kitanzania ambazo zingeisaidia Kuikuza Yanga kuliko ilivyo sasa.

3. Kuona hakuna Professionalism ndani ya Klabu ya Yanga ambapo Chawa wa Tajiri na Wapumbavu waliojazana kupewa Kipaumbele na Wataalam ( Wasomi ) Kudharauliwa.

4. Alikataa kabisa Mhamasishaji wa Yanga SC Mfungwa na Mdaiwa Haji Manara asifanye Press Conference yake ya Wiki iliyopita kwakuwa ingeichafua zaidi Yanga SC na hata kuiweka Matatani ( Matatizoni ) na TFF ila akashangaa Uongozi ( hasa Wadhamini GSM ) kuwa nyuma yake.

5. Kuzinduliwa kwa Jezi Mbovu na Mbaya kuwahi kutokea katika Historia ya Soka Duniani za Msimu ujao wa NBC Premier League ambazo haziendani na Hadhi ya Klabu ya Yanga na Yeye pia ambaye ni Mzoefu katika Mpira wa Afrika na hata wa Dunia.

6. Kitendo cha Mganga ( Mchawi ) wa Timu kupewa Umuhimu mkubwa na Kulipwa Pesa nyingi huku Watendaji wa Klabu wakidai Mishahara yao Kumemkasirisha zaidi na kuona kumbe anafanya Kazi na Wahuni pamoja na Waswahili.

7. Klabu ya Yanga SC kuwa na Madeni makubwa ( mengi yakiwa ni ya Kujitakia ) Ili tu Kuwafurahisha Mashabiki na pia Kuwadanganya wana Yanga SC kuwa Wameingia Udhamini na Kampuni ya Sports Pesa wa Tsh Bilioni 12 kwa Miaka Mitatu wakati Mkataba halali waliouingia Yanga SC na Sports Pesa ni wa Tsh Bilioni 3 tu kwa Miaka Mitatu.

Endeleeni tu Kuficha mambo yenu!!!!
Sababu za Senzo kuondoka Simba ni zipi? Fala wewe
 
Bw shemeji umenena vyema, hawa walivuruga zaidi walipoendekeza njaa
 
Yanga ndio washaanza kupoteana...
Manara , Morrison, jezi , Senzo...

Ila yanga bana ..wazee wa kusubiria SIMBA adondoshe mifupa....
 
Mbona tunaambiwa atakuja kivigine transformation ikikamilika?
 
1. Kufanya Kazi kama Deiwaka tu na siyo kumpa Mkataba wa Kueleweka huku mkimchafua kwa Wanachama kuwa ni Mlevi wa Pombe na kwamba huwa analewa Chakari.

2. Kukataa kwa Yanga SC Kumuuza Mshambuliaji wake Fiston Mayele katika Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kwa Tsh Billion 3 za Kitanzania ambazo zingeisaidia Kuikuza Yanga kuliko ilivyo sasa.

3. Kuona hakuna Professionalism ndani ya Klabu ya Yanga ambapo Chawa wa Tajiri na Wapumbavu waliojazana kupewa Kipaumbele na Wataalam ( Wasomi ) Kudharauliwa.

4. Alikataa kabisa Mhamasishaji wa Yanga SC Mfungwa na Mdaiwa Haji Manara asifanye Press Conference yake ya Wiki iliyopita kwakuwa ingeichafua zaidi Yanga SC na hata kuiweka Matatani ( Matatizoni ) na TFF ila akashangaa Uongozi ( hasa Wadhamini GSM ) kuwa nyuma yake.

5. Kuzinduliwa kwa Jezi Mbovu na Mbaya kuwahi kutokea katika Historia ya Soka Duniani za Msimu ujao wa NBC Premier League ambazo haziendani na Hadhi ya Klabu ya Yanga na Yeye pia ambaye ni Mzoefu katika Mpira wa Afrika na hata wa Dunia.

6. Kitendo cha Mganga ( Mchawi ) wa Timu kupewa Umuhimu mkubwa na Kulipwa Pesa nyingi huku Watendaji wa Klabu wakidai Mishahara yao Kumemkasirisha zaidi na kuona kumbe anafanya Kazi na Wahuni pamoja na Waswahili.

7. Klabu ya Yanga SC kuwa na Madeni makubwa ( mengi yakiwa ni ya Kujitakia ) Ili tu Kuwafurahisha Mashabiki na pia Kuwadanganya wana Yanga SC kuwa Wameingia Udhamini na Kampuni ya Sports Pesa wa Tsh Bilioni 12 kwa Miaka Mitatu wakati Mkataba halali waliouingia Yanga SC na Sports Pesa ni wa Tsh Bilioni 3 tu kwa Miaka Mitatu.

Endeleeni tu Kuficha mambo yenu!!!!
Umesahau moja la usajili wa Morrison
IMG-20220731-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom