Uchaguzi 2020 Fr. Kitima: Uchaguzi wa 2020 ulikuwa na vifo vingi kuliko chaguzi nyingine zote

Kwani 2020 kulikuwa na UCHAGUZI au kulikuwa maigizo ya uchaguzi??
 
Jamani uchaguzi 2020 ulikuwa na vifo vingi? Kweli? Lisu alikuja akafanya kampeni bila watu kuuana! Huyu askofu anachuki zake za kipumbavu tu! Nasikia ni home boy wa Lisu! Hivo vifo aliviona yeye tu? Ujinga kabisa!

Wewe unamuongelea Lissu, je mbunge Bakari wa ACT Pemba aliyepigwa Risasi kipindi Cha uchaguzi kaja kufariki baadaye.
 
Binafsi nakumbuka alikuwa anatoa kauli kinzani na misimamo ya Simba wa Yuda.Hata jambo la Corona hakumuunga mkono Magu njia aloitumia yakujifukiza majani ya milingoti.
 
Zanzibar uko Karume alizamisha watu kwenye mashua wengine wakapigwa risasi na jeshi. Lakini watakwambia nchi hii hakujawai tokea mauaji kama kipindi cha Magufuli.

Hivi Magufuri huyu aliyemtuma Sirro kuweka kambi Pemba?. Hadi mbunge Bakari wa ACT akafariki kwa kupigwa Risasi. Ubaya wa karume haumfanyi Magufuli kuwa mzuri. Wote Ni wauaji.
 
Hakina mdee tuliona wakituonyesha makaratasi tu ya kura bandia,hao watu wengi Kitima aliosema wamekufa,walikufa mkoa hupi?huyu padre naye mpuuzi tu ndio maana Kagame anawafunga,kanisa katoriki liliusika sana na mauaji ya Kimbali nchi Rwanda.

Usikimbie ukweli kwa kuonesha ubaya wa Watu wengine. Magufuli alikuwa muuaji ndio maana naye kaondoka akakutane na roho alizoziua. Mbona Pemba Watu wamepigwa Risasi na habari zikizuiwa mpaka alipofariki Mh Bakari Mbunge huko Pemba kwa kupigwa Risasi mguuni. Wakati wa Magufuli taarifa zilikiwa zinaminywa.
 
Jamani uchaguzi 2020 ulikuwa na vifo vingi? Kweli? Lisu alikuja akafanya kampeni bila watu kuuana! Huyu askofu anachuki zake za kipumbavu tu! Nasikia ni home boy wa Lisu! Hivo vifo aliviona yeye tu? Ujinga kabisa!
Ukweli unakuuma?
 
Sasa kama ziliminywa yeye kazipata wapi? wakati wa uchaguzi watu tulikuwa jamii forums, Facebook, iliyofungwa ni tweet tu, nayo watu walikuwa wanaingia kupitia VPN, hatukuona taarifa zozote za vifo, sanasana karatasi za bandia, binadamu sio Kama mende eti watu wengi wafe vyombo vya habari visijue, BBC na Dw vyombo vya kimataifa vilikuwepo hatukuona vikizuiwa kutoa tarifa, au kufungiwa, huyo Padre wenu alikuwa na chuki na Magufuri tu.
 
Wewe Father ndio mnafiki wa kwanza, ulikuwa wapi hujayasema hayo yalipotokea? Au ulishiriki unataka kujikosha?

Au mlikuwa mnaliogopa jiwe? Mliufyata kama alivyoufyata FaizaFoxy wakati wa bwana yule.
 
Wewe Father ndio mnafiki wa kwanza, ulikuwa wapi hujayasema hayo yalipotokea? Au ulishiriki unataka kujikosha?

Au mlikuwa mnaliogopa jiwe? Mliufyata kama alivyoufyata FaizaFoxy wakati wa bwana yule.
Hata wewe uliufyata ukawa mpole kama unanyolewa
 
Hata wewe uliufyata ukawa mpole kama unanyolewa
Unafanya mchezo na dikteta yule? Si unamuona Father Kitima anavyoleta unafiki hapo? Sasa twala asali.

Kazi ya Mungu haina makosa.
 
Kila ubaya utalipwa
 
Itakuwa aliogopa kutekwa..
 
Tumia akili angalau kdg tu, ili uweze kujibu hoja! Kwa mtindo huo hutokaa uweze kujibu hoja makini!!

 
Jamani uchaguzi 2020 ulikuwa na vifo vingi? Kweli?

Lisu alikuja akafanya kampeni bila watu kuuana! Huyu askofu anachuki zake za kipumbavu tu!

Nasikia ni home boy wa Lisu! Hivo vifo aliviona yeye tu? Ujinga kabisa!
Pole san mkuu 🀣🀣🀣, unapata weweseko hili kutokea mitaa gan πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Chaguzi 2020 utabaki kuwa mwiba kwa miaka mingi kwa kila aliyeshiriki uhalifu ule.
 
Maridhiano feki ya Samia na genge lake la juzi.

Mh samia anaona aibu. Anajua kilichotokea.
 
Wewe hapa unayapayuka , kwa msukumo wa unazi juu ya mtu au chama bila ya kuwa na takwimu zozote.

Usitegemee mtu kama huyo anaweza kusema maneno kama hayo, tena kwenye hadhara ya aina ile bila ya kuwa na ushahidi anaoutegemea.
Team Scam Gang hao wanatabu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…