FIFA inatakiwa kuwaondoa Senegal World Cup kwa mchezo mchafu dhidi ya Egypt

Kwasisi wazee wakubet tunaita both teams to score, warabu hizo ndozao, nawenyewe inabidi wafaidi walicho kiwekeza Kwa miaka mingi.
 
Wanasemaga siku zote muosha huoshwa.

Na kwa walichokutana nacho Egypt jana ndo wataamua sasa wazidishe , wapunguze au wabuni kitu kipya sababu maumivu wameyapata moja kwa moja kitu ambacho hawajazowea.
 
Yani wewe mtoa mada ata mpira hufatilii inabaki kuropoka tu. Embu jaribu kufwatilia game ya kwanza uone hao mafarao walivokuwa wanafanya michezo yao hiyo
Walichofanya mara ya kwanza hakifiki hata 1% ya uhuni wa jana
 
ahaaaa kumbe hata mbumbumbuuu fc wanaweza tumia huu ujambazi kwa wale wa Niger !
 

Piga kimya hujui unazi wa waarabu wakiwa kwao katika mechi kama hzi. Achana na uzi wa kukopi kutoka kwa waarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…