Finally nimepata watoto mapacha kwa njia ya surrogate

Kwahiyo kuliko kuchagua mwanamke asiye wa matamanio yako mzae mkubaliane kulea unaona bora uzae watoto wasio na mama? 🥴
 
Usisahau Culture Me naye alipata mtoto kwa njia hii bila kuwa na baba. Alinunua s.perms! Hivyo si tu wanawake na wanaume pia
 
Hivi mmeenda hata kijijini mkakosa mke mpaka mzae watoto wasio na mama 🥴
Hao wanawake wa kijijini ni mpaka wawe na hisia na wewe Dunia imebadilika zaman unaweza oa mwanamke ambaye Hana hisia na wewe na ndoa ikawa nzuri Ila si hawa wa sasa hivi
 
safi sana, hawa malaya wa miaka hii waache wajioe wenyewe
 
Kwani bila kuishi na huyo mwanamke mimba haiingii? Vipi mkifanya hiyo IVF na bado mama akabaki na wanawe mkubaliane malezi? Huyo mtoto hata alelewe na best nanny Unafikiri hamu ya kumjua mama yake ndo itatoweka?

Mnafanya maamuzi mkiongozwa na chuki tu kwa wanawake, mara kugawana mali https://jamii.app/JFUserGuide your mali bwana, upendo Mkuu utakaomuonyesha mwanao au yeyotw yule ni kujali mahitaji na hisia zake, huwezi kumleta mtoto duniani umtenge na mama yake bila sababu za msingi halafu ujifanye unampenda, https://jamii.app/JFUserGuide ronaldo ndo Nani kwanza! Macelebrity sio Mungu kwamba kila wanchofanya waigwe.

Ondoeni chuki mliyonayo kwa wanawake. Iponyesheni mioyo yenu iliyojaa sumu na maumivu. Anzisheni familia bora.

Mnachofanya hapa hakina tofauti na ushoga. Mama ni mama mtoto asinyimwe mama kisa kuna mwanamke kakupiga tukio au kisa wanawake unaowataka hawakukubali sababu za kipumbavu sana. Kwaherini huu uzi ni utumbo
 
Huu ni uongo uwe na 70m cash hiyo ni kufanikisha tu jambo fulani maana yake una utajiri mkubwa sana kwà viwango vya nchi maskini kama tanzania. Halafu wanawake wakukatae sio kweli. Kwanza wanawake wa Tanzania ni wakarimu hawajui kubana mapaja.
 
Mapenzi hayalazimishwi hilo unatakiwa ulifahamu, na mim sina chuki na wanawake ili iweje
 
Huu ni uongo uwe na 70m cash hiyo ni kufanikisha tu jambo fulani maana yake una utajiri mkubwa sana kwà viwango vya nchi maskini kama tanzania. Halafu wanawake wakukatae sio kweli. Kwanza wanawake wa Tanzania ni wakarimu hawajui kubana mapaja.
Nani alikudanganya na hela zako unakataliwa sasa kama watu hawana hisia na wewe unategemea nin uwabake ama
 
Kuzaa na mwanamke asiyekua na hisia na wewe atakusumbua kwenye malezi ya mtoto utajuta yaan usijeukafanya hili Kosa sababu atakua anakukomoa
 
Wewe unapromote ushoga tu hapa huna lolote. Mwanaume kamili hawezi kuacha kujua nafasi ya mwanamke kwenye malezi na makuzi ya mtoto
 
Kuzaa na mwanamke asiyekua na hisia na wewe atakusumbua kwenye malezi ya mtoto utajuta yaan usijeukafanya hili Kosa sababu atakua anakukomoa
Nyie hamna akili ndomaana wanawake hawawataki, huzuni kwa watoto watakaotoka viunoni mwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…