Freemam Mbowe: Tumekataa ruzuku na nafasi 19 za Wabunge. Tunataka vitu vya haki

Mbowe hata akichukua ruzuku hawezi kuwaambia wafuasi wake maana alishawageuza misukule
Kwa hiyo hilo wewe linakuuma? Mbona nyie mlikuwa misukule wa JIWE na hatukusema?
 
Basi tukiwaambia mwamba anakula ruzuku kaeni kimya
Mbona hata JIWE alikula 1.5T. Unajifanya kusahau wakati CAG Musa Assad alipohoji tu hizo fedha akafukuzwa kazi. Hivi kuna watu wezi zaidi ya wana CCM?
 

wananchi wangeamua then ccm ingekua ishaachia ofisi mapema sana, au umaanisha hawa ndo walioamua
 
Mbona hata JIWE alikula 1.5T. Unajifanya kusahau wakati CAG Musa Assad alipohoji tu hizo fedha akafukuzwa kazi. Hivi kuna watu wezi zaidi ya wana CCM?
Hiyo inahalalisha uwizi wa Mbowe wa ruzuku?
 
Nauliza hela za kulipa pango za ofisi wanapata wapi wakati cjadema haina mradi hata mmoja tanzania
 
Poleni kwa mateso! Ruzuku mnaitaka lakini haichukuliki! Ukiichukuà maanà yake unawatambuà wabunge wako ¹19! Uñaishia kusemà sizitaki mbichi hizi! Ilà Igandu mbabe sio mchezo!!
Ni bora usimamie unachokiamini hata kama utalala na njaa
 
Nauliza hela za kulipa pango za ofisi wanapata wapi wakati cjadema haina mradi hata mmoja tanzania
Ile tayar ni taasisi ina wadhamini na wananchi wanaichangia chadema, refer kesi ya akina Mbowe lile jax lilivyochangishwa chaap nchi nzima.
 
Ruzuku ya kazi gani nyie kwa kiti kimoja cha jimbo? Mnajidai kujipuliza upepe kua puto wakati ni upepo tu? Chadema iache vitisha na kujitutumua kwa sababu kimekwisha kisiasa. Waache kutoa cheche za upepo maana haziwashi moto popote😂😂
Mkuu pamoja na kua umejitutumua sana kukoment ila bado hujatoa facts yoyote hapa zaid ya kuonyesha chuki personal
 
🤣🤣
kwa wanasiasa huo wanaongea uongo kwa siri, check this : "MWESHIWA RAISI YUPO ANACHAPAKAZI" apo vp
Ila at the end of the day ukwel unakua obvious, so hata hilo kama una shaka nalo kila kitu kitakua wazi itajulikana
 
Hawaamini kwani watz wamezoe wizi,wongo,umbea,unafiki, wakiambiwa ukweli kama huu kwao ni kama miujiza, Angalia hata comment zao hapa,wanasema anapokea kwa mlango wa nyuma, kwani wao wamezoea milango ya nyuma ndio maana ni masikini Mpaka leo.
 
Siyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu.

Leo wametangaza maandamano ya kudai katiba mpya na tume huru yani wanataka rais aache kufocus na kukamilisha SGR ,Bwawa la nyerere ,ajira, viwanda ambavyo ndiyo hitaji la wananchi akaanze kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili ya katiba ambayo ni hitaji la wanasiasa tu?

Mbaya zaidi wanataka mchakato wa katiba uanze upyaaaaa na siyo pale ulipoishia zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…