ChaDema wana wivu sana mtu akisifia au akisifia kwao wanaumia roho. Wataanza kumkashifu anayesifia.Chadema watakuja kumponda huyo mtoto...na kutukana...wao walitaka kusikia lawama zinaenda Ccm na ikiwezekana Kwa Rais Samia
Kwahiyo Mungu hakuwa na msaada wowote kwenye kuongeza siku za Lowasa."Baba ni mpambanaji alipambana sana mpaka dakika ya mwisho lakini kwa yaliyotokea tunasema ni kazi ya Mungu na kama familia tulipokea kwa amani kabisa, tunasema acha baba apumzike"
"Lakini katika vita yake hii ya kupigania maisha yake lazima niseme kipekee naomba sana kutoa shukrani za familia kwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan, niseme ukweli kutoka moyoni, kama isingekuwa mama Samia Suluhu Hassan baba yetu asingefika hata hiyo juzi, mama Samia amekuwa ni ndugu, amekuwa mzazi na mlezi wetu hatuna cha kumlipa" - Fredrick Edwad Lowassa, Mtoto wa Hayati Lowassa
Labda kwa vile alitoka kidogo chamani na kuelekea upinzani.Ilisemekana kuwa marehemu alikuwa tajiri sana. Pamoja na hayo ana stahili yake za kulipiwa tiba yeyote kama mtu aliyewahi kuwa Waziri Mkuu. Mataamshi haya yana weza kutafsiriwa kama alipewa upendeleo na Mheshimiwa Rais kitu ambacho ni vigumu kuamini kwa sababu kugharamiwa tiba na serikali ilikuwa ni haki yake. Labda kama kuna kitu sijaelewa.
Amandla...
Sasa wewe unabishana na mtoto wa Marehemu? Wao ndio wanajua ipi ni stahili yao na kipi walisaidiwaIlisemekana kuwa marehemu alikuwa tajiri sana. Pamoja na hayo ana stahili yake za kulipiwa tiba yeyote kama mtu aliyewahi kuwa Waziri Mkuu. Mataamshi haya yana weza kutafsiriwa kama alipewa upendeleo na Mheshimiwa Rais kitu ambacho ni vigumu kuamini kwa sababu kugharamiwa tiba na serikali ilikuwa ni haki yake. Labda kama kuna kitu sijaelewa.
Amandla...
Mbona amesema hiyo ni kazi ya Mungu ila alichosema inawezekana bila misaada ya Rais pengine hata hapo walipofika wasingefika kuna ugumu gani hapo wa kuelewa mbona ni lugha rahisi tu aliyotumiakwahiyo Mungu ameshindwa nguvu na Hangaya ?
Uhai hauongezwi na figo Mungu akiamua hata upewe figo 20 unakufa saa hiyo hiyo.Kwa hiyo ukiwa na figo mbovu nkakutolea yangu .ukisema nimekuongezea uhai umemkufuru mungu?
Hilo swali muulize mwanae Fred maana huma hakuna anaejua Akaunti zake zinavyosomaKwamba mzee hakua na pesa ya kujitibu mpk akapewa msaada na rais au
Sasa kwa nini tunalalamika huduma mbovu za hospital zetu na kwanini wote wanaokufa hatusemi ni kazi ya Mungu ila ni uzembe wa Madaktari,Madereva,Polisi nk nkYawezekana ukanitolea yako na nikafa wakati wa operesheni ya kuniwekea. Au yawezekana nikawekewa figo yako ikaleta complications kuliko nilivyokuwa nayo yangu mbovu, nikafa siku chache baadaye. Sasa sijui utakuwa umeniongezea au umenipunguzia muda wa kuishi
Sikujua kumbe Dr Samia ni daktari bingwa! Ni daktari wa magonjwa gani?"Baba ni mpambanaji alipambana sana mpaka dakika ya mwisho lakini kwa yaliyotokea tunasema ni kazi ya Mungu na kama familia tulipokea kwa amani kabisa, tunasema acha baba apumzike"
"Lakini katika vita yake hii ya kupigania maisha yake lazima niseme kipekee naomba sana kutoa shukrani za familia kwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan, niseme ukweli kutoka moyoni, kama isingekuwa mama Samia Suluhu Hassan baba yetu asingefika hata hiyo juzi, mama Samia amekuwa ni ndugu, amekuwa mzazi na mlezi wetu hatuna cha kumlipa" - Fredrick Edwad Lowassa, Mtoto wa Hayati Lowassa
Ametumia lugha ya picha, kwamba misaada ya SSH imesaidia kumtibia baba yao. Mama apewe maua yake
angalia tuliyemquote aliandika niniMbona amesema hiyo ni kazi ya Mungu ila alichosema inawezekana bila misaada ya Rais pengine hata hapo walipofika wasingefika kuna ugumu gani hapo wa kuelewa mbona ni lugha rahisi tu aliyotumia
Yaan ningekuwa dr walokole kama ninyi siwapi dawa na usiku nanyofoa mashine ya kuhema .nione ulaya wamejaa mashoga na mateja wanaishi wastan wa miakaUhai hauongezwi na figo Mungu akiamua hata upewe figo 20 unakufa saa hiyo hiyo.
Inawezekana. Lakini aliporudi ni lazima walimrudishia stahiki zake.Labda kwa vile alitoka kidogo chamani na kuelekea upinzani.
Anasaka teuzi SI wameona anatongozeka kirahisiHii ni zaidi ya kufuru, kumpa mwanadamu mwenzako utukufu sawa na mwenyezi Mungu.
Hakuna anayebishana na mtoto wa marehemu kwa sababu stahiki za viongozi wakuu ziko wazi na zimeainishwa katika sheria ya " Political Service Retirement Benefits Act ya mwaka 2015 ( Cap.225. R.E.2015) ambayo inasema mtu aliyewahi kuwa Waziri Mkuu anastahiki zifuatazo:Sasa wewe unabishana na mtoto wa Marehemu? Wao ndio wanajua ipi ni stahili yao na kipi walisaidiwa
ni vizuri ukweli usemwe bayana.."Baba ni mpambanaji alipambana sana mpaka dakika ya mwisho lakini kwa yaliyotokea tunasema ni kazi ya Mungu na kama familia tulipokea kwa amani kabisa, tunasema acha baba apumzike"
"Lakini katika vita yake hii ya kupigania maisha yake lazima niseme kipekee naomba sana kutoa shukrani za familia kwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan, niseme ukweli kutoka moyoni, kama isingekuwa mama Samia Suluhu Hassan baba yetu asingefika hata hiyo juzi, mama Samia amekuwa ni ndugu, amekuwa mzazi na mlezi wetu hatuna cha kumlipa" - Fredrick Edwad Lowassa, Mtoto wa Hayati Lowassa
Mungu ndiye anajua utakufa saa ngapi sio huduma nzuri wala ulokole wala daktari.Yaan ningekuwa dr walokole kama ninyi siwapi dawa na usiku nanyofoa mashine ya kuhema .nione ulaya wamejaa mashoga na mateja wanaishi wastan wa miaka
80 kisha zambia ambao ni taifa linaongoza kwa ukristo na maadili wastan wa kuishi miaka 52 .afu useme huduma nzuri mahospital haziongezi maisha