mdima Jackson
Member
- Sep 22, 2020
- 99
- 88
Huwezi ishi maisha yako kwa kuiogopa dunia..Hata kama ana hizo tuhuma, timing ya kumkata ni mbovu, sasa hivi dunia inawaangalia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi ishi maisha yako kwa kuiogopa dunia..Hata kama ana hizo tuhuma, timing ya kumkata ni mbovu, sasa hivi dunia inawaangalia.
Akili huna bora ukauze tako tuKama hizo taarifa ni za kweli. Ahojiwe vizuri aise.[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Yote uliyoandika kule juu yanauharibu vibaya sana huu mstari mzuri uliomaliza nao.Kubambikia kesi nzito baadhi ya wanasiasa ili kuwafumba midomo ni jambo ambalo halikubaliki hata kidogo. Hoja za kisiasa zinapaswa kujibiwa kisiasa, ni aibu na fedheha kubwa inapotokea zinajibiwa kwa kificho cha nguvu za kijeshi.
Huo ndio wanaita uhuru wa kutoa maoni ila muongelee kama hivyo bi mkubwa wake au mzee wake halafu uone.Hii imepitiliza mkuu, punguza kidogo.
Makosa ya Samia ni kujifanya yeye mzuri na kumugeuka Hayati Maguguli.Akitaka kuharibikiwa ni aende tu kinyume cha JPM, sisi the majority tulimchagua JPM na hulka yake na si kwamba hatukujua tunachagua mtu wa namna gani, hilo mnalifahamu vyema na ndo maana mkaanza kumwingiza mother mkenge ili achukiwe na wafuasi wa JPM ambao ndo the majority ya wapiga kura mkitegemea wapige kura za hasira 2025, mama kashtuka ngoja awanyooshe..[emoji4]
Mbowe na kundi lake, wameuwa watu wengi ili kuchafuwa jina la Hayati Magufuli. Wanasema uwongo kama Wanakunywa maji. Hayati Magufuli auwe watu na kuwatupa ‘baharini kwa kitu gani? Wamefanya maovu sana kuichafuwa serikali kwa faida yao na wala sio kwa faida ya taifa.Mbowe huyu kumbe ni gaidi nguli,ndo wale wa Kibiti nini?
Wakati USA wanazuia fedha zaidi ya Tirion 1 za millennium challenge goal mwaka 2016 ilikuwa ni corona au ubakaji wa demokrasia?!!!Kwa hiyo wewe MWEREVU unamaanisha Dr.Mpango alisema wahisani na mashirika ya kimataifa WAMETOA SABABU kuipunguza misaada yao kutokana na SERIKALI kukikandamiza CHADEMA/WAPINZANI na si MLIPUKO WA CORONA ?!!!
Qmmmkaisee Kumbe Mbowe na kundi lake walikuwa watu hatari kiasi hiki!!!
yaani ni zaidi ya Majambazi, yaaani wanapanga njama za kuuuwa watu! duh! aisee hawa watu hawafai kabisaaa!! sio binaadamu.
Tena tunaomba Jeshi letu la polisi lifanye uchunguzi kwa weledi wa hali ya juuu ili mtando wote wakamatwe maaana hawa ndio wanao hatarisha usalama na amani ya Taifa letu.
Sheria ichukue mkondo wake.
Polisi, few days ago Rais alituma salamu za pole kwa MBOWE baada ya kufiwa na Kaka yake Moshi.Tamko hili limetolewa na polisi View attachment 1863661View attachment 1863660
Unasoma darasa la ngapi hapo Namanyere primary school?Mlishangilia ya sabaya kumbebosi wenu ni dudela maafa.
Uchaguzi upi ulimchagua magufuli? Mwananchi yupi? Kura zipi? Tume upi? Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani
MUNAJULIKANA KWA MATUSI YENU. KWENYE UCHAGUZI BADALA YA KUWAELEZA MUTAWAFANYIA NINI WATANZANI, NI MATUSI TU . NYINYI MULIKUWA NA UBAVU WA KUSHINDANA NA MAGUFULI KWA ALIYOWAFANYIA WATANZANIA? PAMOJA NA PUPPET WENU KUPEWA PESA NA KUKODIWA WAKILI ANAYE TÊTEA MAKAMPUNI MAKUBWA YANAYODHURUMU NCHI ZA KIAFRICA? NENDA ZAKO UKO.
kwa hali hii ya Mbowe na wenzake kupanga Mauaji!! hawa sio binaadamu kabisaa ni zaidi ya wanyama.
Wauaji, wacha sheria ifanye kazi.
watanzania tunataka amani, magaidi waacha wakae huko gerezani.
Inaonekana una hoja, Sasa tulia uandike vizuri.People are making a mountain out of a mole hill .
Ni stori ndogo tu ya silaha moja iliyopotea armory ya Jeshi,sasa Mbowe ameshakuwa gaidi.
Kwamba CCM ilishinda mysteriously viti vyote vya Bunge haiwekewi màanani.
Ndiyo yale niliyoandika mwanzo,kwamba Tundu Lissu hawezi kurudi Tanzania.
It is like this. Kulikuwa na hizi incident KABLA ya Uchaguzi,ambazo ziliwafanya CCM wakasirike,na kuteka viti vyote vya Bunge.
Lakini sasa baada ya kuandika haya,labda na Mimi nitaunganushwa katika kesi,niraitwa haini au swaini.
Kuna kitu kinaitwa Nirvana. Kwamba,kama watu wanaishi maisha reasonable,wana sera nzuri za maisha,basi,uhasama kati yo lazima upunguke siku bàada ya siku. Nani alimshuti risasi Tundu Lissu. Kwani Tundu Lissu siyo kiongozi wa Chadema?
Ana element za ukabila Sana pili anatumia lugh mbovu mbovu kuaddress maswala yake .anaongea as if kwamba hi ichi Ni mavi mbele yake anatamani damu imwagike ili again cheap popularty kama Ana kesi za ugaid Ni vyema akaikabili lkn Kama Hana bas achiwe kwa sheria Kali mnoKwanza huyo mtu wenu hana adabu na wala hana staha ya kuongea,kisa eti ni mwanasiasa.Anasemaje hii ni serikali inaongozwa kihuni maana yake Rais Wa jamhuri ni mhuni ambaye amepatikana kihalali kikatiba.Hawa siyo watu wa kuwachekeachekea .Tunapocheka na haya manyani tutakula mabua siku moja na siyo ajabu labda tumeshakula bila kujua baada ya kuchekaka cheka nayo sana.Wafukunyue zaidi watagundua mengi.
Jikaze komaa tafuta ngawile upande vidatooo-huyu jamaa ana makeke alijifanya nguna...mtumeeeee!😧😧😧🙁
Nawe umeelewa kumbe!!Washauri wa mama huenda wamepanga njama za kumharibia lakini yeye hajajua undani wake kaingia mkenge kiwepesi sasa jumuia za kimataifa zitamlaani vikali sana