Pre GE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wee mwana ccm Peleka una mawazo mgando, na mjipange mwezi wa kumi lissu anachukua nchi
 
Mawazo ya hovyo sana
 
In the name of God, GO!
 
Mehemko haijamuweka lissu madarakani, if ingekuwa mihemko kuna watu wawili pale juu wangeshinda hiyo nafasi na si yeye
Lissu amehiweka wazi sana, hizi vision ku kuki structure cha upya again, na amejipambanua. Haiwezekan wajumbe wote wawe wamepiga kura kisa mihemko na si logic
 
Hongera FAM Kwa kuwa mkweli na mwandemokasia wa kweli.
 
Nawashauri ccm chama changu!rudini Dodoma mkasafishe uchafu wa juzi!!katafuteni mtu strong wa hoja akakabiliane na hoja za lisu!!

Huyo mama hawezi kabisa kumkabili huyu jamaa!
 
Mbowe alishindwa kuusoma upepo toka mwanzo,angeweza kuikwepa aibu hii kwa kutogombea, mwisho yamemkuta.
Kama hujui siasa utaona ni aibu.

Kwa chadema ni kete nzuri ya kuwaaminisha wananchi uomavu wao wa mchakato wa demokrasia.
 
Nawashauri ccm chama changu!rudini Dodoma mkasafishe uchafu wa juzi!!katafuteni mtu strong wa hoja akakabiliane na hoja za lisu!!

Huyo mama hawezi kabisa kumkabili huyu jamaa!
tuliwaambia mwisho wa ccm ni 2025 hawakuelewa na tunamshukuru Mungu kawapiga upofu pale dodoma,so the bad is coming soon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…