Finally nimepata watoto mapacha kwa njia ya surrogate


Huna hiyo pesa ,Kama ungekuwa nayo hata ungekuwa na sura Kama bundi ni wanawake wachache sana wangekuwa na jeuri ya kukukataa
 
Kwa nini hili swali ni muhimu?

Tunaweza kujadili hoja badala ya kunijadili mimi?
Ndio ni muhimu kwa sababu umesema bila watoto watu wanahisi hawataishi...jibu swali langu then tuendeleze mjadala
 
Ndio ni muhimu kwa sababu umesema bila watoto watu wanahisi hawataishi...jibu swali langu then tuendeleze mjadala
Wapi nimesema bila watoto watu wanahisi hawataishi?

Na kama nimesema hilo, hilo linalazimishaje liwe muhimu?

Unaelewa hypothetical question ni nini na statement ni nini na tofauti yake?

Au unapuyanga tu kwa hisa kama guluguja asiye na ubongo wala uti wa mgongo?
 
Huna hiyo pesa ,Kama ungekuwa nayo hata ungekuwa na sura Kama bundi ni wanawake wachache sana wangekuwa na jeuri ya kukukataa
Hiyo umesema wewe, huwajui wanawake vizuri unahela zako na unakataliwa vizuri tu, na anamkubalia mtu mwenye kipato cha chini yako
 
Haahaaa nakuzaa nipe heshima yangu tu ..kiukweli inakera
Mwanamke mwenye umri wa kuweza kunizaa mimi hana uwezo wa kuandika na kupost kwenye social media. Kwa hiyo nina uhakika huwezi kunizaa, unless otherwise uwe exceptional, kama nilivyosema kwenye post ya awali..

Mambo mengine vipi Muhenga mwenzangu, Hawajambo Ikungi?
 
Mmmmhhhhh mtu mwenye uwezo wa kutoa 70m akataliwe na mwanamke? Nunua Dungu Jeshi (Vogue) kwa Chris Lukosi kisha tia timu kwenye starehe ,tia timu town sehemu zenye watoto wakaree lazima utashobokewa tu na kuopoa mmoja.
 
Uzi umejaa magasho huu nimesema tangu mwanzo ili chuki zao zibalance ina wafanyane mpk watungishane mimba basi mbona bado wanarudi kuwatumia hao hao wanawake kwa njia ya surrogate ili wapate watoto
 
Siwezag show-off hata kidogo na hapo utapendewa ela na sio kingine

Sasa unataka upendwe na mwanamke? Au haujawai kumsikiliza pastor Maboya? Mwanamke ndio anapendwa ,wewe unatakiwa uheshimiwe tu.
 
Sasa unataka upendwe na mwanamke? Au haujawai kumsikiliza pastor Maboya? Mwanamke ndio anapendwa ,wewe unatakiwa uheshimiwe tu.
Mwanaume ndo unampenda mwanamke Ila simpaka aridhie this means lazima akubali au awe na hisia na wewe
 
Ikungi hawajambo😊
 
Huu ni uongo uwe na 70m cash hiyo ni kufanikisha tu jambo fulani maana yake una utajiri mkubwa sana kwà viwango vya nchi maskini kama tanzania. Halafu wanawake wakukatae sio kweli. Kwanza wanawake wa Tanzania ni wakarimu hawajui kubana mapaja.
Kaangalia movie halafi kajifanya ndo yeye😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…