Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Lisu alikuwa anapewa na nani taarifa za kwamba Magufuli anaumwa na hatapona?

Bila shaka laptop za mbowe zilizokamatwa zimesema mengi kuhusu kundi la kigaidi.
Acha kuidharirisha nchi na usalama wake.

Kwa akili yako wewe hao walikuwa na uwezo wa kutishia usalama wa rais.

Unaandika mavi mavi hapa unajiona mwerevu.

Elewa hii nchi siyo ya kuichezea kama unavyoandika hapa.
 
DG wa TISS anahusika vipi na kukamatwa kwa Mbowe na polisi? TISS imehusika wapi kwenye lile tukio, nani alikuwa hajui kama Mbowe yuko ukumbini mpaka watumie wanausalama kujua. Hii ni issue ya polisi na wao wameagizwa
 
Vipi wewe hawajaja kukupekua mkuu?
 
Aliambiwa na mama ako
 
Acha uongo! Nashangaa kwanini wewe hawajaja kukupekua mkuu?
 
kuna mahali mlikosea kulea hii tabia ya kigaidi ikashamiri.
tena walijipenyeza kila mahali bila kujua. wapo ndani ya mfumo wanawatumikia magaidi. Hakikisheni mnasafisha mnyororo wote wa kigaidi.
Shoga wewe
 
Pesa ya walipa kodi zinatumika hovyo kukandamiza demokrasia kwa njia haramu za kishetani, wametumia gharama kubwa kumsafirisha mbowe tokea mwanza hadi huko Dsm kwenda kusachi nyumbani kwake ni Aibu iliyoje
Watz hawahitaji magadi mkuu.
 
Mbowe akutwa na tuhuma za ugaidi za kuuwa viongozi wa serikali.

Wampeleke gereza la kisongo akakutane na Sabaya.

Itajulikana tu aliyemuuwa Magufuli

Ndiyo maana LISU alikuwa wa kwanza kusema Magufuli anaumwa na hatapona.
Kafi.rwe uko
 
Mheshimiwa Zitto Ruyagwa Kabwe ana msimamo upi juuya kile kinaendelea nchini!? Nimuda muhimu sasa aseme neno, tumsikie sisi raia wenzake.
 
Magufuri alikuwa na kirusi karibu yake ndo maana walijua mpango wa kufariki kwake wakaijidai kwenda Tanga
Hii nayo inaweza ikawa hadithi tamu kuisikiliza.

Hebu idadavue vizuri!

Hawa watu sasa wanatapatapa wakidhani waTanzania ni wajinga.

Hakuna mtu aliyetafuta njia za kummaliza Mbowe kama alivyotaka kuitupilia mbali CHADEMA, tena bila kuficha, kama Magufuli, lakini alishindwa

Nafasi nzuri kabisa waliyokuwa nayo CCM kuimaliza CHADEMA na viongozi wao ilikuwa wakati walipowarubuni Makatibu wakuu wao, Slaa na yule Mashinji.

Hawa ndio wangewatumia kama pangekuwepo na siri zozote ndani ya chama kuhusu njama za ugaidi na matakataka mengine wanayoyazua sasa hivi.
Hata kama makatibu hao wangetoa shutuma za kupikwa ili kukidhi matakwa, kidogo pangekuwepo na mashaka.

Tena kumbuka, wakati huo mahakama zilikuwa ni CCM, ikiwa ni mali ya Magufuli kama zilivyokuwa taasisi nyingine zote!

Sasa mara hii, tena kishamba namna hii kuzua jambo la kijinga kama hili, inaonekana mama anaingizwa chakani mchana kweupe. Akiendekeza ujinga wa namna hii, ataonekana mwenyewe ni mjinga wa hali ya juu, asiyefaa kushika wadhifa anaoushikilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…