Lakini si ukweli? Hii Afcon imekuwa mbaya sana kwake. Ilikuwa platform kubwa kupata kuonekana ila hakupewa nafasi na hata alipopewa hakuna alichofanya.Lakini Mayele alianza kuchokoza mwenyewe walipofuzu AFCON alikuwa live insta akiwacheka wabongo, watu wakaanza kumind pale kwamba mchezaji mwenyewe huingizwi ila upo AFCON, nadhani ikawa utani unaouma kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
upo sahihi kabisa Mayele is frustrated with his own incapacity to score now ana wa blame watu wengine. Halafu akicheki Tz haongelewi tena Yanga inafanya vizuri bila yeye. Simba kakandwa 5 bila yeye. Yanga imeingia Champions league bila yeye. Ule ufalme wake Tanzania haupo tena so kaona ili azungumziwe basi aje na tuhuma ambazo yeye mwenyewe tu ndo anazijua...Mpaka kufikia kuamini hivyo kwamba anatupiwa majini ana matatizo ya akili huyo.
Wasitupiwe majini akina Haller atupiwe yeye ambaye hana hata goli moja Afcon?
Hivi ndio vitu mnapenda sasa hivi viongozi wenu wamepata sababu ya kuwaambia , mkikosa ubingwa mtaambiwa wamelogwa na Yanga mlivyo mbumbumbu mtashangiliaAjihudhuru????
Hiyo sasa ndio bellow the beltLakini si ukweli? Hii Afcon imekuwa mbaya sana kwake. Ilikuwa platform kubwa kupata kuonekana ila hakupewa nafasi na hata alipopewa hakuna alichofanya.
Ila Mayele ana uswahili mwingi sana, akae kimya kabla hatujakumbushia mambo yake na akina Gigy Money.
Hiyo sasa ndio below the belt.Kwanini msiyalete wakati muafaka?Why now anapolalamika viongozi wenu na wanachama wenu wanamtukana na kumtumia majini.Lakini si ukweli? Hii Afcon imekuwa mbaya sana kwake. Ilikuwa platform kubwa kupata kuonekana ila hakupewa nafasi na hata alipopewa hakuna alichofanya.
Ila Mayele ana uswahili mwingi sana, akae kimya kabla hatujakumbushia mambo yake na akina Gigy Money.
Hawa ndio gongowazi in a netshell.upo sahihi kabisa Mayele is frustrated with his own incapacity to score now ana wa blame watu wengine. Halafu akicheki Tz haongelewi tena Yanga inafanya vizuri bila yeye. Simba kakandwa 5 bila yeye. Yanga imeingia Champions league bila yeye. Ule ufalme wake Tanzania haupo tena so kaona ili azungumziwe basi aje na tuhuma ambazo yeye mwenyewe tu ndo anazijua...
Wanayanga wala hata hatuna muda nae. Striker mwenyewe wa kufunga kigoli kimoja kimoja ameridhika.
He was just a celebrity here. Apambane na hali yake no ones give a damn about him.
Kwani sisi kosa letu lipi? Kayaanza mwenyewe nasi tunamkumbusha asichokoze vita ya mawe ilhali anaishi nyumba ya vioo.Hiyo sasa ndio bellow the belt
Hiyo sasa ndio below the belt.Kwanini msiyalete wakati muafaka?Why now anapolalamika viongozi wenu na wanachama wenu wanamtukana na kumtumia majini.
Mayele amejibu tu mapigo mkiacha na yeye ataacha.
Mnavyomtisha ndio inazidi kudhirisha kwamba anasema kweli.
Hivi watu na akili zenu mnaamini kabisa kuna uchawi?Nimesikitishwa sana na hii habari. Hata hawa kina Baleke na Kramo ni majini ya Yanga tu. Timu imejaa waswahili. Hakuna mechi ambayo Yanga inacheza bila kuroga. Hii sizungumzi kishabiki
Shem ya Yanga makali π€£Shem Kongo sipana uchawi kwani Kashindwa rudisha ilo jiniπ
Sipo hapa kukuaminisha kwamba kuna uchawiHivi watu na akili zenu mnaamini kabisa kuna uchawi?
That's so primitive
Ninachoshangaa ni kuwa wewe unaamini uchawi upo.Sipo hapa kukuaminisha kwamba kuna uchawi
Anasema viongozi wa Yanga wana chuki naye kiasi cha kuamua kumtumia majiniMimi sijaelewa hapa ni nini kinaendelea. Ungeamza kutuelewesha usifanye kama vile tuko huko
Wewe huamini kama kuna uchawi?Hivi watu na akili zenu mnaamini kabisa kuna uchawi?
That's so primitive
Watu kama hawa ndio mtaji wa CCMHivi watu na akili zenu mnaamini kabisa kuna uchawi?
That's so primitive
Siamini upuuzi huo. Naamini Science.Wewe huamini kama kuna uchawi?
Kabisaaa hahahaaAiseee ni kama kale kakabila ka jirani yako? π€£π€£
Soon utaenda kuroga mmeo kaa mbali na Imani za ajabu ajabuAcheni wangaaaa...acheni kutupia watu madudu...