Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ndiyo maana asilimia kubwa wamefoji vyetiYaelekea Polisi wetu wana kesi nyingi za kusadikika ambazo wanazo kwenye makabati yao ambazo zinasubiri mtu ambaye wanataka kumwondoa kwenye circulation wambambikie.
Kuna dogo moja mpiga debe walimpa kesi ya armed robbery akawekwa rumande Keko kwa muda wa mwaka mmoja na nusu mpaka familia ilivyojichangisha kesi ikaisha bila hata kwenda mahakamani.
Polisi pekee atakaenda peponi ni afande Masudi Mohammed ambaye kifo chake enzi za Hutu Immigrants Reign of Terror kilizua utata!