Fiston Mayele leo unajifanya mjuaji. Tumekutengeneza sisi Yanga na haya leo unayaita majini

Mayele akifanya mchezo ataishia walipoishia wachezaji wengine mahiri waliopita Yanga. Awe bize na timu yake ya sasa badala ya kuendelea kuchat na hawa wapuuzi wa Jangwani. Hiyo timu inatukuza mambo ya hovyo na haina historia ya kuacha mchezaji wake aende akapate mafanikio makubwa kwingine. Mayele walimruhusu aende kwasababu walijua wana BACK UP ya majini. Yule Nonda Shaban kama sio jeuri angeishia kuwa kama Mrisho Ngassa.
 
Nimesikitishwa sana na hii habari. Hata hawa kina Baleke na Kramo ni majini ya Yanga tu. Timu imejaa waswahili. Hakuna mechi ambayo Yanga inacheza bila kuroga. Hii sizungumzi kishabiki
Dah! Kwa hiyo siku hizi Yanga inaishi kwa kuroga! Na siyo kutoa tena bahasha kwa waamuzi na wachezaji wa timu pinzani!!
 
Mayele akifanya mchezo ataishia walipoishia wachezaji wengine mahiri waliopita Yanga. Awe bize na timu yake ya sasa badala ya kuendelea kuchat na hawa wapuuzi wa Jangwani. Hiyo timu inatukuza mambo ya hovyo na haina historia ya kuacha mchezaji wake aende akapate mafanikio makubwa kwingine. Mayele walimruhusu aende kwasababu walijua wana BACK UP ya majini. Yule Nonda Shaban kama sio jeuri angeishia kuwa kama Mrisho Ngassa.
Atakuwa bize vipi wakati wanamroga.
Na mbeba tunguri wa yanga sasa hivi ni mwamnyeto.ila ukiwaambia wanakuwa wakali.
 
Ndio maana niliacha kufatilia mpira wa Tanzania na Africa kiujumla. Yani uchawi, ushirikina, kurogana Aisee ngoja nibakie na Liverpool yangu
 
Watanzania ndio maana hata wakiachwa na wapenzi wao huwa wanajiua.

Mchezaji wala hakuwa na miaka mitano kwenye timu yenu ila mmeshindwa kabisa kumuacha aendelee na maisha yake?
[emoji38][emoji38]
 
Watanzania ndio maana hata wakiachwa na wapenzi wao huwa wanajiua.

Mchezaji wala hakuwa na miaka mitano kwenye timu yenu ila mmeshindwa kabisa kumuacha aendelee na maisha yake?
[emoji851][emoji851]
 
Mpaka kufikia kuamini hivyo kwamba anatupiwa majini ana matatizo ya akili huyo.

Wasitupiwe majini akina Haller atupiwe yeye ambaye hana hata goli moja Afcon?
Comments zako zinanifurahisha sana.
 
Back
Top Bottom