Pre GE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndio ushangae sasa watu wanasema FAM amepata aibu, of course alitaka kushinda, ila the fact kwamba kakubali democratically kushindwa, inamfanya awe kiongozi bora sana, chama kiwe na ngumu x100 na reputation ya chama inaongezeka x100.

Hongera sana kwa CDM!
 
Sivyo kabisa,
Hakutakuwa na shida hiyo.
Pamoja na mambo mengine, LEMA aliliongelea hilo vizuri, msikilize hapa....


View: https://www.youtube.com/live/n4jGmCXtOsc?si=6zV5p_rsK9C-vusM
 
Reputation ya chama ile ilikuwa inaporomoka now imekuwa restored, a lot of poeple walikwua wanafuatilia hili
Since 2015 a lot of people waliacha ku pay attention na hichi chama, now they are back
 
CHADEMA wengi watakuja CCM, wiki hii utaona wafuasi wa Mbowe kwa makundi wakija CCM, na CCM haina ubaguzi inapokea kila mtanzania ili mradi tu akiri Imani na kufuata Katiba ya Chama Cha Mapinduzi..!!

Sijafurahia matokeo haya hata kidogo
Tunajua kuwa msiyempenda kaja shwauni wa kijani nyie
 

Attachments

  • images (13) (1)~2.jpeg
    16.3 KB · Views: 1
Kwa ushindi huu wa Tundu lissu uchaguzi ujao utachangamka sana cdm wanakuja na nguvu mpya ccm wajipange kisawasawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…