Uchaguzi 2020 Fr. Kitima: Uchaguzi wa 2020 ulikuwa na vifo vingi kuliko chaguzi nyingine zote

Uchaguzi 2020 Fr. Kitima: Uchaguzi wa 2020 ulikuwa na vifo vingi kuliko chaguzi nyingine zote

Kusema ukweli ni chuki? Au unatamani angeyasema unayo yapenda kiyasikia?, kwani unadhan 2020 ulikuwepo wewe peke yako tu tanzania na wengine hawakuwepo wala hawakuona kilicho tokea?
Hivi uchaguzi ule unaweza kusema watu wengi waliouawa? Lengo ni kumchafua Magufuli? Na hao akina na Kitima wanafiki wakubwa!
 
Hakina mdee tuliona wakituonyesha makaratasi tu ya kura bandia, hao watu wengi Kitima aliosema wamekufa, walikufa mkoa hupi? ndio maana Kagame anawafunga kanisa katoriki, liliusika sana na mauaji ya Kimbali nchi Rwanda,hatuletee takwimu za chaguzi zilizo pita hadi 2020 tupime,msomi gani huyu anayeongea bila takwimu? Padre hovo kabisa
Kweli watu vichwa maji inamana usha sahau yaliyo tokea zanzibar ,mbeya na arusha? Usha sahau ya dar es salaam na lindi ? Usha sahau ya kagera au hukuwepo wakat wa uchaguzi
 
Kweli watu vichwa maji inamana usha sahau yaliyo tokea zanzibar ,mbeya na arusha? Usha sahau ya dar es salaam na lindi ? Usha sahau ya kagera au hukuwepo wakat wa uchaguzi
Taja hayo matukio usiorodheshe mikoa tu! Kama ndo hivo unaongea upumbavu! Hapa Dar ulikuwepo wewe tu?
 
TEC uwa wanashiriki kwenye Observations za uchaguzi kupitia TEMCO,mabadiliko ya sheria za NGO yakawatoa kwenye shughuli hizo,mwaka 2020 wakati wa uchaguzi walikuwa wanajihusisha na ufatiliaji wa hali ya amani wakati wa uchaguzi ( Peace monitoring.......,nmesahau maneno yanayoendelea hapo mbele), walikuwa wametawanya watu maeneo mengi ya nchi kwa ajili ya zoezi hilo. Nina imani anachokisema huenda ni sahihi.
 
Fr,Kitima hakuaanza leo kukosoa serikali, alimkosoa Kikwete, alimkosoa Magufuli. Kipindi cha utawala wa Magufuli Fr.Kitima hakukaa kimya vilevile, alimkosoa JPM hadharani hasa njia alizozitumia kupambana na janga la uviko 19. Vijana wengi hawamfahamu vizuri Kitima, kitima ni tunda la haki na Amani hapa nchini.
 
Father Kitima japo ni Padre wangu lakini naona kakosa msimamo ni huyu huyu wakati wa JPM alikuwa akisifia kila kitu leo ameguka tena kuwa mkosoaji je kwa nini huo ukosoaji hakuuweka wazi tangu mwanzo Kiongozi wa dini msimamo wake unapaswa kuwa thabiti siku zote sio kubadilikabadilika.
Siku hizi kila kitu ni siasa hadi makanisani
 
