Kwani kasema uongo?Father Kitima japo ni Padre wangu lakini naona kakosa msimamo ni huyu huyu wakati wa JPM alikuwa akisifia kila kitu leo ameguka tena kuwa mkosoaji je kwa nini huo ukosoaji hakuuweka wazi tangu mwanzo Kiongozi wa dini msimamo wake unapaswa kuwa thabiti siku zote sio kubadilikabadilika.