Uchaguzi 2020 Fr. Kitima: Uchaguzi wa 2020 ulikuwa na vifo vingi kuliko chaguzi nyingine zote

Uchaguzi 2020 Fr. Kitima: Uchaguzi wa 2020 ulikuwa na vifo vingi kuliko chaguzi nyingine zote

Father Kitima japo ni Padre wangu lakini naona kakosa msimamo ni huyu huyu wakati wa JPM alikuwa akisifia kila kitu leo ameguka tena kuwa mkosoaji je kwa nini huo ukosoaji hakuuweka wazi tangu mwanzo Kiongozi wa dini msimamo wake unapaswa kuwa thabiti siku zote sio kubadilikabadilika.
Kwani kasema uongo?
 
Hivi Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) linasubiri nini kumtimua Katibu Mkuu huyu kama lilivyofanya kwa Wilbroad Silaa. Kitima anapaswa kufutwa upadre aende akaoe na kufanya kazi za siasa huko chadema kwa homeboy wake Lissu.
 
Yeye Huyo father ameshuhudia vifo vingapi na amezika watu wangapi?

Chaguzi zote ukiacha za mwalimu hakuna hata moja isiyokuwa na dosari za kuibwa kura.

Acheni chuki binafsi walioshindwa 2020 walishindwa kama wagombea wengine kura zao hazikutosha wagombee 2025 mbona nafasi zote zipo wazi hata ya Urais
Mnajifanya hamna akili au mnafikiri wote hawana akili kama nyie, mnaharibu nchi wapuuzi kama wewe
 
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki la Tanzania (TEC), Fr. Charles Kitima ambaye aliwahi kuwa Vice Chancellor wa SAUT amekosoa wizi wa kura na kusema ni dhambi kwa Mungu kwa sababu ni uongo lakini pia inapelekea kuwa na viongozi wabaya. Amesema kwa miaka sita iliyopita, mazingira ya siasa Tanzania yameharibiwa kiasi cha kutoweza tena kuwa mfano wa nchi nyingine kuja kujifunza demokrasia nchini Tanzania.

Amekosoa suala la kuwa na wabunge wengi kupita bila kupingwa kwa wakati huu. Akiitaja hiyo kuwa ni sababu ya vijana wengi kutojihusisha na masuala ya siasa ikiwemo kupiga kura. Hivyo halihuwa ni mbaya na kupata viongozi wasiostahiki.

Aeyasema hayo katika kikao cha TCD ambacho pia amekikosoa kuwa hakuna haja ya maridhiano kwa kuwa hakuna waliokoseana. Hivyo ni jukumu la nchi kuweka mipango ya kusonga mbele na sio kuwa na maridhiano kwa sasa.

Amesema uchaguzi wa 2020 umesababisha vifo vya watu wengi kuliko chaguzi nyingine zote zilizowahi kufanyika nchini Tanzania. Amevitaka vyama kusimamia ilani zao ili kuepuka fujo. Amesisitiza Upendo haki na amani.
Alete evidence kuwa tulikuwa na vifo vingapi na chaguzi nyingine zilikuwa na vifo vingapi.
 
Father Kitima japo ni Padre wangu lakini naona kakosa msimamo ni huyu huyu wakati wa JPM alikuwa akisifia kila kitu leo ameguka tena kuwa mkosoaji je kwa nini huo ukosoaji hakuuweka wazi tangu mwanzo Kiongozi wa dini msimamo wake unapaswa kuwa thabiti siku zote sio kubadilikabadilika.
Weka clip inayonekana akisifia, siku zote niliona akipinga jpm
 
Hivi Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) linasubiri nini kumtimua Katibu Mkuu huyu kama lilivyofanya kwa Wilbroad Silaa. Kitima anapaswa kufutwa upadre aende akaoe na kufanya kazi za siasa huko chadema kwa homeboy wake Lissu.
Yaan afukuzwe kwa vile kasema ukweli, siku wakiitwa wenye akili nyingi usikose kwenda.
 
Askofu kama kiongozi wa kiroho alikuwa wapi kuyasema haya na kuyakemea wakati yakitokea zama zile zile mpaka asubiri sasa... Hizi ni dalili za unafiki kwa kiongozi wa kiroho.
 
Father Kitima japo ni Padre wangu lakini naona kakosa msimamo ni huyu huyu wakati wa JPM alikuwa akisifia kila kitu leo ameguka tena kuwa mkosoaji je kwa nini huo ukosoaji hakuuweka wazi tangu mwanzo Kiongozi wa dini msimamo wake unapaswa kuwa thabiti siku zote sio kubadilikabadilika.
Labda amebaini ya kuwa alikengeuka, si vibaya mtu kujirudi na kufuata njia iliyo sahihi.
 
