Finally nimepata watoto mapacha kwa njia ya surrogate

Mpango wa kuoa nilikua nao na napenda sana ndoa Ila ndio hivyo huwezi Amini niliambulia vibuti

Huwezi amini hakuna hata mmoja yaani surrogate imenitibu moyo wangu uliokua umepondeka pondeka
Pole kwa kukataliwa na hongera pia kwa watoto.
 
Wewe kuleta uzi JF tayari ushafanya show off, acha shobo nusu fanya shobo kamili.
Nifanye show-off ili iweje kama hupendwi hupendwi money cannot buy love, but it can buy sex
 
Nishakupoteza kakaangu[emoji848][emoji848]
We nipoteze tu but at least am always at a stress free zone...

Kama kuoa, ni hadi nizeeke zeeke kwanza... nifike 50 hv, halafu nazoa gume gume lolote lile!

Hapo kanuni itakuwa: sikupendi na wala sihitaji upendo wako; na ukinipenda ni kiherere chako cha ku-divert kazi ya moyo wako!
 
Tatizo la kujifikiria wewe tu ,, em ungefikiria watoto jamani.....

Afu pia maisha huenda na mtazamk wako mie nakuona unamtazamo mibaya yaan ile unajiona unaonewa au hawakutaki

Em jiamini kawatafutie mama watoto wanyonye bhana
 
Watanzania mna shida sana hivi kwani mim ndo wa-kwanza kufanya surrogate kwa taarifa yako kufanya surrogate hakuna uspecial wowote mim sio wa kwanza wako watu kibao wamefanya
Man,

Usihangaike nao, na WASIKUPANGIE!!

Haya maisha kila mmoja na formula yake, na wasitake wengine wote waishi kama wao...

Kama option yako umeona ndo hiyo, let it be! Hata ukitaka watoto 7 kwa staili hiyo, IT'S YOUR LIFE, YOUR CHOICE!

Kila mmoja anachagua best alternative ya kuendesha maisha yake... my best alternative may not be your best alternative, and never will!

Hata kwenye ndoa, kuna wengine wanaamua kuoa mke mmoja na wengine zaidi ya mmoja lakini wapenda kupangia watu hata hapo watajaribu kupangia!

Kwavile yeye ana mke mmoja, atataka kumtoa kasoro mwenye zaidi ya mmoja na kama ana zaidi ya mmoja, atataka kumtoa kasoro yule mwenye mmoja!
 
Tatizo la kujifikiria wewe tu ,, em ungefikiria watoto jamani.....

Afu pia maisha huenda na mtazamk wako mie nakuona unamtazamo mibaya yaan ile unajiona unaonewa au hawakutaki

Em jiamini kawatafutie mama watoto wanyonye bhana
Laiti ungejua Kuna maamuzi tunafanya bila hata kupenda Ila ni kutokana na circumstances, yes napenda kuwa na familia mda mwingine maisha hayakupi yale unachotaka but I appreciate your heartfelt comment
 
Wanahaki ya kuchallenge maamuzi yangu since nimeamua kushare kwao kwenye hii forum, ntakua sio muungwana kutokubali challenge zao ndo maana najitahidi kuzijibu
 
Uwe na hela mingi, wanawake wakukatae[emoji848] so Kweli kuna harufu ya upigaji hapa.
Uvuvi haramu unafanyika.
 
Faraja kwenye familia ni jambo la mtambuka,,, mnaweza mkatimiza akidi na bado faraja ikawa kizungumkuti..

Sema wazazi wote wakiwepo mtoto anapata kusoma maisha kwa vitendo.

Raha ya mtoto ( watoto.), mama na baba wawepo pamoja. Mengine ni kujipa faraja iliyo fake
 
@keisangora Ahsante, shukran Mkuu.
Maneno umeyatema kwa ukuu wa ufahamu wako Mwalim.

Hivi sasa ni saa 11:20 pm nimesoma maneno yako mara kadhaa nakahisi faraja kwa yanayonikuta. Kwangu imekuwa sababu ya kujipa moyo na kuacha kutafakari malimwengu.

Mimi nalala. Akipenda Mungu kuniamsha salama nahakika nitaamka mpya keisangora.

Mungu aibarike JF na lejendi kama wewe mkuu.
 
Tatizo la kujifikiria wewe tu ,, em ungefikiria watoto jamani.....

Afu pia maisha huenda na mtazamk wako mie nakuona unamtazamo mibaya yaan ile unajiona unaonewa au hawakutaki

Em jiamini kawatafutie mama watoto wanyonye bhana
We msichana mbona you sound so lovely and caring namna hii!!

Tell me you're single, please!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…