Tundu Lissu sio mtu wa ku negotiate nae hata kidogo, so kuanzia ndani ya CHADEMA watashindwana sana na migogoro itakuwa mikubwa na CHADEMA ifakufa siku hadi siku.
Pili, upande wa Chama Tawala, Tundu Lissu sio mtu wa kuongea nae jambo lolote la kiuongozi na kukubaliana nae kwa siri, anasema kila kitu hadharani akitoka tu anaita wana habari anamwaga upupu wote, so CDM kwa maana nyingine haita aminika ndani ya CDM yenyewe na upande wa Chama Dola yaani CCM, sbb ya Lissu, hivyo CDM inaenda kupukutika kabisa najua ngumu kuamini..! Time will tell..!!