Finally nimepata watoto mapacha kwa njia ya surrogate

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787] haahaahaa nimecheka kwa sauti
 
Ama kweli dunia sio fair kabisa. Wakati wengine wanawapata watoto bure tena kwa kupata utamu kisha wanawatupa; wewe umespend Mil. 70 kwa ajili hiyo!

Pole lakini hongera pia kwa sababu umefanikiwa ulichotamani na kuhitaji!
 
Hongera sana kaka. Surrogate inafanyika hapahapa Tanzania? Au upo nchi za nje? Na watoto watanyonyeshwaje? Hii ni dawa nzuri kwa wanawake maana wamezidi kuringa kila kukicha. Wanaume tuige huu mfano
Kwa milion 70 labda Kama unatugaia, wengine tumepataga watoto kwa pesa ya lodge tu
 
Usisahau Culture Me naye alipata mtoto kwa njia hii bila kuwa na baba. Alinunua s.perms! Hivyo si tu wanawake na wanaume pia
Wahuni hao wala msiwasikilize wanaajenda zao za kihuni,huwezi kuikataa nature yako.
 
Fertilization inafanyika maabara kisha yai hilo linapandikizwa kwa mwanamke wa kulipwa (Surrogate Mother) ili kuikuza mimba hadi kujjfungua.
Hiyo waliosoma veterinary wanaita moet
 
Kisu kimegusa mfupa, ushoga sio mzuri acha tafadhali
 
Mpango wa kuoa nilikua nao na napenda sana ndoa Ila ndio hivyo huwezi Amini niliambulia vibuti

Huwezi amini hakuna hata mmoja yaani surrogate imenitibu moyo wangu uliokua umepondeka pondeka
Acha uongo mkuu kama una uwezo wa kugharamia hiyo huduma kwa milion 70 hivi Ni mwanamke gan hapa mjini atakukataa la sivyo utuambie hizo pesa hazijatoka mfukoni kwako umefadhiliwa.
 
Mpango wa kuoa nilikua nao na napenda sana ndoa Ila ndio hivyo huwezi Amini niliambulia vibuti

Huwezi amini hakuna hata mmoja yaani surrogate imenitibu moyo wangu uliokua umepondeka pondeka
Ni kwanini walikuwa wanakupiga vibuti?
 
70 Million ni pesa ya kawaida, ila usitugeneralize mana ni perception yake.
 
Mim nimekosa ndo maana nikaamua kutumia surrogate kujenga familia unaweza usiamini Ila ndo uhalisia na ukweli wewe mwenyewe mwanaume usiyekua na hisia naye huwez mkubali

Kuhusu Hisia labda huko nchi zilizo endelea lakini kwa bongo hawaangalii Hisia wala nini [emoji108]

Bongo wanawake wanaangalia kipato cha Mwanaume zaidi kuliko kuona kama anampenda Mwanaume na kuwa na hisia naye au la.

Ni kama ulivyoelezea hapo juu uzoefu unaonesha wanandoa wengi wanachepuka Na maEXs sababu ya kukosa hisia toka Kwa wake zao wa ndoa.

Sasa mke anapokutazama kama anavyotazama kaka yake au Baba yake unategemea nini Kwa mfano?!

Uanabaki mazoea tu ilimradi siku ziende!
 
Watoto wa Christiano ronaldo wale Mapacha Walipatikana Kwa surrogate Wana maisha mazuri kuliko mamilion ya watoto duniani wenye wazazi wote wawili
I mean awatafutie #georgina at least they got someone to call mama
 
Ndio maana nikamuambia ukiwa mpambanaji a.k.a hustlers hio ela unaipata ndani ya mda mfupi sana
 
Watoto wa Christiano ronaldo wale Mapacha Walipatikana Kwa surrogate Wana maisha mazuri kuliko mamilion ya watoto duniani wenye wazazi wote wawili
Watanzania inabid watu wabadilike kufikiri tunakariri sana maisha
 
We huwajui wanawake na hela zako unakataliwa vizuri tu Tena na sio mmoja Bali wengi
 
Acha uongo mkuu kama una uwezo wa kugharamia hiyo huduma kwa milion 70 hivi Ni mwanamke gan hapa mjini atakukataa la sivyo utuambie hizo pesa hazijatoka mfukoni kwako umefadhiliwa.
Wanakukataa vizuri tu money is not everything
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…