Aiseee ni kama kale kakabila ka jirani yako? 🤣🤣Yanga ni wachawi...full stop.
Zile kauli za kusema mtu akiondoka Yanga hafanikiwi na wanaona rahaa..mara timu ikiifunga inashuka daraja..ndo mjue ni majini matupu yapo pale jangwani..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee ni kama kale kakabila ka jirani yako? 🤣🤣Yanga ni wachawi...full stop.
Zile kauli za kusema mtu akiondoka Yanga hafanikiwi na wanaona rahaa..mara timu ikiifunga inashuka daraja..ndo mjue ni majini matupu yapo pale jangwani..
ongeza AUCHO na PACOME ntalia sana.Na hilo suala la kumshobokea linanikera sana basi tu.
Mchezaji ambaye akiondoka Yanga nitahaha ni Diarra, na kiasi Aziz Ki.
Dah! Kwa hiyo siku hizi Yanga inaishi kwa kuroga! Na siyo kutoa tena bahasha kwa waamuzi na wachezaji wa timu pinzani!!Nimesikitishwa sana na hii habari. Hata hawa kina Baleke na Kramo ni majini ya Yanga tu. Timu imejaa waswahili. Hakuna mechi ambayo Yanga inacheza bila kuroga. Hii sizungumzi kishabiki
Iko na musahili musuri 😂😂Boo....Fiston amekolea lubumbashi..hiyo fasi wanasumbulia bien swahili hivyo hkn matata kwake
Yamemfika Kooni kaona Hata Ngoja niseme tu 🤣🤣Jamaa inaonekana amedumu muda mrefu akiwa na maumivu bila kufungua mdomo
Ndyooo vile ..tuchunge mbele ..tuone vile atasumbulia juu ya nnIko na musahili musuri 😂😂
Tatizo aliondika tukiwa tunamuhitaji bado. Yeye na proffesa Nabi.Mimi kama Mwanayanga damu kabisa wala sina habari na Mayele.
Mchezaji kama mpenzi, akienda mwache aende na umtakie heri kabisa.
Hatokaa akuumize.
Atakuwa bize vipi wakati wanamroga.Mayele akifanya mchezo ataishia walipoishia wachezaji wengine mahiri waliopita Yanga. Awe bize na timu yake ya sasa badala ya kuendelea kuchat na hawa wapuuzi wa Jangwani. Hiyo timu inatukuza mambo ya hovyo na haina historia ya kuacha mchezaji wake aende akapate mafanikio makubwa kwingine. Mayele walimruhusu aende kwasababu walijua wana BACK UP ya majini. Yule Nonda Shaban kama sio jeuri angeishia kuwa kama Mrisho Ngassa.
Kumbe kwenye kuloani kuna majini jamani jamani muwe mnaangalia na dini za kufataHii ndio dawa ya mchawi. Muanike. Haji kimbelembele ndio muhusika mkuu wa kutafuta majini ya kwenye kuruani
[emoji38][emoji38]
Watanzania ndio maana hata wakiachwa na wapenzi wao huwa wanajiua.
Mchezaji wala hakuwa na miaka mitano kwenye timu yenu ila mmeshindwa kabisa kumuacha aendelee na maisha yake?
[emoji851][emoji851]
Watanzania ndio maana hata wakiachwa na wapenzi wao huwa wanajiua.
Mchezaji wala hakuwa na miaka mitano kwenye timu yenu ila mmeshindwa kabisa kumuacha aendelee na maisha yake?
Comments zako zinanifurahisha sana.Mpaka kufikia kuamini hivyo kwamba anatupiwa majini ana matatizo ya akili huyo.
Wasitupiwe majini akina Haller atupiwe yeye ambaye hana hata goli moja Afcon?
Ila inabidi apambane majini yamwachie. La sivyo ataonekana hana kiwango ataachwaMayele analipwa million 90
Akirudi kuwa masikini atakuwa hajielewi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpira unapigwa bwana yanga si mchezoNdio maana nilikuwa nashangaa huu mpira yanga wameutoa wapi kumbe wanawachezesha majini sisi tunajua wakina pakome na the like..😀🤣🤣
Inafanya vyote. Fuatilia kwa wanazi wa karibu na uongozi utajua hiliDah! Kwa hiyo siku hizi Yanga inaishi kwa kuroga! Na siyo kutoa tena bahasha kwa waamuzi na wachezaji wa timu pinzani!!