Pre GE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

Pre GE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakika ccm itatawala milele, ona watu wanavyoshangilia ushindi, kweli ccm ina wataalamu

NB:
Hongera mwenyekiti mteule wa chadema lisu
 
Mpina kwa ule muonekano wake pale Dodoma na hii tweet anataka kusemaje hapa?
Alishahamia Chadema akaahidiwa na Mbowe kuwa mgombea uraisi

Akaona asijitoe CCM wazi kusubiri kipindi cha ubunge kiishe bunge livunjwe alipwe mafao ndio akagoombee uraisi Chadema

Sasa kumebadilika Lisu uraisi.kugombea anataka sasa Mpina anataka mwendelezo wa mazungumzo kuwa je ile nafasi ya ugombea uraisi aliyoahidiwa na Mbowe je chini ya utawala wa Lisu bado ipo?
 
Na huu ndio ukomavu wa kisiasa na hii ndio maana ya Demokrasia. Uchaguzi umekwisha sasa wachape KAZI.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Alishahamia Chadema akaahidiwa na Mbowe kuwa mgombea uraisi

Akaona asijitoe CCM wazi kusubiri kipindi cha ubunge kiishe bunge livunjwe alipwe mafao ndio akagoombee uraisi Chadema

Sasa kumebadilika Lisu uraisi.kugombea anataka sasa Mpina anataka mwendelezo wa mazungumzo kuwa je ile nafasi ya ugombea uraisi aliyoahidiwa na Mbowe je chini ya utawala wa Lisu bado ipo?
Hizi ni speculations tu au ramli chonganishi
 
mna hasira? Tulieni msije mkalia zaidi kunako uchaguzi mkuu
Uchaguzi mkuu tutamaliza hasira zetu si mmeamua kususia maridhiano🐼

1000020760.jpg
 
Sisi CCM wa Kanda ya ziwa tunawaomba Chadema mtuletee Lissu kama mgombea tutamuunga mkono,tumechoka dharau mara tuitwe Sukuma Gang mara tuitwe wachawi ni wakati wa kuonyeshana makali sasa wajue sisi ni jeshi kubwa tukitaka jambo letu linakuwa.
Hahaha, mmeletewa yule mzee alitoroka kutoka msituni.. mtaweza moto wa Lissu..ni ginja ginja,hakuna kupoa
 
Back
Top Bottom