Fiston Mayele leo unajifanya mjuaji. Tumekutengeneza sisi Yanga na haya leo unayaita majini

Siamini upuuzi huo. Naamini Science.
Kuamini na kuamini kama upo ni vitu viwili tofauti. Mtu anaweza akawa hautumikii uchawi kwa namna yoyote, lakini bado anajua na kuamini kwamba wapo watu wanaofanya uchawi
 
Kuamini na kuamini kama upo ni vitu viwili tofauti. Mtu anaweza akawa hautumikii uchawi kwa namna yoyote, lakini bado anajua na kuamini kwamba wapo watu wanaofanya uchawi
Huo wote ni upumbavu. Sorry
 

Uandishi mbaya ; you think kila mtu anaelewa kinachoendelea ?

Unatakiwa kutoa introduction , what happened na ni nn chanzo

Ndio uanze kuita watu mbwa
 
Mayele anatumiwa na meneja wake kisiasa za usimba na yanga kufifisha trend ya ujenzi wa uwanja wa Yanga.
 
Niliwahi kusema humu...

Yanga kama nyoka, anakung'ata then hakuli ...

Leo ndio mtaelewa chanzo cha Baleke kushuka kiwango, majeraha ya phiri na kramo n.k

Kwenye mpira wa tz, yanga ni kirusi, wanaroga ili wenzao wasifanikiwe halafu wao wakipata nafasi hawana uwezo wa kufanya chechote.
 
Ninachoshangaa ni kuwa wewe unaamini uchawi upo.
Ondokana na imani hizo za kijinga. Huyo Mayele ni mzuri ila siyo kwa level anayofikiria.
Training, training, training .....
Huna cha kuniongoza kuhusu kuwepo au kutokuwepo kwa uchawi. Huna. Kwenye hilo mind your business
 
Mayele anatumiwa na meneja wake kisiasa za usimba na yanga kufifisha trend ya ujenzi wa uwanja wa Yanga.

Tufafanulie huyo Meneja anapata faida gani kufifisha trend ya uwanja,wa Yanga?
Mbona Meneja hajasikika popote kuzungumzia shauri hili.Au ni ile give a dog a bad name so when you decide to shoot it nobody will complain.
Nice try.
 
Ukute huyu nae alihesabiwa sensa
 
uran mbona uzi wa update wa Simba umefungwa? Au uliwahi sana?
Sijaona pa kukuulizia nimeona uzi wa Majini dela Fc umenoga nikasema nikuulizie hapa .. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ 🐸
Ndio naingia hewani
 
Sawa hata usipozipuuza. Zitunze zitakusaidia mbele ya safari mkuu. Lakini YANGA itabaki ile ile milele
 
Nimesikitishwa sana na hii habari. Hata hawa kina Baleke na Kramo ni majini ya Yanga tu. Timu imejaa waswahili. Hakuna mechi ambayo Yanga inacheza bila kuroga. Hii sizungumzi kishabiki
Uko sahihi. Mchawi pekee anaweza kumjua mchawi mwenzie
 
Kwa hiyo majini yanaweza kufanya kazi kwa Mayele ila yasiweze kufanya kazi kwa Konkon?
 
Waacheni bana Utomajini....wapumzike...waende vilingeni..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…