Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Yaelekea Polisi wetu wana kesi nyingi za kusadikika ambazo wanazo kwenye makabati yao ambazo zinasubiri mtu ambaye wanataka kumwondoa kwenye circulation wambambikie.

Kuna dogo moja mpiga debe walimpa kesi ya armed robbery akawekwa rumande Keko kwa muda wa mwaka mmoja na nusu mpaka familia ilivyojichangisha kesi ikaisha bila hata kwenda mahakamani.

Polisi pekee atakaenda peponi ni afande Masudi Mohammed ambaye kifo chake enzi za Hutu Immigrants Reign of Terror kilizua utata!
Ndiyo maana asilimia kubwa wamefoji vyeti
 
Plans za kuuza viongozi??
Duuh!!!

Now this sums up all.

Kumbe , Ile kauli ya Chochochoko,

Ilimaanisha Kuna watu Wanajiandaa kufanya matukio.

Sasa nimeelewa.

Lakini kwanini mtu aue wenzake ili ashike Dola??
 
Hii issue anaijua Mbowe mwenyewe mzee wa matukio, hata kama ange debate katiba Mpya je ingepatikana vipi uitakayo wakati huo huna wabunge wa kuitetea bungeni? wazo la katiba sio baya ila linahitaji nguvu ya pamoja ya wananchi sio mtu mmoja.
 
Mama anaupiga mwingi sana😂😂😂
Wewe kweli mpuuzi hata kinachoendelea nchini hukijui. Mara ngapi yule Mpango alikuwa akilalamika kuhusu mchango wa nchi za wafadhili na mashirika ya umma kupunguza misaada na mikopo yao hivyo kuathiri bajeti? Unaishi dunia ipi wewe? Kuandika ujinga ujinga kila leo kumbe hujui hata yanayojiri nchini!!!
 
Plans za kuuza viongozi??
Duuh!!!

Now this sums up all.

Kumbe , Ile kauli ya Chochochoko,

Ilimaanisha Kuna watu Wanajiandaa kufanya matukio.

Sasa nimeelewa.

Lakini kwanini mtu aue wenzake ili ashike Dola??
Kuna uwezekano akapewa hata kesi ya kuchoma soko la kariakoo
 
People are making a mountain out of a mole hill .
Ni stori ndogo tu ya silaha moja iliyopotea armory ya Jeshi,sasa Mbowe ameshakuwa gaidi.
Kwamba CCM ilishinda mysteriously viti vyote vya Bunge haiwekewi màanani.
Ndiyo yale niliyoandika mwanzo,kwamba Tundu Lissu hawezi kurudi Tanzania.
It is like this. Kulikuwa na hizi incident KABLA ya Uchaguzi,ambazo ziliwafanya CCM wakasirike,na kuteka viti vyote vya Bunge.
Lakini sasa baada ya kuandika haya,labda na Mimi nitaunganushwa katika kesi,niraitwa haini au swaini.
Kuna kitu kinaitwa Nirvana. Kwamba,kama watu wanaishi maisha reasonable,wana sera nzuri za maisha,basi,uhasama kati yo lazima upunguke siku bàada ya siku. Nani alimshuti risasi Tundu Lissu. Kwani Tundu Lissu siyo kiongozi wa Chadema?
 
Wewe ni tahadhali gani ulichikuwa ukawa safe mambo mengine kaeni kimya mkiyasikia kifo cha bwana yule ni siri kubwa ! Zaidi ya kuambiwa alikuwa anatatizo la moyo huna mengine unabumbabumba!

Kwamba akae nani kimya? Zipo sababu 4 za mtu kufa zinazojulikana na kukaa kimya si ufumbuzi:
IMG_20210720_163541_767.jpg


Kwa mujibu wa watumishi Mungu wabobevu:


Sisi wahanga watarajiwa kwa sababu yake tulisema, tunasema na tutaendelea kusema:


Zipo sababu za msingi za kusema sana tu.

Mkuu FUSO hawana la kututisha mburula hawa.
 
Hilo ndo lilowaponza, mlishindwa kusoma alama za nyakati, hakuna mwananchi wa kawaida 2020 angeacha kumpigia kura JPM, hizo chuki na mitusi yenu mitandaoni kwa wachache mlonyooshwa mkajidanyanya na bado mnajidanganya ndo wananchi mlifail na mnafail sana.
mimi ni mwanainch wa kawaida sijawah kupigia kura ccm.haiji kutokea
 
Huyu DJ naye kazidi!! NAni TZ hii alimtuma kutusaidia kudai katiba?? Au anaamini katiba mpya itamfanya awe rais? Sifa za kijinga.
Hilo ndio lengo Lao.

Hizi kelele za katiba mpya ni danganya toto tu lakini lengo ni kuingia madarakani
 
Mbowe akutwa na tuhuma za ugaidi za kuuwa viongozi wa serikali.

Wampeleke gereza la kisongo akakutane na Sabaya.

Itajulikana tu aliyemuuwa Magufuli na uki connect dot utaelewa Tundu Lisu alijuaje kama Magufuli anaumwa?
Ni haya makundi ya ugaidi ndiyo yalikuwa yanawapa taarifa.View attachment 1863503
Ukhanithi mtupu!!
 
Mhuuuuu! umeshindwa kujibu hoja badala yake unamshambulia mtoa hoja personally. Na Mnyika jana alishindwa kujibu hoja za waandishi wa habari na badala yake akapandisha hasira na kuanza kubwabwaja ovyo. Mbowe naye juzi hivyo hivyo akaanza kuvishambulia vyombo vya habari. Sasa hiyo hoja ya katiba mpya mtaiweza kweli? Hoja ya katiba mpya inajibiwa kwa mrorongo wa makongamano na maandamano ni akili timamu kweli? Unakaribishwa kuja tena kunitukana kwani ndicho akili zenu inachokijua na mlichosomeshwa na huyo mnayemuita Mwamba.
Huyo jamaa ndivyo alivyo mkuu. Yeye akishindwa hoja kazi yake ni kutukana tu
 
Samia will be the worst President ever. What a shame.

Hana hata miezi 6 kaanza kuact hivi, huyu si anaweza kutaka kutawala milele kama atapewa upenyo?
Hahaahahhahaahhahaahah. Sio Magufuli tena?? Ni Samia sasa sio??? Nyinyi watu akili zenu ni fupi.

Mwanzo mlisema Kikwete ndio worst president ever, then mkasema Magufuli is the worst president ever and now Mama Samia???

Tunawaangalia tu hahahahahahah
 
Back
Top Bottom