Fisi aliyeuawa kwa risasi 49, wananchi wagawana nyama


"askari wetu akipiga tatu akamkosa atawajibika sikwambii askari aliefundishwa akapiga 16 huyo mtu atoke mzima". -Mama Samia

Hao waliopiga zote hizo wawajibishwe aiisee
 
Wananchi hawataki utani, wanaona kama fisi atatema risasi na kufufuka...
 
Hawa wametuibia risasi zetu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Askari hawana Shabaha wanasingizia eti Fisi ni mahiri wa Kukwepa Risasi...

Bongo vituko haviishi [emoji2][emoji2][emoji2]
Wametuibia risasi zetu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ungekufa kimasihara
 
Pia aliongeza kuwa polisi na askari wanyamapori walimuua baada ya kutumia risasi arobaini na tisa.
Si angemalizia tu hio moja zifike 50[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka kifala
 
Sitasahau usku mzto wa saa sita natoka shop kwangu nipo na dogo na demu wake

Huko simiyu town kwa wanapopajua kule kanisa la katoliki mtakatifu john ile tunavuka daraja la kwanza ukiwa unatokea somanda mara tukaona msululu wa fisi zaidi ya 40 yan ni wengi hasa na vitoto wanavuka barabara huku wamebeba mzoga una harufu kali sn
Kucheck pemben napo wapo kibao wamezagaa zagaa tu aisee [emoji848] niliingiwa na uwoga nikawa nawaza yule mtoto wa watu demu wa dogo itakuwaje endapo hawa wazee wa kaz wakiliamsha
Dogo ameshaogopa nilichokifanya nikaendelea kuwastorisha huku tunaendelea na safari kwa mguu huku nasukuma baiskeli
Wao wako kimya kbs kana kwamba ningesema nikimbie uwenda wangepga kelele na wale wazee wa kaz wangestuka wakatuvamia mi nikawa nawapa story tu huku tunatembea mpk wale fisi wakavuka wote wakabaki wale waliokuwa wamezagaa pembeni huko
Stasahau aisee
 
Hapa inaonekana walikuwa wanamkimbiza akikaa kwenye target wanafyatua risasi anakata kona wanamkosa
Hivyohivyo hadi risas hizo
 
Watani zangu wasukuma mmeanza kula nyama ya Ghambit?
Fisi anatumika kwa mambo mengi sana.

Fisi ni mnyama mwenye roho ngumu, mwindaji mzuri tu ila anahisia balaa.

Nyama ya fisi hutumika kama vizimba kwenye dawa mbalimbali hasa zinazohusiana na uhalifu.

Kwa mfano ule msemo wa "Machale yakanicheza" watu wanaochezwa na Machale huchanjwa dawa zilizochanganywa vizimba vya nyama ya fisi.
 
Kwani hujasoma habari yote wewe? Maana wamezungumzia ukwepaji usiomithirika wa risasi wa huyo fisi.
 
Kuna jambazi mmoja alikuwa akisakwa sana na police na alikuwa anaishi mtaani, watu wanamuona kabisa anaingia ndani.

Majirani wanatoa taarifa polisi ila kabla defender haijafika either aondoke au polisi wafike alafu wasimkute ndani.
 
Fisi anauawa kwa risasi moja tu, zikizidi mbili! Hilo lilikuwa lijidide la kitamaduni
 
Kuna jambazi mmoja alikuwa akisakwa sana na police na alikuwa anaishi mtaani, watu wanamuona kabisa anaingia ndani.

Majirani wanatoa taarifa polisi ila kabla defender haijafika either aondoke au polisi wafike alafu wasimkute ndani.
Fisi akiingia kwenye mji wa mtu kwajili ya windo huwa anajua nyumba ambayo kuna watu na ambayo haina watu.

Lakini pia fisi anaweza kuficha harufu yake asisikike kwa mbwa.

Sasa nyama yake inatumika kwa vizimba ambavyo dawa nyingi hutumika kwenye mambo ya uhalifu na uchawi.
CC Mshana Jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…