Uchaguzi 2020 Fomu namba 8A ndiyo itakayombana Tundu Antipas Lissu, ni ya Maadili ya Uchaguzi

Jinga wewe. Umekata tamaa halafu unatufundisha ujinga wako.
Kama Kijana Daudi angekata tamaa kama mfalme Sauli, Israel wote wangekuwa watumwa wa Wafilisti!!? Alijitoa muhanga dhidi ya Goliath. Akamuua!!!
Magufuli amewafanya Watanzania watumwa wake kwa miaka mitano, inatosha. Ni muda muafaka arudi Kijijini Chato "akawafokee" Wanakijiji wenzake.
After all he has reached a retired age.
 
It is among the rubbish documents!
 
Wagombea uraisi TZA
0.Hashim rungwe spunda
1.Lissu
2.Makufuli
3.lissu na member
 

Unajaribu kutulisha upepo na maneno tupu...

Iko wapi hiyo fomu 8A...?
 
Mnaota kuweka pingamizi tu, hizi ni dalili mbaya kabisa kwa chama chakavu
 
Vipi na huyo mwingine yeye habanwi na maadili sio
 
Chunga sana hili bandiko sio la mzaha[emoji116]

Tulisha yaona mengi sana kama haya. Kwanza can somebody tell us who are these!? Wanamtaja Lissu kama 'client" wao, hawa ni mawakili wake wapya au ni akina nani?

Halafu hawa mabeberu hawabadiliki, they cannot go with time, hivi wanadhani bado kuna nchi za Kiafrika zinawezwa kutishwa na upuuzi kama huu?

This is just a cheapacademic exercise done by unchanging neocolonialists who still think they can intimidate and direct us what to do.

Sasa wamwambie hyo "client" wao kuwa akivunja sheria za nchi hii, haijarishi ni mgombea au mgombewa, atashughulikiwa tu na halafu tuone hao watetezi wake watafanya nini.

Halafu hebu waambieniau waulizeni mbona kwenye hiyo orodha ya walengwa Gen. Mabeyo hayumo? KULIKONI?
 
mabeyo yupo ndugu soma vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…