Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Kubambikia kesi nzito baadhi ya wanasiasa ili kuwafumba midomo ni jambo ambalo halikubaliki hata kidogo. Hoja za kisiasa zinapaswa kujibiwa kisiasa, ni aibu na fedheha kubwa inapotokea zinajibiwa kwa kificho cha nguvu za kijeshi.
Yote uliyoandika kule juu yanauharibu vibaya sana huu mstari mzuri uliomaliza nao.
Sijui kwa nini uliona umhimu kuweka hayo ya juu pamoja na huu mstari!
 
Akitaka kuharibikiwa ni aende tu kinyume cha JPM, sisi the majority tulimchagua JPM na hulka yake na si kwamba hatukujua tunachagua mtu wa namna gani, hilo mnalifahamu vyema na ndo maana mkaanza kumwingiza mother mkenge ili achukiwe na wafuasi wa JPM ambao ndo the majority ya wapiga kura mkitegemea wapige kura za hasira 2025, mama kashtuka ngoja awanyooshe..[emoji4]
Makosa ya Samia ni kujifanya yeye mzuri na kumugeuka Hayati Maguguli.
Pamoja na Tanzania kutaka vyama vingi, hiki kinachojiita chama kikubwa cha upinzani chenye mbunge mmoja hakifai kuiongoza Tanzania. Viongozi wake sio waaminifu, na wala hawaelewi historia ya uhusiano kati ya nchi za Ulaya na Afrika. Tundu Lissu anasema lazima tuwapigie magoti wazungu wametusaidia zaidi ya miaka 70. Huyu ndiye wanamuita musomi. Wengine wanampigia makofi. Katika wajinga wanasiasa Huyu ndiye namba moja.

Na Mbowe ni mutu asiyeaminika. Mtu aliyekuwa na biashara ya club kwenye jengo la serikali, na kama asingekuwa Hayati Magufuli, jengo hilo leo lingekuwa mali yake. Alifanya biashara kwa jengo hilo kwa zaidi ya miaka kumi bila kodi ya jengo wala kodi ya mapato ya biashara zake. . Club yake ilikuwa ikisambaza dawa za kulevya Dar es salaam nzima.. Sasa akiupata uongozi Je? Ataihamishia Benki kuumya Tanzania Dubai na Watanzania atawakabithisha kwa waarabu kama Watumwa. Lala salaama baba Magufuli tunakukumbuka sana.
 
Mbowe huyu kumbe ni gaidi nguli,ndo wale wa Kibiti nini?
Mbowe na kundi lake, wameuwa watu wengi ili kuchafuwa jina la Hayati Magufuli. Wanasema uwongo kama Wanakunywa maji. Hayati Magufuli auwe watu na kuwatupa ‘baharini kwa kitu gani? Wamefanya maovu sana kuichafuwa serikali kwa faida yao na wala sio kwa faida ya taifa.
 
Jeshi litumie weledi ktk kufanya kazi zake, lisitumike kisiasa. Awamu ya tano jeshi hili lilitumika kubambikia watu kesi za uhujumu uchumi na kuwaweka watu ndani kwa uonevu.

Sasa limeibuka na tuhuma feki za ugaidi dhidi ya mwanasiasa nguli Alikaeli Freeman Mbowe. Tuhuma ambazo zitaliumiza taifa kiuchumi. Ugaidi ni tishio duniani kote. Nchi makini hata zikiwakamata magaidi real huwa zinawashughulikia kimya kimya ili kutochafua sura za nchi zao

Sasa hapa nchini jeshi linadiriki kutangaza tuhuma feki za ugaidi hadharani????!! Hii ni hatari kwa mustakabali wa taifa letu ktk sekta ya wawekezaji.

Huyu bibi tumepigwa!
 
Kwa hiyo wewe MWEREVU unamaanisha Dr.Mpango alisema wahisani na mashirika ya kimataifa WAMETOA SABABU kuipunguza misaada yao kutokana na SERIKALI kukikandamiza CHADEMA/WAPINZANI na si MLIPUKO WA CORONA ?!!!
Wakati USA wanazuia fedha zaidi ya Tirion 1 za millennium challenge goal mwaka 2016 ilikuwa ni corona au ubakaji wa demokrasia?!!!

