Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Mh. Mbowe haitaji ‘huruma’ au ‘pole’ zetu! Mbowe anataka mori, hasira na kuamka kwa Watanzania! Mbowe anahitaji Watanzania wenzake watakao fuata.

Mfano wake kuidai Tanzania wanayo ihitaji! Mbowe ni Ertugul wa Tanzania!!
 
Mungu hana mtumishi mwendawazimu, Mungu kaagiza mzitii mamlaka zilizopo maana hakuna mamlaka isotoka kwake, nani mtumishi wa Mungu kati yangu mie nilolishika na kulifuata agizo lake na msu.kule ka wewe usoelewa hata nini unafanya?..[emoji57]
Mamlaka kama ile ya muuaji na mwendawazimu aliyefariki kwa korona ndiyo watu wazitii? Korona ilituondolea uchafu!
 
Hawa polisi ni vilaza kweli kweli,Mbowe kaenda Mwanza kwa shughuri za kisiasa,nyie mnasema alijua atakamatwa uchunguzi wa kesi yake ukikamirika ndio akaenda Mwanza, sasa swali,uchunguzi mnafanya nyinyi polisi, Mbowe alijuaje kama umekamirika Ili akimbilie Mwanza?

Na huo uchunguzi wenu umekamirika tu pale mkutano mkubwa ulipoitishwa?

I smell something fishy,nyie akili hamna kabisa.
 
polisi ni kazi ya laana. na hivi nani anamshauri mama Samia? hata JK sidhani kama ni katili hivi! Time will tell.
 
Samia atashindwa vibaya kuliko rais yoyote nchi hii. Asijifananishe magu. Magu ilikua Ni habari nyingine ktk dunia hii, magu alikua ni habari nyingine. Samia hawezi muda hauongopi ngoja tuone. Wanaomfundisha Leo mama watamtenga mwisho.
 
Hilo ndo lilowaponza, mlishindwa kusoma alama za nyakati, hakuna mwananchi wa kawaida 2020 angeacha kumpigia kura JPM, hizo chuki na mitusi yenu mitandaoni kwa wachache mlonyooshwa mkajidanyanya na bado mnajidanganya ndo wananchi mlifail na mnafail sana.
Nadhani uko sahihi. Ndio maana mpaka sasa hesabu za kila kituo zilichukua muda mrefu kutoka maana wapinzani wangeumbuka sana.

Amandla...
 
Hii Taarifa Mbona sio ya Polisi au John Mrema ni Msemaji wa Polisi??? Wao Polisi hawajayoa Taarifa
Baada ya kuona Taarifa ya polisi nimeona aibu sana...Kwamba Mbowe ana tuhuma za ugaidi na kupanga kuua viongozi duh...Hii nchi kazi ipo....Hao waliopangiwa Kuuwawa ni akina nani??? Walitumiwa mag au nn ?? Siungi mkono mbanano wa hii issue ya katiba ila napinga kubambikia watu kesi...Inaleta Chuki ndani ya nchi.
 
Nani kakudanganya vyama vya upinzani ni CHADEMA? mnajiita chama kikuu cha upinzani na hamna hata wabunge, chama cha upinzani kinacholazimisha vurugu ambazo wananchi hawaziungi mkono wafadhili gani hao wataokisikiliza? kama JPM licha ya kuwakalia kooni na kuingilia maslahi yao hao mabeberu bado akihitaji mkopo walimpa sembuse huyu mama alowalegezea?
We jifariji tuu.unafikiri CHAMUDATA ni chama cha upinzani???ni CDM tuu,wengine wahuni tuu.uyo jpm Mungu kamchukua ili iwe fundisho kwenu.bado wengine wabishi
 
Baada ya kuona Taarifa ya polisi nimeona aibu sana...Kwamba Mbowe ana tuhuma za ugaidi na kupanga kuua viongozi duh...Hii nchi kazi ipo....Hao waliopangiwa Kuuwawa ni akina nani??? Walitumiwa mag au nn ?? Siungi mkono mbanano wa hii issue ya katiba ila napinga kubambikia watu kesi...Inaleta Chuki ndani ya nchi.
Jeshi la polisi la Tanzania ni takataka
 
Mbowe akutwa na tuhuma za ugaidi za kuuwa viongozi wa serikali.

Wampeleke gereza la kisongo akakutane na Sabaya.

Itajulikana tu aliyemuuwa Magufuli

Ndiyo maana LISU alikuwa wa kwanza kusema Magufuli anaumwa na hatapona.
Kama alianguka akiwa amelewa konyagi alafu akatangaza amepigwa na wasiojulikana kwa nini nisiamini?
Mliyekua mnamtegemea kafa.Mungu fundii[emoji106][emoji106][emoji106]
 
Ni gaidi?

Magaidi wote hupelekwa Gwantanamo, vipi huyu wa kwetu, kuna gereza la watu wa aina hiyo kweli au atasafirishwa?
 
Jeshi la Polisi limesema Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe anashikiliwa kwa tuhuma za kula njama ya kufanya vitendo vya kigaidi ikiwepo kuua Viongozi wa Serikali ambapo wenzake 6 walishafikishwa Mahakamani.

“Freeman Mbowe alikuwa anafahamu fika kuwa ana tuhuma zinazomkabili zinachunguzwa na kwamba wakati wowote angehitajika Polisi kwa hatua nyingine za kisheria mara tu uchunguzi utakapokamilika hatua ambayo imefikiwa kwa sasa”

“Kama ilivyo kwa baadhi ya Watu kucheza na nyakati na matukio akaona ni vyema akimbilie Mwanza kwa kigezo cha kongamano la Katiba Mpya ili akikamatwa Umma uamini amekamatwa kwasababu hiyo”

“Hata hivyo uchunguzi unaendelea kule Mwanza kutokana na vitendo vya uvunjifu wa amani, ukibaini kuna sheria aliyovunja hatutasita pia kumfikisha Mahakamani pamoja na Viongozi wenzake wanaoshikiliwa kule”———-David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi
 
Polisi si emu katika ubora wao wa kutumiwa kama 🐕‍🦺🦮 na si si emu. Hata aibu hawana!!
 
Back
Top Bottom