Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
hawa nao ni wetu. ieleweke katika demokrasia ni muhimu awepo anayetofautiana na mwingine, pia ndipo ushindi hunoga.Kina lucas muda huu
View attachment 3209764
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawa nao ni wetu. ieleweke katika demokrasia ni muhimu awepo anayetofautiana na mwingine, pia ndipo ushindi hunoga.Kina lucas muda huu
View attachment 3209764
Tuna hasira sanavipi huko kijani wamepokeaje huu ushindi?
Tungekuwa na Tanzania kama hii!!!!!!!!!!!!!!!!!! Jamani tungekua wapi? Angalia Chadema wanatuletea hii Tanzania tunayoiota kila siku. Mungu Ibariki. Laaaana kwa CCM
Kwa kweli wapinzani tumebubujikwa na machozi kwa uzalendo wake.Mbowe mwenyewe kashakubaliii 😁
Hana deni pia🤣🤣🤣Kawaingiza choo cha watoto mbogamboga Kala pesa zao
On the wayMpina kwa ule muonekano wake pale Dodoma na hii tweet anataka kusemaje hapa?
hawa kima tuliwaonya mapema waache kuandika upupu wakuja kuabika mpaka wazikimbie id zao walishupaza shingo. Sasa wataandika nini tena? Tukutane nao tena kuelekea uchaguzi mkuuHahaha,
Ongezea hapo ChoiceVariable, Lucas Mwashambwa Joseph Ludovick
Itakuwa wanapita humu kimyakimya baada ya mtu wao kuangukia pua
Wee mwana ccm Peleka una mawazo mgando, na mjipange mwezi wa kumi lissu anachukua nchiChadema ilianzishwa kama chama cha mabepari yaani capitalist party kinachoamini kwenye capitalism
Waanzilishi walikuwa matajiri na walitoa pesa na mali zao nyingi ndani na nje kukiendesha
Ushindi wa Lisu kuwa chama kimechukuliwa na walalahoi wasio na hela .Kitapata shida sana kujiendesha
Sababu wengi wa walalahoi waliochukua chama ni wale wanaowaza chama kitawafanyie nini
sio wao wakifanyie nini.
Wengi walikuwa wakilia pesa haziwafikii matawini chini ili wale
Je Lisu kwenye uongozi wake ataliweza hilo asipoliweza ataingia kwenye mtafaruku na hao wa matawini muda si mrefu.Uchaguzi mkuu unakuja watataka apeleke pesa huko matawini ambazo hana
Na matajiri wenye pesa wataondoa mitaji na pesa zao Chadema baada ya mshika fuko.lao Mbowe kuondoka uongozi
Kwa sasa Chadema hakitakuwa na mvuto tena kwa matajiri
Lucas Mwashambwa unaitwa hukuLucas Mwashambwa anabubujikwa machozi ya furaha kama kamwagiwa pilipili 😁😁😁😁
Nabii alisema🤣🤣
Mawazo ya hovyo sanaChadema ilianzishwa kama chama cha mabepari yaani capitalist party kinachoamini kwenye capitalism
Waanzilishi walikuwa matajiri na walitoa pesa na mali zao nyingi ndani na nje kukiendesha
Ushindi wa Lisu kuwa chama kimechukuliwa na walalahoi wasio na hela .Kitapata shida sana kujiendesha
Sababu wengi wa walalahoi waliochukua chama ni wale wanaowaza chama kitawafanyie nini
sio wao wakifanyie nini.
Wengi walikuwa wakilia pesa haziwafikii matawini chini ili wale
Je Lisu kwenye uongozi wake ataliweza hilo asipoliweza ataingia kwenye mtafaruku na hao wa matawini muda si mrefu.Uchaguzi mkuu unakuja watataka apeleke pesa huko matawini ambazo hana
Na matajiri wenye pesa wataondoa mitaji na pesa zao Chadema baada ya mshika fuko.lao Mbowe kuondoka uongozi
Kwa sasa Chadema hakitakuwa na mvuto tena kwa matajiri
In the name of God, GO!Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.
View attachment 3209693
Mehemko haijamuweka lissu madarakani, if ingekuwa mihemko kuna watu wawili pale juu wangeshinda hiyo nafasi na si yeyeSio kwa ubaya ila yeyote atakayekaa pale juu, kuna wa juu yake zaidi atakayemfanya kuchukiwa na hawa hawa wenye matumaini chanya kwa sasa!
Labda pengine wameona Mbowe anafaa kugombea uraisi ndo maana wamemtoa kwenye uenyekiti; kitu ambacho itakuwa ngumu kumnadi kwakuwa wajumbe wamemtema!
Vyovyote vile, mihemko ndo imemuweka Lisu madarakani, wazaramo wanasema sijui, zitendwa mbali, zirongwa mbali.
- Lisu alifaa kuwa MWENEZI, wangetafuta mtu wa kumbadili Mbowe ila sio Lisu.
Hongera FAM Kwa kuwa mkweli na mwandemokasia wa kweli.Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.
View attachment 3209693
Huraaaaay/Hoooorey!Sio hu
Ni uraaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kama hujui siasa utaona ni aibu.Mbowe alishindwa kuusoma upepo toka mwanzo,angeweza kuikwepa aibu hii kwa kutogombea, mwisho yamemkuta.
tuliwaambia mwisho wa ccm ni 2025 hawakuelewa na tunamshukuru Mungu kawapiga upofu pale dodoma,so the bad is coming soonNawashauri ccm chama changu!rudini Dodoma mkasafishe uchafu wa juzi!!katafuteni mtu strong wa hoja akakabiliane na hoja za lisu!!
Huyo mama hawezi kabisa kumkabili huyu jamaa!