Fisi aliyeuawa kwa risasi 49, wananchi wagawana nyama

Fisi aliyeuawa kwa risasi 49, wananchi wagawana nyama

Kweli alikuwa fisi mtata, kwanini baada ya kukwepa risasi ya Kwanza hakukimbia? Mlio wa bunduki unaogopesha sana.
Au hai Askari wa wanyama pori ndio walitumwa dodoma kumshughulikia Tundu Lissu?
Atakuwa ni fisi maji/ mtu ....

Fisi mmoja na risasi 49? Kwamba askari hawakuwa na shabaha au fisi alikuwa na machejo sana? Au walikuwa wanakimbizana? Inafikirisha

😄😄
 
Inamaana watakao kula nyama hiyo watakwepa risasi 49 ,
Au wataujua uchawi Kwa kula nyama!
Watapata uwezo wa kukwepa matone ya mvua za elnino
Wataharisha sana
Unaanzaje kula hii takataka?

1627444353260.png
 
Atakuwa ni fisi maji/ mtu ....

Fisi mmoja na risasi 49? Kwamba askari hawakuwa na shabaha au fisi alikuwa na machejo sana? Au walikuwa wanakimbizana? Inafikirisha

[emoji1][emoji1]
Walikuwa wanalenga mkia, pua masikio na miguu
 
Wanabodi,

Tarehe 25/07/2021 imeripotiwa tukio la fisi kushambulia na kuua mtoto wa mwaka mmoja na nusu.

Tukio hilo limetokea karibu na Hifadhi ya Lugoya huko Kaliua.

Mratibu wa polisi Mkoani tabora SA JONGO anasema saa 9 usiku fisi alivamia nyumbani na kukapora hako katoto na kukajeruhi.

Wazazi na ndugu wa huyo mtoto wakati wanapambana na huyo fisi nao walijeruhiwa.

Anasema baada ya askari wa wanyamapori na askari polisi kufika kwenye eneo la tukio na kuchukua maelezo fisi huyo aliibuka tena na kuwavamia askari.

Na cha kustaajabisha fisi anakwepa risasi.

Hii wanabodi ni kali, fisi anakwepaje risasi za moto?

Au mnawapeleka fisi mafunzoni kule Monduli?

Video hii hapa.

Kaliua mmetisha sanaa.

 
Back
Top Bottom