LGE2024 Freeman Mbowe akamatwa na Jeshi la Polisi akielekea Mbozi mkoani Songwe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Nimesoma heading tu, Ila nauliza kwa mwaka anatakiwa akamtwe mara ngapi?
 
Ndiyo maana mimi binafsi nimeamua sitapiga kura katika uchaguzi wowote utakaofanyika chini ya katiba hii, tume hii na OR Tamisemi ni kupoteza muda na nguvu bure
 
Aisei! Hebu picha za magari yaliyoharibiwa vibaya? Waliojeruhiwa. Kimsingi, tunakubaliana umuhimu wa kuheshimu sheria.
 
Ndiyo maana mimi binafsi nimeamua sitapiga kura katika uchaguzi wowote utakaofanyika chini ya katiba hii, tume hii na OR Tamisemi ni kupoteza muda na nguvu bure
Ifike hatua tuwaachie CCM, Mbowe na Zitto uchaguzi wao!
 
Hii ya Zitto na hii taarifa ya Mrema....hapo ukweli ni upi? Kama nikweli Chadema ijirekebishe.
 

Attachments

  • IMG-20241122-WA0010.jpg
    474.1 KB · Views: 4
Tulionya humu kwamba Chadema inahitaji siku 7 tu kuteketeza ccm, nadhani mmeanza kuelewa
 
Hili ni trela,picha kamili ni hapo 2025 Mungu akijalia,imagine huu ni uchaguzi tu wa serikal za mitaa ambao hauna tija yoyote,huo wa ubunge madiwan na u prezdaa ndio mtashangaa
Wamekata wagombea karibia 65% ya wapinzani ila bado hawajiamni - hawana chama nimeamini
 
Pamoja na Mwenyekiti Freeman Mbowe wengine hawa hapa



Shukrani kuu imwendee aliyerekodi tukio hili la kinyama lililokuwa na nia ovu, inaelezwa kwamba bila video kuvujishwa na msamaria mwema watuhumiwa hawa wangeweza kupotea milele



Bila Polisi hakuna CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…