Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,273
Mamlaka kama ile ya muuaji na mwendawazimu aliyefariki kwa korona ndiyo watu wazitii? Korona ilituondolea uchafu!Mungu hana mtumishi mwendawazimu, Mungu kaagiza mzitii mamlaka zilizopo maana hakuna mamlaka isotoka kwake, nani mtumishi wa Mungu kati yangu mie nilolishika na kulifuata agizo lake na msu.kule ka wewe usoelewa hata nini unafanya?..[emoji57]
Asingeachwa namagufuli kama nigaidiGAIDI WA NCHII NI CCM
Nadhani uko sahihi. Ndio maana mpaka sasa hesabu za kila kituo zilichukua muda mrefu kutoka maana wapinzani wangeumbuka sana.Hilo ndo lilowaponza, mlishindwa kusoma alama za nyakati, hakuna mwananchi wa kawaida 2020 angeacha kumpigia kura JPM, hizo chuki na mitusi yenu mitandaoni kwa wachache mlonyooshwa mkajidanyanya na bado mnajidanganya ndo wananchi mlifail na mnafail sana.
Baada ya kuona Taarifa ya polisi nimeona aibu sana...Kwamba Mbowe ana tuhuma za ugaidi na kupanga kuua viongozi duh...Hii nchi kazi ipo....Hao waliopangiwa Kuuwawa ni akina nani??? Walitumiwa mag au nn ?? Siungi mkono mbanano wa hii issue ya katiba ila napinga kubambikia watu kesi...Inaleta Chuki ndani ya nchi.Hii Taarifa Mbona sio ya Polisi au John Mrema ni Msemaji wa Polisi??? Wao Polisi hawajayoa Taarifa
We jifariji tuu.unafikiri CHAMUDATA ni chama cha upinzani???ni CDM tuu,wengine wahuni tuu.uyo jpm Mungu kamchukua ili iwe fundisho kwenu.bado wengine wabishiNani kakudanganya vyama vya upinzani ni CHADEMA? mnajiita chama kikuu cha upinzani na hamna hata wabunge, chama cha upinzani kinacholazimisha vurugu ambazo wananchi hawaziungi mkono wafadhili gani hao wataokisikiliza? kama JPM licha ya kuwakalia kooni na kuingilia maslahi yao hao mabeberu bado akihitaji mkopo walimpa sembuse huyu mama alowalegezea?
Jeshi la polisi la Tanzania ni takatakaBaada ya kuona Taarifa ya polisi nimeona aibu sana...Kwamba Mbowe ana tuhuma za ugaidi na kupanga kuua viongozi duh...Hii nchi kazi ipo....Hao waliopangiwa Kuuwawa ni akina nani??? Walitumiwa mag au nn ?? Siungi mkono mbanano wa hii issue ya katiba ila napinga kubambikia watu kesi...Inaleta Chuki ndani ya nchi.
Mliyekua mnamtegemea kafa.Mungu fundii[emoji106][emoji106][emoji106]Mbowe akutwa na tuhuma za ugaidi za kuuwa viongozi wa serikali.
Wampeleke gereza la kisongo akakutane na Sabaya.
Itajulikana tu aliyemuuwa Magufuli
Ndiyo maana LISU alikuwa wa kwanza kusema Magufuli anaumwa na hatapona.
Kama alianguka akiwa amelewa konyagi alafu akatangaza amepigwa na wasiojulikana kwa nini nisiamini?
Wanajaribu kuwatisha baadhi ya Watu ili wajitoe kwenye madai ya Katiba.Ni ile kesi ya mwaka jana inarudiwa au? Na huo ugaidi aliufanya saa ngapi ? na wapi ?
Naamini huu ni Mwanzo wa harakati za upatikanaji wa katiba mpya nchini TanzaniaMwanakulitafuta mwanakulipata