Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Na sisi ndio tuliompa umaarufu.Sana. Wacha tumkomeshe. Atashuka kiwango mpaka aje kuchezea kitayosa. Yeye leo ndo wa kujifanya kuiponda Yanga na huku alikuja mweupe tu Yanga tukamjenga.
Kama kweli anajiweza aendeleze jina huko alipo bila kutegemea tagi kutoka kwetu.