TEC uwa wanashiriki kwenye Observations za uchaguzi kupitia TEMCO,mabadiliko ya sheria za NGO yakawatoa kwenye shughuli hizo,mwaka 2020 wakati wa uchaguzi walikuwa wanajihusisha na ufatiliaji wa hali ya amani wakati wa uchaguzi ( Peace monitoring.......,nmesahau maneno yanayoendelea hapo mbele), walikuwa wametawanya watu maeneo mengi ya nchi kwa ajili ya zoezi hilo. Nina imani anachokisema huenda ni sahihi.
Hana lolote huyo! BBC na vyombo vya Habari kibao vilikuwepo mbona hatukusiakia? Au binadamu akifa ni kama mende pale nyumbani kwako anaweza fia kwenye kabati usijue? Huyo anasumbuliwa na unafiki na ukabila wake tu! Mjinga sana huyu bwana! Usije ukadhani kila mtumishi wa kanisa ni mwadirifu angalia migogoro ya Rwanda na makanisa ya humu nchini ndo utajua hawa watu wanamakando kando kibao! Si unaona hata ndugu yake wa KKKT Shoo kila siku migogoro lakini hutawasikia wanazungumzia kupanda kwa gharama za maisha kwa kuwa wao wanaangalia matumbo yao! Hawa BWANA YESU aliwaita wanafiki na mafarisayo!
 
Wewe hapa unayapayuka , kwa msukumo wa unazi juu ya mtu au chama bila ya kuwa na takwimu zozote.

Usitegemee mtu kama huyo anaweza kusema maneno kama hayo, tena kwenye hadhara ya aina ile bila ya kuwa na ushahidi anaoutegemea.
Wale ni matapeli wa siasa tu kwani yeye nani asiseme uhongo??
 
akina Mdee tuliona wakituonyesha makaratasi tu ya kura bandia, hao watu wengi Kitima aliosema wamekufa, walikufa mkoa upi?

Huyu padre naye ndio maana Kagame anawafunga, kanisa katoliki liliusika sana na mauaji ya Kimbali nchi Rwanda.
Kabisaaa
 
Nakwambia huyu Kitima ni mnafiki na Mpumbavu huyo Mnayatru mwenzake Lisu alidhani anaweza kuwa Rais! Hawa viongozi wa dini wamejificha kwenye majoho akijivika ngozi za kondoo huku ndani yao mbwa mwitu! Hao watu waliouawa wako wapi? Wote tulikiwa humu jamii forum? Mikutano yote ya Lisu hapakuwa na fujo iliyopelekea watu kufariki! Hata kama mitandao ulikuwa inaminwa! Huyu Kitima alivyo mjinga hawezi kuzungumzia mauji ya watu nchini kwa sasa yalivo mengi na mfumuko wa bei unavyo unaathiri hata waumini wake badala yake kutwa nzima hasira na Magufuli kitu amabacho kinasukumwa na ukabila wake na upumbavu usio na tija! Magufuli kashakufa yeye anajiandaaje kwenda kujibu dhambi zake huko kwa Mungu akiwa ni pamoja na uzinzi na watoto wadogo wa chuo pale SAUT!
Unampambania kweli ndungu. Yakiletwa waliyosema wengine kwenye kikao hicho cha TCD nao utawatafutia mambo Yao ya binafsi kuwashambulia nayo? Si utachoka sana?
 
Matangazo haya yanaletwa kwenu kwa hisani ya Dr. Wilson Mahera
 
Unafanya mchezo na dikteta yule? Si unamuona Father Kitima anavyoleta unafiki hapo? Sasa twala asali.

Kazi ya Mungu haina makosa.
Father Kitima naye ana mwili wa nyama aliogopa wasio julikana wasimfanye kitu mbaya maana aliyo yapitia mwenzie Askofu Niwemugizi wa Jimbo la Rulenge hakutaka yamfike,.
Father Kitima siyo mnafiki amesimama kwenye ukweli tu, viongozi wa Dini aina ya Kitima ni wachache mno.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Jamani uchaguzi 2020 ulikuwa na vifo vingi? Kweli?

Lisu alikuja akafanya kampeni bila watu kuuana! Huyu askofu anachuki zake za kipumbavu tu!

Nasikia ni home boy wa Lisu! Hivo vifo aliviona yeye tu? Ujinga kabisa!
Unapotoa hoja na kushadadia matusi unapunguza mantiki
 
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki la Tanzania (TEC), Fr. Charles Kitima ambaye aliwahi kuwa Vice Chancellor wa SAUT amekosoa wizi wa kura na kusema ni dhambi kwa Mungu kwa sababu ni uongo lakini pia inapelekea kuwa na viongozi wabaya. Amesema kwa miaka sita iliyopita, mazingira ya siasa Tanzania yameharibiwa kiasi cha kutoweza tena kuwa mfano wa nchi nyingine kuja kujifunza demokrasia nchini Tanzania.

