akajasembamba
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 1,179
- 1,794
Baadhi walikuwa wakisubiri yatokee ya NCCR, TLP na CUF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHAUMA ikakuzwa wakimbilie kuleBaadhi walikuwa wakisubiri yatokee ya NCCR, TLP na CUF
Mimi ni mmoja wapo kama mbowe angeshinda.Baadhi walikuwa wakisubiri yatokee ya NCCR, TLP na CUF
Alishahamia Chadema akaahidiwa na Mbowe kuwa mgombea uraisiMpina kwa ule muonekano wake pale Dodoma na hii tweet anataka kusemaje hapa?
Ndio kitu gani hicho master?Lahauallah
Unamaanisha Kwa mpalange!?
Kuna huyu anajiita Jina la baba wa taifa Nyerere sijui anahali Gani huko aliko🤣🤣🤣Tulimuonya wapambe wakamdanganya
Hizi ni speculations tu au ramli chonganishiAlishahamia Chadema akaahidiwa na Mbowe kuwa mgombea uraisi
Akaona asijitoe CCM wazi kusubiri kipindi cha ubunge kiishe bunge livunjwe alipwe mafao ndio akagoombee uraisi Chadema
Sasa kumebadilika Lisu uraisi.kugombea anataka sasa Mpina anataka mwendelezo wa mazungumzo kuwa je ile nafasi ya ugombea uraisi aliyoahidiwa na Mbowe je chini ya utawala wa Lisu bado ipo?
Wala. Itafute uione Kama unajua Mana yakeHuraaaaay/Hoooorey!
Ego Is The Enemy mkuu, wote mpo sawa
Mkwamo wa maisha,atakula wapi?Au Yericko Nyerere unasemaje? 😅
Mbowe alishindwa kuusoma upepo toka mwanzo,angeweza kuikwepa aibu hii kwa kutogombea, mwisho yamemkuta.
Mpina kwa sasa kakalia kuti kavuu ndani ya CCM na ChademaHizi ni speculations tu au ramli chonganishi
Uchaguzi mkuu tutamaliza hasira zetu si mmeamua kususia maridhiano🐼mna hasira? Tulieni msije mkalia zaidi kunako uchaguzi mkuu
Hahaha, mmeletewa yule mzee alitoroka kutoka msituni.. mtaweza moto wa Lissu..ni ginja ginja,hakuna kupoaSisi CCM wa Kanda ya ziwa tunawaomba Chadema mtuletee Lissu kama mgombea tutamuunga mkono,tumechoka dharau mara tuitwe Sukuma Gang mara tuitwe wachawi ni wakati wa kuonyeshana makali sasa wajue sisi ni jeshi kubwa tukitaka jambo letu linakuwa.
Goodbyesema una imani nae...nilimpenda sana Lisu, lkn kwa uropokaji huo, sina hamu naye tena. Kwaheri chadema. Let me be free of these rubbish politics