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
aisee Kumbe Mbowe na kundi lake walikuwa watu hatari kiasi hiki!!!
yaani ni zaidi ya Majambazi, yaaani wanapanga njama za kuuuwa watu! duh! aisee hawa watu hawafai kabisaaa!! sio binaadamu.
Tena tunaomba Jeshi letu la polisi lifanye uchunguzi kwa weledi wa hali ya juuu ili mtando wote wakamatwe maaana hawa ndio wanao hatarisha usalama na amani ya Taifa letu.
Sheria ichukue mkondo wake.
Qmmmk
 
Kwanza huyo mtu wenu hana adabu na wala hana staha ya kuongea,kisa eti ni mwanasiasa.Anasemaje hii ni serikali inaongozwa kihuni maana yake Rais Wa jamhuri ni mhuni ambaye amepatikana kihalali kikatiba.Hawa siyo watu wa kuwachekeachekea .Tunapocheka na haya manyani tutakula mabua siku moja na siyo ajabu labda tumeshakula bila kujua baada ya kuchekaka cheka nayo sana.Wafukunyue zaidi watagundua mengi.
 
Uchaguzi upi ulimchagua magufuli? Mwananchi yupi? Kura zipi? Tume upi? Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani

MUNAJULIKANA KWA MATUSI YENU. KWENYE UCHAGUZI BADALA YA KUWAELEZA MUTAWAFANYIA NINI WATANZANI, NI MATUSI TU . NYINYI MULIKUWA NA UBAVU WA KUSHINDANA NA MAGUFULI KWA ALIYOWAFANYIA WATANZANIA? PAMOJA NA PUPPET WENU KUPEWA PESA NA KUKODIWA WAKILI ANAYE TÊTEA MAKAMPUNI MAKUBWA YANAYODHURUMU NCHI ZA KIAFRICA? NENDA ZAKO UKO.
 
Hakuna kiongozi yeyote makini anaetaka amani na utulivu akawavumilia chadema na huu ndo ukweli Chadema mnafanya siasa za kizamani sana mnafanya siasa zilizokuwa zinafanyika enzi za kupigania uhuru

JPM ndo aliwaweza vzr Gwanda zilikuwa night dress mnazivaa usk wkt wa kulala
 
kwa hali hii ya Mbowe na wenzake kupanga Mauaji!! hawa sio binaadamu kabisaa ni zaidi ya wanyama.
Wauaji, wacha sheria ifanye kazi.
watanzania tunataka amani, magaidi waacha wakae huko gerezani.

Mtajishasha sana ila haipo haki bila gharama:


Gharama hiyo italipwa.
 
People are making a mountain out of a mole hill .
Ni stori ndogo tu ya silaha moja iliyopotea armory ya Jeshi,sasa Mbowe ameshakuwa gaidi.
Kwamba CCM ilishinda mysteriously viti vyote vya Bunge haiwekewi màanani.
Ndiyo yale niliyoandika mwanzo,kwamba Tundu Lissu hawezi kurudi Tanzania.
It is like this. Kulikuwa na hizi incident KABLA ya Uchaguzi,ambazo ziliwafanya CCM wakasirike,na kuteka viti vyote vya Bunge.
Lakini sasa baada ya kuandika haya,labda na Mimi nitaunganushwa katika kesi,niraitwa haini au swaini.
Kuna kitu kinaitwa Nirvana. Kwamba,kama watu wanaishi maisha reasonable,wana sera nzuri za maisha,basi,uhasama kati yo lazima upunguke siku bàada ya siku. Nani alimshuti risasi Tundu Lissu. Kwani Tundu Lissu siyo kiongozi wa Chadema?
Inaonekana una hoja, Sasa tulia uandike vizuri.
 
Kwanza huyo mtu wenu hana adabu na wala hana staha ya kuongea,kisa eti ni mwanasiasa.Anasemaje hii ni serikali inaongozwa kihuni maana yake Rais Wa jamhuri ni mhuni ambaye amepatikana kihalali kikatiba.Hawa siyo watu wa kuwachekeachekea .Tunapocheka na haya manyani tutakula mabua siku moja na siyo ajabu labda tumeshakula bila kujua baada ya kuchekaka cheka nayo sana.Wafukunyue zaidi watagundua mengi.
Ana element za ukabila Sana pili anatumia lugh mbovu mbovu kuaddress maswala yake .anaongea as if kwamba hi ichi Ni mavi mbele yake anatamani damu imwagike ili again cheap popularty kama Ana kesi za ugaid Ni vyema akaikabili lkn Kama Hana bas achiwe kwa sheria Kali mno
 
Back
Top Bottom