Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Kama ni chawa wake lamba sumu!Dictator huwa anaondolewa kwa kura? Jaribu kutunza utu wako kwenye public.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni chawa wake lamba sumu!Dictator huwa anaondolewa kwa kura? Jaribu kutunza utu wako kwenye public.
Hahahah fedha wamekula ila kura kwa LissuView attachment 3209711
Kumbe wamefanya kweli?😀
Ndio ushangae sasa watu wanasema FAM amepata aibu, of course alitaka kushinda, ila the fact kwamba kakubali democratically kushindwa, inamfanya awe kiongozi bora sana, chama kiwe na ngumu x100 na reputation ya chama inaongezeka x100.Imagine FAM angekubali tu kumpa Chama Lissu Bila Yeye Kugombea, Chama Kingereza Kushika attention katika akili za watanzania?
Uchaguzi Umekuwa wa Huru na Haki? Yes!
FAM amekubali Matokeo? Yes!
Aibu Iko wapi hapo? Zaidi sana Chama Kimejiuza Mnoo!
Utadhani Dodoma Hakukua na Mkutano wa CCM kwa namna ambavyo Chadema ilivyoshika media zote
Una hoja usikilizweSisi CCM wa Kanda ya ziwa tunawaomba Chadema mtuletee Lissu kama mgombea tutamuunga mkono,tumechoka dharau mara tuitwe Sukuma Gang mara tuitwe wachawi ni wakati wa kuonyeshana makali sasa wajue sisi ni jeshi kubwa tukitaka jambo letu linakuwa.
Sivyo kabisa,Chadema ilianzishwa kama chama cha mabepari yaani capitalist party kinachoamini kwenye capitalism
Waanzilishi walikuwa matajiri na walitoa pesa na mali zao nyingi ndani na nje kukiendesha
Ushindi wa Lisu kuwa chama kimechukuliwa na walalahoi wasio na hela .Kitapata shida sana kujiendesha
Sababu wengi wa walalahoi waliochukua chama ni wale wanaowaza chama kitawafanyie nini
sio wao wakifanyie nini.
Wengi walikuwa wakilia pesa haziwafikii matawini chini ili wale
Je Lisu kwenye uongozi wake ataliweza hilo asipoliweza ataingia kwenye mtafaruku na hao wa matawini muda si mrefu.Uchaguzi mkuu unakuja watataka apeleke pesa huko matawini ambazo hana
Na matajiri wenye pesa wataondoa mitaji na pesa zao Chadema baada ya mshika fuko.lao Mbowe kuondoka uongozi
Kwa sasa Chadema hakitakuwa na mvuto tena kwa matajiri
Sasa kama kijana nipo tayari kuingia road na kupiga kura hapa lisau kule heche haaaaKwa kweli wapinzani tumebubujikwa na machozi kwa uzalendo wake.
Mbele Kuna mwanga.Kukichwa kutapambazuka.. Hatimaye mwanga mpya umeonekana
Mwanzo mpya ndio huuView attachment 3209718
kabisa naiona nuru ileeeeeMbele Kuna mwanga.
mna hasira? Tulieni msije mkalia zaidi kunako uchaguzi mkuuTuna hasira sana
Reputation ya chama ile ilikuwa inaporomoka now imekuwa restored, a lot of poeple walikwua wanafuatilia hiliNdio ushangae sasa watu wanasema FAM amepata aibu, of course alitaka kushinda, ila the fact kwamba kakubali democratically kushindwa, inamfanya awe kiongozi bora sana, chama kiwe na ngumu x100 na reputation ya chama inaongezeka x100.
Hongera sana kwa CDM!
Lema amefanya vizuri sana, ameondoa ile propaganda chafu ya kuwa cdm ni chama cha wachaga. Safu ya juu sasa iko katika taswira tofauti kabisa.
Mkuu, kiendacho kwa Mganga hakirudiMbowe rudisha pesa za wale jamaa acha uhuni
Tunajua kuwa msiyempenda kaja shwauni wa kijani nyieCHADEMA wengi watakuja CCM, wiki hii utaona wafuasi wa Mbowe kwa makundi wakija CCM, na CCM haina ubaguzi inapokea kila mtanzania ili mradi tu akiri Imani na kufuata Katiba ya Chama Cha Mapinduzi..!!
Sijafurahia matokeo haya hata kidogo
Je aya mambo ulichukua miaka mingap kuyaona chadema?Haya mambo huwezi kuyaona CCM