wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Acha kuidharirisha nchi na usalama wake.Lisu alikuwa anapewa na nani taarifa za kwamba Magufuli anaumwa na hatapona?
Bila shaka laptop za mbowe zilizokamatwa zimesema mengi kuhusu kundi la kigaidi.
Kwa akili yako wewe hao walikuwa na uwezo wa kutishia usalama wa rais.
Unaandika mavi mavi hapa unajiona mwerevu.
Elewa hii nchi siyo ya kuichezea kama unavyoandika hapa.