Finland tayari wamekatiwa gesi na umeme na Russia

wewe una akili sana kuliko wa Russia walio wakatia umeme na gas, hongera mkuu.
 
Jana EU kawekeana saini na QR kuhusu mauziano ya gesi,so wanahamia urabuni
Yaani watu wengine wagumu kuelewa hakuna MTU aliyesema hakuna mbadala wa gas ya Russia HV cost ya kununua mafuta huko wanapoenda ni gharama sawa na kununua Russia? Maana kuna transport cost kubwa kuliko kununua Russia mafuta yanafika yana bei kubwa ndio maana bei ya bidhaa kwenye nchi zao imepanda
 
Kwani mpaka ufoke?Jifunze arts ya kuzungumza...ungeweza kunielezea kawaida tu ningeelewa jebu punguza mihemuko...tatizo hamtaki kusikia ukweli
 
Kwani mpaka ufoke?Jifunze arts ya kuzungumza...ungeweza kunielezea kawaida tu ningeelewa jebu punguza mihemuko...tatizo hamtaki kusikia ukweli
 
Kwani mpaka ufoke?Jifunze arts ya kuzungumza...ungeweza kunielezea kawaida tu ningeelewa jebu punguza mihemuko...tatizo hamtaki kusikia ukweli
 
Hii vita mwenye faida ni yule aliyeianzisha mmarekani ndo ana faids na hii vita atauza gesi kwa mataifa yote ambayo mrusi alikuwa anauzaatauza silaha kwa mataifa yote ya nato ambayo yataanzisha vita na urusi. Msitegemee uchumi wa mrusi kushuka wakati mataifa yote ambayo yanategemea hidhaa kutoka urusi yanatumia fesha ya urusi nafikiri uchumi wa mrusi utaimarika zaidi
 
Walikata gesi kwa Poland na maisha yanaendelea wakumbushe.
 
Sasa kama wewe ndo una akili kuwazidi wazungu ndo tumia akili yako kuzuia ww3 .πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hata UK na US walisemwa hivi hivi ila now malipo ya ruble yanazidi kushamiri hapo Gazoprambank huku ruble ikiichua vizuri USD sokoni.
Ruble ni currency ya kawaida kwenye uchumi wa dunia. Level zake haipo hata currencies 10 duniani zinazotumika sana. Switzerland haifiki hata 0.5% ya eneo la Russia ila fedha yake Swiss Franc inaizidi mbali umuhimu hiyo Ruble.

Ruble ikue kwa nafasi yake ila sio tishio wala haina impact sana kwenye dunia. Ingekuwa Japan ndio huwa wanafanya devaluation, China ndio kabisa hiyo ni michezo yake ila Russia hata itoke from 1$ = 62 RUB ipande mpaka 1$ = 30 RUB bado dunia haitofeel sana. Vita wakati inaanza walikuwa wanachezea kwenye 80 sasa hivi wako 60 na kitu
 
[emoji3][emoji3][emoji3] kwamba wanamgambo ndo walikuwa wanaoperate na morskova iliyolipuliwa
 
Putin hajawahi kutishia kuivamia Finland, kwani aliwahi tishia kuivamia Ukraine kabla? Nani kakwambia nchi kuchukua hatua ni lazima kwanza zitishiwe kwa maneno, wale sio kama sisi.

Russia hana uwezo wa kumfuata Marekani. Kwa uchumi gani alionao, huu unaozidiwa na South Korea? Switzerland GDP yake ni kama 40% hivi ya Russia ila eneo lake ni kama 0.5% ya Russia. Russia kama ni mtambo tungesema hauko efficient.

Hivi ni nchi gani jirani na Marekani itapokea ofa ya kuweka majeshi na silaha za Russia kwake. Hakuna faida kiuchumi wala kisiasa, unless nchi iwe very desperate inatishiwa kuvamiwa na Marekani.

Kwa silaha gani alizonazo za kuizunguka Marekani na bases. Kwa mfano ataenda na meli zipi kufanya replenishments kwenye hizo bases around na Marekani. Moskva iliyozamishwa na Ukraine haikuwa hata na functioning fire control radar, meli kubwa ulinzi sifuri. Jana nimeona wameifidia na meli ndogo ndio iwe flagship ya Black sea fleet. Aircraft carrier pekee ya Urusi ile Admiral Kuznetvoz ndio wiki hii imeenda kwenye drydock ili ikafanyiwe maintenance, ni miaka mitatu tangu floating dock izame na baadae meli ikapata ajari ya moto, before kuzamisha floating dock ilitoka mission ambako ilibidi isindikizwe na tugboat na ni mara chache sana ilifanya mission. Sasa kwa navy ya hivi unafanyaje support kwenye majeshi yako yaliyo mbali na mainland.

Marekani anaweza hayo kwa kuwa uchumi unaruhusu. Russia akitaka kuweka bases awe na uchumi wa level hizo na teknolojia yake izidi kukua. China mbona ana base pale Djibout, mbona anataka kufungua base Solomon Islands karibu kabisa na Australia na kina NATO wanalalamika. China inao uwezo wa kuweka base kwenye nchi fulani ndogo hata
iwe mbali vipi, hiyo nchi ikapigwa sanctions ila China ikaipa kila kitu na ziada. Russia haina uwezo huo, sasa cha kufia nini.
 
Sasa si utuambie hapa hiyo namna waliyojiandaa mbona umezunguka zunguka tuu?
 
Jifunze kusoma na kuelewa
 
mkuu kama wewe huna akili kwann ulazimishe na wengine.
Ungekuwa una akili sana tungekuwa tunakusoma kwenye vitabu au majarida umevumbua kitu flan,kama hujawahi kufikia hiyo stage,una akili ya kawaida tu ya kuwezesha kupata mkate wa familia ambayo kila mtu anayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…