Freemam Mbowe: Tumekataa ruzuku na nafasi 19 za Wabunge. Tunataka vitu vya haki

Ngoja tuwasikie na upande wa pili watoa rudhuku watuthibitishie pesa zilizoingizwa kwenye akaunti ya chama zilirudishwa?
Ni hivi , vyama vyenye haki ya kupata ruzuku hutakiwa kupeleka namba ya akaunti ya benki iliyothibitishwa na baraza la wadhamini kwa Msajili wa vyama vya siasa , hili hufanyika kila baada ya uchaguzi mkuu kwisha , kwenye akaunti hiyo ndiyo huwekwa hela za ruzuku , Chadema wala baraza lake la wadhamini hawakuwahi kumpatia Mutungi akaunti mpya ya chama , hizo hela kaweka wapi ?
 
Misukule ipo CCM mumekabidhi akili zenu kwa dhalim na kaenda nazo jehanam mumebakishiwa mafuvu na makamasi ndani yake.
[emoji23][emoji23][emoji23]Utapanic sana Mbowe ndio hata akijibebea mi ruzuku yote wewe huna la kumfanya
 
Sasa wewe ulitaka wakutangazie kama wamempa Mutungi account?
 
Kama Mbowe Mwongo Serikali ingekazia siku nyingi sana hili suala. Kwa kuwa NAO wamechuna n mfumo umechange tenhya mambo ni Mazito. Wanaume wamekaza
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Utapanic sana Mbowe ndio hata akijibebea mi ruzuku yote wewe huna la kumfanya
Kama ni hivyo basi mna serikali legevu na dhaifu kama Mbowe anajichukulia hela za Serikali hivyo na bado yuko uraiani basi ameiweka Serikali mfukoni kwake. Wakati mwingine unatokwa na povu ukiamini unaitetea Serikali kumbe unaitukanisha,upeo wako wa kufikiri ni mdogo sana.
 
Anachukua kisheria ila akija kwa misukule yake anasema hatuchukui maana hatutambui uchaguzi
 
Mkuu unajua maana ya siasa?? Duniani kote siasa IPO hivyo its game of chance sasa wewe ulitaka ile 2015 wasimuchukue Lowassa vile viti 100 wangepata wapi?? Hamna ukweli wowote unaweza patakana kwenye siasa na kwa wanasiasa kwa muda wrote.
Ukitaka matamko ya ukweli utayapata kwenye makanisa na misikitini.
 
Mbowe hata akichukua ruzuku hawezi kuwaambia wafuasi wake maana alishawageuza misukule
Usahihi wewe ndiye msukule. Mbowe anaongea kwenye public kwamba hawachukui ruzuku, kwanini wasithibitishe kama wanampa na anapokea?
 
Bado unayaamini makanisa na misikiti? Hebu mwangalia Sheke wa mkoa wa Dar es Salaam na baadhi ya maaskofu! Bora hata wanasiasa wa aina ya Mbowe!
 
Nashukur mkuu kwa ulichoandika, lkn mimi nilikuwa namjibu jamaa mmoja hapo juu ambae anaonekana kuamini mia kwa mia yanayosemwa au kuandikwa na mwanasiasa/wanasiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…