Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ndiyo maana asilimia kubwa wamefoji vyetiYaelekea Polisi wetu wana kesi nyingi za kusadikika ambazo wanazo kwenye makabati yao ambazo zinasubiri mtu ambaye wanataka kumwondoa kwenye circulation wambambikie.
Kuna dogo moja mpiga debe walimpa kesi ya armed robbery akawekwa rumande Keko kwa muda wa mwaka mmoja na nusu mpaka familia ilivyojichangisha kesi ikaisha bila hata kwenda mahakamani.
Polisi pekee atakaenda peponi ni afande Masudi Mohammed ambaye kifo chake enzi za Hutu Immigrants Reign of Terror kilizua utata!
Hakuna marefu yasiyokuwa na nchaKama mwendazake alivyochapwa na karma, huyu naye ajiandae
Anayewatuma ndiyo gaidi zaidiUgaidi tena???
Tumehama uchochezi mambo yamekuwa ugaidi?
Hakuna marefu yasiyokuwa na nchaKama mwendazake alivyochapwa na karma, huyu naye ajiandae
Sisi waha wa kigoma tunajiandaa kuweka rekodi ya kutoa rais muha, wazee wa ntwara fanyeni yenu.Kama mwendazake alivyochapwa na karma, huyu naye ajiandae
Wewe kweli mpuuzi hata kinachoendelea nchini hukijui. Mara ngapi yule Mpango alikuwa akilalamika kuhusu mchango wa nchi za wafadhili na mashirika ya umma kupunguza misaada na mikopo yao hivyo kuathiri bajeti? Unaishi dunia ipi wewe? Kuandika ujinga ujinga kila leo kumbe hujui hata yanayojiri nchini!!!
Kuna uwezekano akapewa hata kesi ya kuchoma soko la kariakooPlans za kuuza viongozi??
Duuh!!!
Now this sums up all.
Kumbe , Ile kauli ya Chochochoko,
Ilimaanisha Kuna watu Wanajiandaa kufanya matukio.
Sasa nimeelewa.
Lakini kwanini mtu aue wenzake ili ashike Dola??
Wewe ni tahadhali gani ulichikuwa ukawa safe mambo mengine kaeni kimya mkiyasikia kifo cha bwana yule ni siri kubwa ! Zaidi ya kuambiwa alikuwa anatatizo la moyo huna mengine unabumbabumba!
Mtajua wenyewe. Tuliwaambia sana humu sasa haya mlazimisheni mama juu ya katiba mpya kama mlivyokuwa mkisemaZama za kubambikiwa kesi zimerejea sasa
mimi ni mwanainch wa kawaida sijawah kupigia kura ccm.haiji kutokeaHilo ndo lilowaponza, mlishindwa kusoma alama za nyakati, hakuna mwananchi wa kawaida 2020 angeacha kumpigia kura JPM, hizo chuki na mitusi yenu mitandaoni kwa wachache mlonyooshwa mkajidanyanya na bado mnajidanganya ndo wananchi mlifail na mnafail sana.
Hilo ndio lengo Lao.Huyu DJ naye kazidi!! NAni TZ hii alimtuma kutusaidia kudai katiba?? Au anaamini katiba mpya itamfanya awe rais? Sifa za kijinga.
Ukhanithi mtupu!!Mbowe akutwa na tuhuma za ugaidi za kuuwa viongozi wa serikali.
Wampeleke gereza la kisongo akakutane na Sabaya.
Itajulikana tu aliyemuuwa Magufuli na uki connect dot utaelewa Tundu Lisu alijuaje kama Magufuli anaumwa?
Ni haya makundi ya ugaidi ndiyo yalikuwa yanawapa taarifa.View attachment 1863503
Kabisakweli nimeamini siku za mwizi ni 40!
Mbowe na wenzake 40 zao zimetimia.
KabisaUnataka useme Magufuli aliuawa na Mbowe?
Huyo jamaa ndivyo alivyo mkuu. Yeye akishindwa hoja kazi yake ni kutukana tuMhuuuuu! umeshindwa kujibu hoja badala yake unamshambulia mtoa hoja personally. Na Mnyika jana alishindwa kujibu hoja za waandishi wa habari na badala yake akapandisha hasira na kuanza kubwabwaja ovyo. Mbowe naye juzi hivyo hivyo akaanza kuvishambulia vyombo vya habari. Sasa hiyo hoja ya katiba mpya mtaiweza kweli? Hoja ya katiba mpya inajibiwa kwa mrorongo wa makongamano na maandamano ni akili timamu kweli? Unakaribishwa kuja tena kunitukana kwani ndicho akili zenu inachokijua na mlichosomeshwa na huyo mnayemuita Mwamba.
Hahaahahhahaahhahaahah. Sio Magufuli tena?? Ni Samia sasa sio??? Nyinyi watu akili zenu ni fupi.Samia will be the worst President ever. What a shame.
Hana hata miezi 6 kaanza kuact hivi, huyu si anaweza kutaka kutawala milele kama atapewa upenyo?