Amekosoa suala la kuwa na wabunge wengi kupita bila kupingwa kwa wakati huu. Akiitaja hiyo kuwa ni sababu ya vijana wengi kutojihusisha na masuala ya siasa ikiwemo kupiga kura. Hivyo halihuwa ni mbaya na kupata viongozi wasiostahiki.

Aeyasema hayo katika kikao cha TCD ambacho pia amekikosoa kuwa hakuna haja ya maridhiano kwa kuwa hakuna waliokoseana. Hivyo ni jukumu la nchi kuweka mipango ya kusonga mbele na sio kuwa na maridhiano kwa sasa.

Amesema uchaguzi wa 2020 umesababisha vifo vya watu wengi kuliko chaguzi nyingine zote zilizowahi kufanyika nchini Tanzania. Amevitaka vyama kusimamia ilani zao ili kuepuka fujo. Amesisitiza Upendo haki na amani.
Wangemkemea yule mwizi kabla hajaondoka ingekua vyema sana.
 
Kweli watu vichwa maji inamana usha sahau yaliyo tokea zanzibar ,mbeya na arusha? Usha sahau ya dar es salaam na lindi ? Usha sahau ya kagera au hukuwepo wakat wa uchaguzi
Yaliyotokea yapi? mbona hatukuona hakina Lissu akituonyesha hizo maiti, sanasana karatasi za Kura bandia, binadamu sio Kama mende eti watu wengi wafe, vyombo vya kimataifa vilikuwepo Kama BBC na Dw, hatukuona taarifa zozote za vifo,hao watu wengi walizikwa wapi?
 
Unajaribu kukataa ukweli kwa kutafuta visingizio vya zamani?. Ni wapi amesema 2000 Watu hawakufa? Kasema uchaguzi wa mwaka 2020 Watu wengi walikufa kuliko uchaguzi wowote ule, ukiwemo wa 2000.

Na ww ulivyozuzu unakubali tu kwa sababu umeshikiwa akili
 
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki la Tanzania (TEC), Fr. Charles Kitima ambaye aliwahi kuwa Vice Chancellor wa SAUT amekosoa wizi wa kura na kusema ni dhambi kwa Mungu kwa sababu ni uongo lakini pia inapelekea kuwa na viongozi wabaya. Amesema kwa miaka sita iliyopita, mazingira ya siasa Tanzania yameharibiwa kiasi cha kutoweza tena kuwa mfano wa nchi nyingine kuja kujifunza demokrasia nchini Tanzania.

Amekosoa suala la kuwa na wabunge wengi kupita bila kupingwa kwa wakati huu. Akiitaja hiyo kuwa ni sababu ya vijana wengi kutojihusisha na masuala ya siasa ikiwemo kupiga kura. Hivyo halihuwa ni mbaya na kupata viongozi wasiostahiki.

Aeyasema hayo katika kikao cha TCD ambacho pia amekikosoa kuwa hakuna haja ya maridhiano kwa kuwa hakuna waliokoseana. Hivyo ni jukumu la nchi kuweka mipango ya kusonga mbele na sio kuwa na maridhiano kwa sasa.

Amesema uchaguzi wa 2020 umesababisha vifo vya watu wengi kuliko chaguzi nyingine zote zilizowahi kufanyika nchini Tanzania. Amevitaka vyama kusimamia ilani zao ili kuepuka fujo. Amesisitiza Upendo haki na amani.
Fr unataka tukuumbue wanawake uliozaa nao?
 
Kwasasa nchi hii kauli ya viongozi wa dini na wanasiasa ni ngumu kuzitofautisha
 
Back
Top Bottom