mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Simba?CEO mwerevu na mwenye CV iliyoshiba kama Senzo, hawezi kufanya kazi kwa muda mrefu na timu yenye mambo ya kiswahili na ya kishamba kama Utopolo.
AlifukuzwaSababu za Senzo kuondoka Simba ni zipi? Fala wewe
Wewe ni muongo , muhuni , laghaiGENTAMYCINE sijawahi Kuandika Jambo ambalo sina uhakika nalo na bahati nzuri nina Rafiki zangu wengi ndani ya Yanga SC kuanzia Wachezaji wao Waandamizi ( hasa Wazawa ) na Viongozi wao Wawili ambao popote Timu ilipo nao huwa wapo na ndiyo Wamenipa haya niliyoyaelezea hapa.
Sijui nije pia na Taarifa ya Aibu ya aliyekuwa Kipa wa Yanga SC Dogo Ramadhan Kabwili ( Dogo tuliyemlea Wenyewe tokea akiishi Lugalo Kota hadi kwa Kocha wa Watoto Zagalo na Mamilo wa Kawe ) dhidi ya Mmoja wa Viongozi wa Juu wa Yanga ( tena ni Tajiri ) nae au nikaushe ( ninyamaze ) kwa sasa mpaka hili la Jezi Mbovu na Kituko lililowakera karibia 99% ya wana Yanga SC nchini liishe.....!!!!
Una uharo wewe si bure.1. Kufanya Kazi kama Deiwaka tu na siyo kumpa Mkataba wa Kueleweka huku mkimchafua kwa Wanachama kuwa ni Mlevi wa Pombe na kwamba huwa analewa Chakari.
2. Kukataa kwa Yanga SC Kumuuza Mshambuliaji wake Fiston Mayele katika Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kwa Tsh Billion 3 za Kitanzania ambazo zingeisaidia Kuikuza Yanga kuliko ilivyo sasa.
3. Kuona hakuna Professionalism ndani ya Klabu ya Yanga ambapo Chawa wa Tajiri na Wapumbavu waliojazana kupewa Kipaumbele na Wataalam ( Wasomi ) Kudharauliwa.
4. Alikataa kabisa Mhamasishaji wa Yanga SC Mfungwa na Mdaiwa Haji Manara asifanye Press Conference yake ya Wiki iliyopita kwakuwa ingeichafua zaidi Yanga SC na hata kuiweka Matatani ( Matatizoni ) na TFF ila akashangaa Uongozi ( hasa Wadhamini GSM ) kuwa nyuma yake.
5. Kuzinduliwa kwa Jezi Mbovu na Mbaya kuwahi kutokea katika Historia ya Soka Duniani za Msimu ujao wa NBC Premier League ambazo haziendani na Hadhi ya Klabu ya Yanga na Yeye pia ambaye ni Mzoefu katika Mpira wa Afrika na hata wa Dunia.
6. Kitendo cha Mganga ( Mchawi ) wa Timu kupewa Umuhimu mkubwa na Kulipwa Pesa nyingi huku Watendaji wa Klabu wakidai Mishahara yao Kumemkasirisha zaidi na kuona kumbe anafanya Kazi na Wahuni pamoja na Waswahili.
7. Klabu ya Yanga SC kuwa na Madeni makubwa ( mengi yakiwa ni ya Kujitakia ) Ili tu Kuwafurahisha Mashabiki na pia Kuwadanganya wana Yanga SC kuwa Wameingia Udhamini na Kampuni ya Sports Pesa wa Tsh Bilioni 12 kwa Miaka Mitatu wakati Mkataba halali waliouingia Yanga SC na Sports Pesa ni wa Tsh Bilioni 3 tu kwa Miaka Mitatu.
Endeleeni tu Kuficha mambo yenu!!!!
🤔🤔🤔 Siku zote umbea auna posho👗👗👗👠👠1. Kufanya Kazi kama Deiwaka tu na siyo kumpa Mkataba wa Kueleweka huku mkimchafua kwa Wanachama kuwa ni Mlevi wa Pombe na kwamba huwa analewa Chakari.
2. Kukataa kwa Yanga SC Kumuuza Mshambuliaji wake Fiston Mayele katika Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kwa Tsh Billion 3 za Kitanzania ambazo zingeisaidia Kuikuza Yanga kuliko ilivyo sasa.
3. Kuona hakuna Professionalism ndani ya Klabu ya Yanga ambapo Chawa wa Tajiri na Wapumbavu waliojazana kupewa Kipaumbele na Wataalam ( Wasomi ) Kudharauliwa.
