Uchaguzi 2020 Fr. Kitima: Uchaguzi wa 2020 ulikuwa na vifo vingi kuliko chaguzi nyingine zote

Hivi Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) linasubiri nini kumtimua Katibu Mkuu huyu kama lilivyofanya kwa Wilbroad Silaa. Kitima anapaswa kufutwa upadre aende akaoe na kufanya kazi za siasa huko chadema kwa homeboy wake Lissu.
Acha kumlinganisha Kitima na reject.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fr unataka tukuumbue wanawake uliozaa nao?
Watu wakikosa hoja huzungumzia kilema cha mtoa hoja kana kwamba wao ni malaika. Una thubutu hata kuandika! usivyo na uwezo wa kufikiri kuhusu jambo hilo unalofikiri ni hoja ya kuianika hadharani!
 
Subiri vita ya urusi na ukrene viwachome,safari hii haponi mtu ndugu yangu sindano lazimama iwaingie kwelikweli
 
Siku hizi kila kitu ni siasa hadi makanisani
Wewe kweli umemsikiliza Father Kitima au nia yako ni ubishi tu? Kakueleza amewahi kumweleza Rais Magufuli wakati wa uhai wake kuwa utumbuaji wa watumishi wa umma unaofanywa na viongozi chini yake ni batili. Hujabisha hilo ila unakimbilia kuhitimisha unalotaka kusema tu! Majibu ya aina yako hayafanywi na watu waliobahatika kuelimika.
 
Ambao Samia alishinda kwa kishindo na hatimaye kuwa Makamu wa Rais.
 
Angeyasema wakati wa bwana yule, leo yatasaidia nini? Ushasikia toka mama kaingia kuna wasiojulikana?
 
Jamani uchaguzi 2020 ulikuwa na vifo vingi? Kweli?

Lisu alikuja akafanya kampeni bila watu kuuana! Huyu askofu anachuki zake za kipumbavu tu!

Nasikia ni home boy wa Lisu! Hivo vifo aliviona yeye tu? Ujinga kabisa!
Watu wengi Sana waliuawa kimya kimya na ndio kipindi magereza yalijaa wafuasi wa chadema ambao mama kawaachia.
 
Ni kweli mnaumia ila ndo ukweli 2020 hatukuwa na Uchaguzi tulikuwa na selection aliyoipanga ibilisi na kuiendesha mwenyewe kishamba akisaidiana na vyombo.
 
Kweli haukuwa uchaguzi ilikuw ani kituko kabisa
 
Jamani uchaguzi 2020 ulikuwa na vifo vingi? Kweli?

Lisu alikuja akafanya kampeni bila watu kuuana! Huyu askofu anachuki zake za kipumbavu tu!

Nasikia ni home boy wa Lisu! Hivo vifo aliviona yeye tu? Ujinga kabisa!
Punguza mihemko kanisa katoliki ni taasisi kubwa, ina vyanzo vingi vya taarifu, inazika waumini wake na kujua wamekufa kwa sababu gani, wewe kumbishia Fr. Charles na kupanic bila kuwa na vyanzo vyovyote vya taarufu unakosea mnooo!
 
Huyu ni kundi la Singida na mfuasi mkuu wa Lissu.
 
Punguza mihemko kanisa katoliki ni taasisi kubwa, ina vyanzo vingi vya taarifu, inazika waumini wake na kujua wamekufa kwa sababu gani, wewe kumbishia Fr. Charles na kupanic bila kuwa na vyanzo vyovyote vya taarufu unakosea mnooo!
Kwa hiyo yeye kageuka kuwa msemaj wa Kanisa katoliki? Mbona kuna maaskofu wengi kanisa katoliki ushawahi kuwasikia wanaongea ujinga ambao kila siku anaushadadia huyu padri mwanasiasa! Huyu ni mjinga aliyejificha kwenye Joho! Alete ushidi ni sawa tu na Mwingira yule mzinzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…