Fisi aliyeuawa kwa risasi 49, wananchi wagawana nyama

Kweli alikuwa fisi mtata, kwanini baada ya kukwepa risasi ya Kwanza hakukimbia? Mlio wa bunduki unaogopesha sana.
Au hai Askari wa wanyama pori ndio walitumwa dodoma kumshughulikia Tundu Lissu?
Atakuwa ni fisi maji/ mtu ....

Fisi mmoja na risasi 49? Kwamba askari hawakuwa na shabaha au fisi alikuwa na machejo sana? Au walikuwa wanakimbizana? Inafikirisha

๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Kuna haha serikali itoe ruzuku kwenye Bei ya nyama, maana inaonekana ni mlo adimu Sana na wananchi hawana uwezo wa kununua, just imagine, kilo ni 7000/ tu
Heheheh uchumi wa kati braza
 
Atakuwa ni fisi maji/ mtu ....

Fisi mmoja na risasi 49? Kwamba askari hawakuwa na shabaha au fisi alikuwa na machejo sana? Au walikuwa wanakimbizana? Inafikirisha

[emoji1][emoji1]
Walikuwa wanalenga mkia, pua masikio na miguu
 
Wanabodi,

Tarehe 25/07/2021 imeripotiwa tukio la fisi kushambulia na kuua mtoto wa mwaka mmoja na nusu.

Tukio hilo limetokea karibu na Hifadhi ya Lugoya huko Kaliua.

Mratibu wa polisi Mkoani tabora SA JONGO anasema saa 9 usiku fisi alivamia nyumbani na kukapora hako katoto na kukajeruhi.

Wazazi na ndugu wa huyo mtoto wakati wanapambana na huyo fisi nao walijeruhiwa.

Anasema baada ya askari wa wanyamapori na askari polisi kufika kwenye eneo la tukio na kuchukua maelezo fisi huyo aliibuka tena na kuwavamia askari.

Na cha kustaajabisha fisi anakwepa risasi.

Hii wanabodi ni kali, fisi anakwepaje risasi za moto?

Au mnawapeleka fisi mafunzoni kule Monduli?

Video hii hapa.

Kaliua mmetisha sanaa.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