Nakwambia huyu Kitima ni mnafiki na Mpumbavu huyo Mnayatru mwenzake Lisu alidhani anaweza kuwa Rais! Hawa viongozi wa dini wamejificha kwenye majoho akijivika ngozi za kondoo huku ndani yao mbwa mwitu! Hao watu waliouawa wako wapi? Wote tulikiwa humu jamii forum? Mikutano yote ya Lisu hapakuwa na fujo iliyopelekea watu kufariki! Hata kama mitandao ulikuwa inaminwa! Huyu Kitima alivyo mjinga hawezi kuzungumzia mauji ya watu nchini kwa sasa yalivo mengi na mfumuko wa bei unavyo unaathiri hata waumini wake badala yake kutwa nzima hasira na Magufuli kitu amabacho kinasukumwa na ukabila wake na upumbavu usio na tija! Magufuli kashakufa yeye anajiandaaje kwenda kujibu dhambi zake huko kwa Mungu akiwa ni pamoja na uzinzi na watoto wadogo wa chuo pale SAUT!
Sasa kama ziliminywa yeye kazipata wapi? wakati wa uchaguzi watu tulikuwa jamii form, Facebook,iliyofungwa ni tweet tu,nayo watu walikuwa wanaingia kupitia VPN,hatukuona taarifa zozote za vifo,sanasana karatasi za bandia,binadamu sio Kama mende eti watu wengi wafe vyombo vya habari visijue, BBC na Dw vyombo vya kimataifa vilikuwepo hatukuona vikizuiwa kutoa tarifa,au kufungiwa,huyo Padre wenu alikuwa na chuki na Magufuri tu.
 
Hivi Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) linasubiri nini kumtimua Katibu Mkuu huyu kama lilivyofanya kwa Wilbroad Silaa. Kitima anapaswa kufutwa upadre aende akaoe na kufanya kazi za siasa huko chadema kwa homeboy wake Lissu.
Imekuchoma eenh?
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Father Kitima japo ni Padre wangu lakini naona kakosa msimamo ni huyu huyu wakati wa JPM alikuwa akisifia kila kitu leo ameguka tena kuwa mkosoaji je kwa nini huo ukosoaji hakuuweka wazi tangu mwanzo Kiongozi wa dini msimamo wake unapaswa kuwa thabiti siku zote sio kubadilikabadilika.
Huna taarifa sahihi. U uvccm umepofusha akili zako.
 
Amesema uchaguzi wa 2020 umesababisha vifo vya watu wengi kuliko chaguzi nyingine zote zilizowahi kufanyika nchini Tanzania. Amevitaka vyama kusimamia ilani zao ili kuepuka fujo. Amesisitiza Upendo haki na amani.
Kwa hiyo ,ugaidi ulikuwepo? Mbona si muelewi Padri?
 
father anatafuta kiki au teuzi njaa mpaka kanisani na sijawasikia viongozi wa dini ya kiislamu wakimsema jpm
 
Zanzibar uko Karume alizamisha watu kwenye mashua wengine wakapigwa risasi na jeshi. Lakini watakwambia nchi hii hakujawai tokea mauaji kama kipindi cha Magufuli.

karume kauwa watu kama walivyokufa kosovo kauwa maelfu na maelfu ya watu. mpaka wazanzibar wengine wakakimbilia dubai kwa kupanda mashua wakapokelewa na mfalme wa dubai mzee makhtoom akawapa nyumba bure sehemu inaitwa rashidia dubai ipo karibu na airport mpaka leo wanaishi huko lakini hazungumzwi kabisa kwa sababu aliwauwa waislamu,hata mjukuu wake fatma karume hasemi yeye ni makufuli tuu. mkapa kauwa wapemba wangapi hazungumzwi kimyaa. makufuli kauwa umati wapi? tumefanya uchaguzi tundu lissu anazunguka kila sehemu na hakuna alieuwawa na jpm, mtazidi kumsema jpm lakini haitawasaidia
 
father kitima atakuja kusema mvumuko wa bei kupanda umeletwa na jpm
 
Yeye Huyo father ameshuhudia vifo vingapi na amezika watu wangapi?

Chaguzi zote ukiacha za mwalimu hakuna hata moja isiyokuwa na dosari za kuibwa kura.

Acheni chuki binafsi walioshindwa 2020 walishindwa kama wagombea wengine kura zao hazikutosha wagombee 2025 mbona nafasi zote zipo wazi hata ya Urais
Kusema ukweli ni chuki? Au unatamani angeyasema unayo yapenda kiyasikia?, kwani unadhan 2020 ulikuwepo wewe peke yako tu tanzania na wengine hawakuwepo wala hawakuona kilicho tokea?
 
Back
Top Bottom