Pre GE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hiii nikawahida ya viongozi mafisadi,wezi,hawan hofu ya Mungu,kuuza marighafi za nchi..... Asante Mungu kwa kutuletea kiongozi bora lissu Msema ukweli,mwadilifu,na mwenye hofu ya Mungu.
 
Kaonesha ukomavu wa kisiasa.
Good start for Lissu.
 
Tuhuma zako ni nyingi? Je hauna hata kamfano kamoja?
 
Let ua wait and see kama ataleta katiba mpya, tume huru..... Mropokaji kinachofuata ni jela, kama slaa "risasi" zingine maana hana mtetezi sasa na Nairobi haipo
Una akili mbovu sana aisee!
 
 

Attachments

  • IMG-20250122-WA0047.jpg
    32.8 KB · Views: 1
Huyo kapoteza credibility na vile vipeperushi vyake havina tofauti na yale magazeti ya Musiba enzi za Magufuli.
Hakujali au hakujua kuwa ana biashara yake ya vitabu, na wateja wake wengi ni wakunja ngumi, sasa hivi itakuwa ngumu sana. Ingawa maisha lazima yaendelee.
 
Haya matokeo yamewashangaza kina Lusungo Fundi Mchundo King Kong III FUSO Stuxnet na Team Mbowe.....ila tafadhalini sana msiuhujumu uongozi mpya wa Chadema (natania tu).....๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Haya matokeo yamewashangaza kina Lusungo Fundi Mchundo King Kong III FUSO Stuxnet na Team Mbowe.....ila tafadhalini sana msiuhujumu uongozi mpya wa Chadema (natania tu).....๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kwa kuona kuwa una haja ya kutuambia kuwa unatania kunaonyesha kuwa hautanii.
Kitu usichoelewa tulichokuwa tunapinga ni kumtaka Mbowe asigombee na hivyo kumnyang'anya haki yake. Kwa maoni yangu ni matokeo mazuri kwa sababu:
1. Watu wa Lissu walikuwa wamejitayarisha kwa shari kama angeshindwa.
2. Hicho mlichoshinda ni poisoned chalice. Mtajua namaanisha nini honeymoon itakapoisha.

Amandla...
 
Kwa Miaka 33 CHADEMA imekuwa ikiongozwa Kwa influence ya Mzee Mtei na Sasa Tundu Lisu ametamatisha rasmi utaratibu huo

Kuanzia Sasa Chadema itaongozwa Kwa mujibu wa Katiba yake na Siyo vinginevyo

Kibiblia mwaka wa 33 ni wa Ukombozi

Ahsanteni ๐Ÿ˜€
 
Wakati namfatilia Mh, Mbowe nilikuwa nashindwa kumuelewa katika mambo yafuatayo.

Anatoka familia bora
Amewahi kufanya Kazi BOT
Amewahi kuwa Mbunge miaka 15


Ila bado anakosa hekima ya step down na Kulinda heshima yake mpaka unaondoshwa Kwa nguvu.


Napata wasiwasi na kuamini labda alikuwa double agents.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