Fixed Deposits Account, UTT-Amis ni njia nzuri za kutunza pesa LAKINI SIYO uwekezaji abadani

Nar

Nenda CRDB urudi na mrejesho

Mara ya kwanza niliuliza ni bank gani na kwa muda gani. Ukanijibu "BANK ZOTE ZA BONGO KWA MUDA WA MIAKA 4". Ndio maana nikatoa data za NMB kwamba zinapingana na maelezo yako, nikomba nieleweshwe zaidi.

Ila kwa kuwa saiv umesema CRDB nadhani tutafuatilia, huenda mikopo wanayotoa wao ina riba nyepesi zaidi.

Asante kwa taarifa

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app[/QUOTE]
 
[/QUOTE]
Riba za mabank almost the same kuanzia 12-17% zinatofautiana kdg tu
 
Sijakuelewa ndugu msimamo wangu ni kwamba UTT ni uwekezaji sio biashara. Na sijakataa kwamba unaweza kukopa kwa kutumia bond.
 
Sijakuelewa ndugu msimamo wangu ni kwamba UTT ni uwekezaji sio biashara. Na sijakataa kwamba unaweza kukopa kwa kutumia bond.
Hizo ni terminologies tu lakini ni kitu kimoja chenye lengo la kutengeneza faida utofauti wake upo hapa investment inatoa passive income lakini business inatoa active income
 
Ok
 
T
Hizo ni terminologies tu lakini ni kitu kimoja chenye lengo la kutengeneza faida utofauti wake upo hapa investment inatoa passive income lakini business inatoa active income
Utofauti ni mkubwa sana mzee investment (money works for you), business (you work for money). Bonds ni investment sio business. Usichanganye mafaili. Ultimate goal ni kutengeneza pesa lakini kwa utofauti.
 
Umeeleza vyema sana, ingawa upande mwingine haujaangalia productivity, such amount ni capital kubwa sana kuweza kuanzisha biashara nyingi. Kwa kuzizungusha ingesaidia kuongeza ajira, production, services, na ku generate more and more income kuliko kuziweka tu na kusubiri faida itokanayo.
 
T

Utofauti ni mkubwa sana mzee investment (money works for you), business (you work for money). Bonds ni investment sio business. Usichanganye mafaili. Ultimate goal ni kutengeneza pesa lakini kwa utofauti.
Sijaona utafauti wa nilichokiandika mm na ulichokiandika ww passive income = money works for you na active income = you work for money na ultimate goal ni kutengeneza faida, utofauti utautengeneza ww mweneyew
 
Hapo umeangalia hii scenario kwa mafungu na sio the whole equation; yaani variable moja tu ya huyu mtu aliyeweka hizi 150m na ni kama umesema kaziweka chini ya mto au pipa; ila realistically sababu ameziweka Bank na zinakopeshwa na watu ili wafanye investments..., basi pesa hizi zinazalisha yote hayo services n.k.; ni kwamba mwingine anazikopa na kufanya hayo uliyosema....

Ila hayo hayamuhusu huyu aliyeweka lazima tuangalie faida yake yeye kama yeye...., sasa kama ni mtu tuseme professor ambaye full time akili yake amewekeza kwenye quantum physics au mtu ambaye ni low key na matumizi yake kwa mwezi ni laki tano; huwezi kuniambia kwake kupata 1.1 kila mwezi (twice the amount ambayo ni matumizi yake) na kupata muda wa kufanya mengine (ambapo kwake ni more valuable) is not worth it (kwa mtizamo wake)

Ila tukija kwenye sustainability na uwezekano wa uchumi kwenda belly up takujibu kwa maneno ya Voltaire ambapo alisema...., 'Fiat currency always eventually returns to its intrinsic value--zero. kwahio kwa jicho la kichunguzi hizi zote na mifumo ya kibenki ya kidunia ni DESI zilizochangamka.....
 
Jambo gani hilo ulifanya ukafeli?

#YNWA
 
Lengo ni kueleweshana na kipeana madini hebu twende kipengele kwa kipengele ili nijifunze zaidi wapi hukubalian ?? Ili tuelekekezane
Namba 1.
a. Mutual fund thamani ya kipande sio lazima ipande, kuna kushuka pia
b. Unaposema "Fixed mil 100 utaikuta palepale" unaijua maana ya compound interest ya principle ya bank?

Kwamba, kwani bank si zina interest of saving?

#YNWA
 
Yes, mimi niliweka NMB fixed ya miaka miwili thogh badae nilikuja kuvunja mkataba, kila mwezi nilikua nakuta faida ya aki mbili na nusu ya faida.
Sio fixed account zinaitwa Flexi account
Fixed account hutoi mpaka maturity date.

#YNWA
 
Kwa mimi mfanyabiashara ni hela ndogo sanaaaa.

#YNWA
Huwezi linganisha passive income inayotokana investment na active income inayotokana na biashara.

In business wise nakubaliana na ww ni ndogo ila in investment wise sio hela ndogo hata kdg na ukizingatia hii ni net profit, hata huko kwa biashara kupata return ya 1.1M as net profit monthly lazima jasho likutoke kweli hasa

All in All kila mtu ana life style yake kuna watu wanapenda kuhangaika na kuna watu hawapendi kuhangaika maamuzi ni yako lazima uchague biashara au uwekezaji unaoendana na life style yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…