LGE2024 Freeman Mbowe akamatwa na Jeshi la Polisi akielekea Mbozi mkoani Songwe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Usipotii Sheria utapigwa tu na kama amekaidi hao mapolisi wahakikishe anatumia magongo maisha yake yaliyobaki tunahitaji siasa safi za kistaarabu
Kuna mda hua najiuliza nyie wenzangu mnaishi Dunia hii hii au? 🤔
 
Huna ushahidi wowote, unajiropokea tu kwa kufuata mkumbo, bila shaka wewe ni Mjinga
Lissu ndio amesema viongozi wa chadema walienda kwake wakiwa na kiongozi wa ccm wamebeba mabegi ya pesa wanataka wamuhonge. Huyo ni makamu mwenyekiti kasema sio mimi
 
Nalaani tukio hilo na nawapa pole kwa masaibu hayo,hivi huyo Paschal Haonga ni alistaafu au aliangushwa na wa CCM?
 
Ili kuweka mzani sawa yatakuja nchi bi kuwaomba polisi kumuachia mbowe
Shame on you ccm
Mna muda fupi sana wa kubakia duniani
 
 

Attachments

  • VID-20241122-WA0025.mp4
    16 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…