Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Algeria labda kombe la Mbuzi.Tulia wewe Waarabu kwa figisu ndio wanaangoza, Algeria, Morroco na Tunisia watawawakilisha
KWA hiyo huwa mnafanya uhuni nusu huku mlitarajia mnaofanyia mtawapangia wao wasifanye kilo mbili. Poleni wana Egypt.Walichofanya mara ya kwanza hakifiki hata 1% ya uhuni wa jana
Jibu mujarabKWA hiyo huwa mnafanya uhuni nusu huku mlitarajia mnaofanyia mtawapangia wao wasifanye kilo mbili. Poleni wana Egypt.
Egypt ile inayokaba 90 mins itanfunga nani Huko?Senegal hawafiki mbali
Umeanza kuangalia mechi za waarabu Jana SI ndio !!?? Hakuwa watu wajinga wenye michezo ya hovyo kama hao unaowatetea ...kifupi wameanzisha wao hii tabia. Muosha huoshwa...Nimetizama mpira kati ya Senegal vs Egypt, licha ya mchezo mzuri ulioonyeshwa na timu zote lakini mashabiki wa Senegal wametia aibu
Walikuwa wakiwalenga machoni wachezaji wa Egypt na mwanga mkali wa laser kipindi wanacheza na walipokuwa wakipiga penalti
Hili limewaathiri sana wachezaji wa Egypt hasa kwenye upigaji penalti. FIFA haipaswi kuruhusu uhuni huu, Senegal waondolewe au mechi irudiwe bila mashabiki ili kukomesha tabia hii chafu
Yaani leo uwanjani kulikuwa hivi...Dunia nzima imeshangaa
View attachment 2168706
Asee Boss comment yangu ilikua kabla ya mechi ya Algeria haijashindaAlgeria labda kombe la Mbuzi.
Sanasana yeye ndio kapigwa spana za kutoshaSawa , waandikie FIFA barua , maana hapa JF hutopata msaada wa malalamiko yako
Dah... ukawatabiria waarabu watung'oe Simba tusioshindika?Asee Boss comment yangu ilikua kabla ya mechi ya Algeria haijashinda
Mbona Simba na Yanga zinajaza wakati timu ya Taifa hata kufika robo ya nyomi ya Simba na Yanga hawafikishi!!?? Mpira wetu umegubikwa na upuuzi mwingi mnooo ...Mi nataka kujua kwanini wenzetu wanajaza viwanja mashabiki halafu huku kwetu wanazuia?
Winning Probability mkuu, yaani this qualifications imejaa malalamiko, ilipaswa mechi zote wapige Marefa waarabu kama Senegal na Egypt tuone excuses zao.Dah... ukawatabiria waarabu watung'oe Simba tusioshindika?
Friendly match ni tofauti na competitive match, ingekua Ni Morroco vs Tz qualifications. Uwanja ungejaaMbona Simba na Yanga zinajaza wakati timu ya Taifa hata kufika robo ya nyomi ya Simba na Yanga hawafikishi!!?? Mpira wetu umegubikwa na upuuzi mwingi mnooo ...
Afu wakienda World Cup Finals wanalitia aibu bara la AfricaWinning Probability mkuu, yaani this qualifications imejaa malalamiko, ilipaswa mechi zote wapige Marefa waarabu kama Senegal na Egypt tuone excuses zao.
Ila Waarabu bana wanapenda kulalamika weee wakiwa favored wanasema wana kiwango.
Itakua haukuangalia mechi yao ya kwanza wewe...Nimetizama mpira kati ya Senegal vs Egypt, licha ya mchezo mzuri ulioonyeshwa na timu zote lakini mashabiki wa Senegal wametia aibu
Walikuwa wakiwalenga machoni wachezaji wa Egypt na mwanga mkali wa laser kipindi wanacheza na walipokuwa wakipiga penalti
Hili limewaathiri sana wachezaji wa Egypt hasa kwenye upigaji penalti. FIFA haipaswi kuruhusu uhuni huu, Senegal waondolewe au mechi irudiwe bila mashabiki ili kukomesha tabia hii chafu
Yaani leo uwanjani kulikuwa hivi...Dunia nzima imeshangaa
View attachment 2168706
Vs Congo, Vs Madagascar,Vs Guniea zilikuwa sio za qualifications SI ndio !!??Friendly match ni tofauti na competitive match, ingekua Ni Morroco vs Tz qualifications. Uwanja ungejaa
CAF ililimit mashabiki baadhi ya mechi hapo.Vs Congo, Vs Madagascar,Vs Guniea zilikuwa sio za qualifications SI ndio !!??
Mbona Nigeria walilimitiwa na wameingia zaidi ya 60,000 wakati sisi hata tuliyopewa hatukufikia.CAF ililimit mashabiki baadhi ya mechi hapo.
Hakuna kitu kama hicho. FIFA wanazo taarifa hizo, lakini hicho hakikuwa kisingizio cha Misri kunyukwa. Senegal imeshapitishwa katika mataifa yatakayokipiga World Cup mwezi Novemba mwaka huu. Bahati mbaya pole sana, jaribu tena 2026, kwa mwaka huu maombi yako yamegonga mkenge wa jogoo!Nimetizama mpira kati ya Senegal vs Egypt, licha ya mchezo mzuri ulioonyeshwa na timu zote lakini mashabiki wa Senegal wametia aibu