4. Alikataa kabisa Mhamasishaji wa Yanga SC Mfungwa na Mdaiwa Haji Manara asifanye Press Conference yake ya Wiki iliyopita kwakuwa ingeichafua zaidi Yanga SC na hata kuiweka Matatani ( Matatizoni ) na TFF ila akashangaa Uongozi ( hasa Wadhamini GSM ) kuwa nyuma yake.
5. Kuzinduliwa kwa Jezi Mbovu na Mbaya kuwahi kutokea katika Historia ya Soka Duniani za Msimu ujao wa NBC Premier League ambazo haziendani na Hadhi ya Klabu ya Yanga na Yeye pia ambaye ni Mzoefu katika Mpira wa Afrika na hata wa Dunia.
6. Kitendo cha Mganga ( Mchawi ) wa Timu kupewa Umuhimu mkubwa na Kulipwa Pesa nyingi huku Watendaji wa Klabu wakidai Mishahara yao Kumemkasirisha zaidi na kuona kumbe anafanya Kazi na Wahuni pamoja na Waswahili.
7. Klabu ya Yanga SC kuwa na Madeni makubwa ( mengi yakiwa ni ya Kujitakia ) Ili tu Kuwafurahisha Mashabiki na pia Kuwadanganya wana Yanga SC kuwa Wameingia Udhamini na Kampuni ya Sports Pesa wa Tsh Bilioni 12 kwa Miaka Mitatu wakati Mkataba halali waliouingia Yanga SC na Sports Pesa ni wa Tsh Bilioni 3 tu kwa Miaka Mitatu.
Endeleeni tu Kuficha mambo yenu!!!!
Kwa hiyo umeokewa na senzo na unamuwakilisha1. Kufanya Kazi kama Deiwaka tu na siyo kumpa Mkataba wa Kueleweka huku mkimchafua kwa Wanachama kuwa ni Mlevi wa Pombe na kwamba huwa analewa Chakari.
2. Kukataa kwa Yanga SC Kumuuza Mshambuliaji wake Fiston Mayele katika Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kwa Tsh Billion 3 za Kitanzania ambazo zingeisaidia Kuikuza Yanga kuliko ilivyo sasa.
3. Kuona hakuna Professionalism ndani ya Klabu ya Yanga ambapo Chawa wa Tajiri na Wapumbavu waliojazana kupewa Kipaumbele na Wataalam ( Wasomi ) Kudharauliwa.
4. Alikataa kabisa Mhamasishaji wa Yanga SC Mfungwa na Mdaiwa Haji Manara asifanye Press Conference yake ya Wiki iliyopita kwakuwa ingeichafua zaidi Yanga SC na hata kuiweka Matatani ( Matatizoni ) na TFF ila akashangaa Uongozi ( hasa Wadhamini GSM ) kuwa nyuma yake.
5. Kuzinduliwa kwa Jezi Mbovu na Mbaya kuwahi kutokea katika Historia ya Soka Duniani za Msimu ujao wa NBC Premier League ambazo haziendani na Hadhi ya Klabu ya Yanga na Yeye pia ambaye ni Mzoefu katika Mpira wa Afrika na hata wa Dunia.
6. Kitendo cha Mganga ( Mchawi ) wa Timu kupewa Umuhimu mkubwa na Kulipwa Pesa nyingi huku Watendaji wa Klabu wakidai Mishahara yao Kumemkasirisha zaidi na kuona kumbe anafanya Kazi na Wahuni pamoja na Waswahili.
7. Klabu ya Yanga SC kuwa na Madeni makubwa ( mengi yakiwa ni ya Kujitakia ) Ili tu Kuwafurahisha Mashabiki na pia Kuwadanganya wana Yanga SC kuwa Wameingia Udhamini na Kampuni ya Sports Pesa wa Tsh Bilioni 12 kwa Miaka Mitatu wakati Mkataba halali waliouingia Yanga SC na Sports Pesa ni wa Tsh Bilioni 3 tu kwa Miaka Mitatu.
Endeleeni tu Kuficha mambo yenu!!!!
Akili za luchelele hizi, punguza bangi1. Kufanya Kazi kama Deiwaka tu na siyo kumpa Mkataba wa Kueleweka huku mkimchafua kwa Wanachama kuwa ni Mlevi wa Pombe na kwamba huwa analewa Chakari.